Aucho katumwa na Chama. Simba jichanganyeni tena

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,289
27,743
PR wa Chama wapo vizuri sana. Hiyo comment ya Aucho kuhusu Chama ni mchongo maalumu kwa ajili ya kuwapush viongozi wa Simba mfanye maamuzi kwa shinikizo mumpe Chama mkataba wa miaka mitatu na milioni 500 wakati hana thamani hiyo..

Mimi niko nimekaa palee
 
Simba badala ya kusajili wachezaji vijana wenye kiu ya mafanikio inabaki kubembeleza wazee waendeĺee kubakia msimbazi wakati wamebweteka.
 
Chama ni mzuri sanaa ila tayari kashaizoea ligi na anazjua fika akili za mshabiki na viongozi hvoo hataweza kufanya lolote Lile hata akibaki kwa misimu mingapi, ni wakati wa kuachana nae ikiwemo Inonga, Africa ni kubwa kiasi kama una scout mzuri Simba inaimarika tena ikiwa na wachezaji piruuu.
 
Simba badala ya kusajili wachezaji vijana wenye kiu ya mafanikio inabaki kubembeleza wazee waendeĺee kubakia msimbazi wakati wamebweteka.
Mkuu timu inahitaji overhaul ila huwezi kutimua timu nzima. Kumuacha chama wakati unataka kujenga timu ni ujinga mwingine.
 
Mkuu timu inahitaji overhaul ila huwezi kutimua timu nzima. Kumuacha chama wakati unataka kujenga timu ni ujinga mwingine.
Mkuu hao unakuta ni Mashabiki wa upande wa pili. Lengo nikumchonganisha chama na Mashabiki wa simba. Na kwa hilo Yanga wametuzidi . Huwezi kumwacha chama kabla hujapata mbadala wake.
 
Wameshajichanganya huko..

Kuna muda unahitaji kuwa na maamuzi magumu ili upate mafanikio mazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom