chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  2. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila "maandalizi kuelekea oktoba 29 yamkamilika" |ahimiza wananchi kupiga kura

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika: Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chalamila atimiza ahadi yake ya gari kwa golikipa Yacoub

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akimkabidhi zawadi ya gari golikipa wa Timu ya Taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Yacoub Mohamed, aliyoahidiwa wakati wa mashindano ya CHAN.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: RC Chalamila kusema 'Mtoto wa kiume kuuza uduvi utaolewa', si kauli ya kiuongozi bali kihuni

    Mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa Rais kwenye mkoa. Kauli zake zinatafsiriwa kama dira ya serikali, hivyo lazima ziwe na mizani, heshima na kuzingatia sheria. Kauli ya kumdhalilisha kijinsia au kitamaduni kijana wa kiume anayejishughulisha na biashara ya halali (kama uduvi) inaweza kuchukuliwa kama...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania CHALAMILA: Acheni kulaumu wanawake, tafuteni hela, ukijilalamisha ina maana maisha yako bado yako chini

    Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani. Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali? Toeni neno moja kwake! Full clip hii hapa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila atoa Mil. 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Moto

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila mjanja sana. Kwa ahadi zile Alijua tu Stars haivuki

    Aliahidi hivi: 1. Kila mchezaji kupewe kiwanja Kigamboni 2. Kipa asiporuhusu goli anapewa gari Crown Mpyaaa
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Battle la singeli: Morogoro vs Dar na Malima vs Chalamila

    Hili ndio battle la Singeli lipo viral kwa sasa. Nani ameicheza vizuri? Origin ya Singeli ni mkoa upi?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mabasi 99 yataingia Agosti 15, mengine 250 yataingia Oktoba 1, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa ifikapo tarehe 15 Agosti 2025, mabasi 99 yataanza rasmi kutoa huduma ya usafiri katika barabara ya Mbagala. Aidha, kufikia tarehe 1 Oktoba 2025, mabasi mengine 250 yanatarajiwa kuanza safari kati ya kituo cha Mbezi Kimara hadi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za serikali hususan katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Wananchi. Akiwa Kituoni hapo asubuhi ya leo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nakukemea Albert Chalamila, achana na Cocobeach

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Mh Albert Chalamila akiwa kwenye kikao cha ndani cha mkoa amesikika akilaani eneo la Cocobeach kuachwa wazi kwa ajili ya wananchi wote kutembelea bure kila wanapohitaji kufanya hivyo. Chalamila amesema eneo la Cocobeach linahitaji uwekezaji mzito na wa kisasa...
  16. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Kwani RC Chalamila ana mashaka na uwezo wa Rais Samia kuongoza mabadiliko!!?

    Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam. Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Askofu Maboya alipendekeza niwe Shemasi wa Kanisa la Mwamposa

    RC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
  18. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania CHALAMILA usipoangalia MSANDO atakufanyia figisu utolewe Dar es Salaam

    Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana! sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
  19. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Chalamila amemwambia Rais Samia Ridhiwani hamiliki vituo vya shell

    RC Chalamila leo amemwambia Rais Samia kwamba Ridhiwani hamiliki vituo vya mafuta na $750,000 oil tankers.
  20. S

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
Back
Top Bottom