Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam.
Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana!
sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe.
"Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka.
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga ofisi mpya?
==
Serikali imetoa fedha shilingi Bilioni sita, kwa ajili ya kujenga ofisi mpya ya Mkuu wa...
Kama ingelikuwa ni kuweka wazi hisia za watu, if am asked to put clear all the sentiments ambazo zipo katika vinywa vya watu, yafuatayo ningeweza pia kuyasema, la kwanza, Mnakumbuka Rais wa sasa wa serikali ya Marekani, President Trump akiwa kwenye mlolongo wa kampeni zake aliwahi pia kupata...
https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini.
Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za...
Kanuni kuu ya kimaadili kwamba, malengo mazuri hayapaswi kuhalalisha mbinu haramu, ni kanuni ya kweli siku zote, sehemu zote na kwa watendaji wote.
Ni kwa sababu hii tunasema kwamba, vyombo vya dola havina mamlaka ya kuzuia uhalifu kwa kufanya uhalifu.
Lakini, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani.
Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa...
RC CHALAMILA DAR NI SALAMA AELEZA MAFANIKIO NA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA
-Afafanua maboresho makubwa ya miundombinu ya barabara na miradi ya kimkakati
-Awataka wananchi kuendelea kuhamasishana umuhimu wa kulipa kodi
-Awatoa hofu wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 asema Serikali iko imara...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki Betika Mbeya Tulia Marathon ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika Mei 9 - 10, 2025 Jijini Mbeya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili kupunguza adha ya msongamano wa magari kwa wananchi
RC Chalamila ameyasema hayo Aprili 10,2025...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila , amesema kuna mabadiliko ya maendeleo makubwa sana Dar Es salaam ya Miundombinu kulinganisha na Mikoa mingine. Hivyo kawataka Wafanye kazi kuliko kulalamika tuu.
Ameyasema hayo leo tarehe 10 Aprili 2025 katika Uwanja wa TP uliopo Sinza wakati...
RC CHALAMILA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI JIMBO LA KIBAMBA UBUNGO.
-Amshukuru Rais Dkt Samia kwa kutoa pesa nyingi zinazowezesha utekelezaji wa miradi hiyo
-Ataka usimamizi mzuri wa miradi kwa kuzingatia viwango na thamani ya pesa
-Asikiliza kero za wananchi wa Kata ya Saranga na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar se Salaam, Albert Chalamila akishiriki Baraza la Eid El-Fitri ukumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, ameeleza kuwa siku zote 29 hakuweka kando Tasbir na kila wakitaka kumroga alikua anasema 'Allahu Akbar'
Wakuu
Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam?
Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?
RC Chalamila
Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni.
Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri.
Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.