Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,278
6,651
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
 
..hayo unayoyalalamikia chanzo chake ni siasa chafu za Ccm.

..Ccm inapokea ruzuku Bilion 3 kila mwezi.

..sasa ungetegemea Ccm itoe uongozi na sera zitakazopunguza ukali wa maisha kwa Watanzania
 
Huko Chadema iko wazi kuna shida ya kiuongozi. Nchi iko hapa ilipo Kwa kukosa elimu Bora,kukosa upinzani WA kueleweka na umasikini.
 
Inside chadema in deep!
 
Attachments

  • GOQu_qWbUAELozx.jpeg
    GOQu_qWbUAELozx.jpeg
    260.9 KB · Views: 2
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Uko sahihi sana, hebu tuambie ni wapi umesikia ccm wakiongelea kile kivuko kilicholipiwa 7b kwa matengenezo kilipo na Nini kinaendelea? Ukiweza kuniambia hilo nitajua ccm inajisimamia.
 
Bila Mbowe hakuna upinzani Tanzania
 
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Ungeweka maelezo yenye vielelezo tungelikuunga mkono, lakini kueleza mambo hayo bila kuambatanisha na vielelezo vya maana yanaonekana maelezo yote ni majungu matupu mura.
 
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Ingekuwa chama ni cha Mbowe basi kingeitwa kikundi cha familia na kisingesajiliwa kama chama cha siasa.Karibu kule X upate faraday wewe kilaza.
 
Huko Chadema iko wazi kuna shida ya kiuongozi. Nchi iko hapa ilipo Kwa kukosa elimu Bora,kukosa upinzani WA kueleweka na umasikini.
Upinzani ufanyeje?. Tatizo mnadhani upinzani ni Lissu na Mbowe. Hapo ndipo mnapokosea.
 
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Tangu lini mwana CCM akaiongelea vizuri CHADEMA
 
Uko sahihi sana, hebu tuambie ni wapi umesikia ccm wakiongelea kile kivuko kilicholipiwa 7b kwa matengenezo kilipo na Nini kinaendelea? Ukiweza kuniambia hilo nitajua ccm inajisimamia.
Usijitoe fahamu.
 
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Nakubaliana na wewe mkuu hata hivyo chama cha chadema hakina hela yaani Lissu anachangiwa hela ili akomboe gari lake
 
Kuna umoja ulikuwepo CHADEMA, currently siuoni tena maana wanapigana risasi wenyewe hadharani, uchaguzi wa Kanda ya Nyasa unatia chumvi kwenye kidonda hasa ukiangalia wafuasi wake walio X
 
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Hiyo ruzuku wanayopewa CHADEMA ni ndogo sana ukilinganisha na pesa wanazopiga Mabwanyenye wa CCM. Zungumzeni kwanza kuhusu ripoti ya CAG. Mnataka CHADEMA wawasemee wakati CAG ameshawasanua na hamna hatua mnayochuku mnaanza kuwalaumu CHADEMA

#BLOOD FUCKEN.
 
Tusubiri kwanza wamalize kuchanga 400m ya kununua V8 VXR ya Lissu. Chama cha ukombozi kinachochangisha watu ili kununua V8 😄😄🙌. Ni aibu ya karne. TANU ilichangisha hela ili Nyerere aende UN kupambania uhuru ila chama kinachojiita cha ukombozi leo hii kinachangisha ili kiongozi ajipatie gari la kifahari.
 
Back
Top Bottom