chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania CHALAMILA: Acheni kulaumu wanawake, tafuteni hela, ukijilalamisha ina maana maisha yako bado yako chini

    Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani. Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali? Toeni neno moja kwake! Full clip hii hapa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila atoa Mil. 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Moto

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila mjanja sana. Kwa ahadi zile Alijua tu Stars haivuki

    Aliahidi hivi: 1. Kila mchezaji kupewe kiwanja Kigamboni 2. Kipa asiporuhusu goli anapewa gari Crown Mpyaaa
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Battle la singeli: Morogoro vs Dar na Malima vs Chalamila

    Hili ndio battle la Singeli lipo viral kwa sasa. Nani ameicheza vizuri? Origin ya Singeli ni mkoa upi?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Polepole Amuonya Chalamila. Asema Amemtukana Rais

    Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi. Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mabasi 99 yataingia Agosti 15, mengine 250 yataingia Oktoba 1, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa ifikapo tarehe 15 Agosti 2025, mabasi 99 yataanza rasmi kutoa huduma ya usafiri katika barabara ya Mbagala. Aidha, kufikia tarehe 1 Oktoba 2025, mabasi mengine 250 yanatarajiwa kuanza safari kati ya kituo cha Mbezi Kimara hadi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chalamila: Mwendokasi umepoteza Ladha, mtu mwenye tai hawezi tena kupanda

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za serikali hususan katika kuleta maendeleo na kuwahudumia Wananchi. Akiwa Kituoni hapo asubuhi ya leo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nakukemea Albert Chalamila, achana na Cocobeach

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Mh Albert Chalamila akiwa kwenye kikao cha ndani cha mkoa amesikika akilaani eneo la Cocobeach kuachwa wazi kwa ajili ya wananchi wote kutembelea bure kila wanapohitaji kufanya hivyo. Chalamila amesema eneo la Cocobeach linahitaji uwekezaji mzito na wa kisasa...
  10. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Kwani RC Chalamila ana mashaka na uwezo wa Rais Samia kuongoza mabadiliko!!?

    Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam. Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Askofu Maboya alipendekeza niwe Shemasi wa Kanisa la Mwamposa

    RC Chalamila kwenye Uzinduzi wa Kanisa la Mwamposa amesema; Mwaka jana Askofu Maboya alipendekeza awe Shemasi wa moja ya Kanisa la Mwamposa
  12. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania CHALAMILA usipoangalia MSANDO atakufanyia figisu utolewe Dar es Salaam

    Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana! sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
  13. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Chalamila amemwambia Rais Samia Ridhiwani hamiliki vituo vya shell

    RC Chalamila leo amemwambia Rais Samia kwamba Ridhiwani hamiliki vituo vya mafuta na $750,000 oil tankers.
  14. S

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amkeni: Serikali imetoa Tsh. bilioni sita kujenga ofisi mpya ya mkuu wa mkoa Dar, yatoa magari 2 ya milioni mia sita

    Wakuu, kuna uhitaji au ulazima wowote wa kujenga ofisi mpya za mkuu wa mkoa wa Dar es salaam zikiwa zimetolewa bilioni sita sasa, Ofisi zilizopo sasa zina changamoto gani mpaka kutaka kujenga ofisi mpya? == Serikali imetoa fedha shilingi Bilioni sita, kwa ajili ya kujenga ofisi mpya ya Mkuu wa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Hata Donald Trump aliwahi kushambuliwa kwa risasi, wanaotoa mashambulio huwa hawabagui

    Kama ingelikuwa ni kuweka wazi hisia za watu, if am asked to put clear all the sentiments ambazo zipo katika vinywa vya watu, yafuatayo ningeweza pia kuyasema, la kwanza, Mnakumbuka Rais wa sasa wa serikali ya Marekani, President Trump akiwa kwenye mlolongo wa kampeni zake aliwahi pia kupata...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

    https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
  19. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Naona RC Chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa?

    Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini. Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za...
  20. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliahidi kuvunja haki na ametekeleza azima yake kupitia jeshi la polisi

    Kanuni kuu ya kimaadili kwamba, malengo mazuri hayapaswi kuhalalisha mbinu haramu, ni kanuni ya kweli siku zote, sehemu zote na kwa watendaji wote. Ni kwa sababu hii tunasema kwamba, vyombo vya dola havina mamlaka ya kuzuia uhalifu kwa kufanya uhalifu. Lakini, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
Back
Top Bottom