chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania HAYA, mambo yanazidi kuwa vinyo vinyo, dhidi ya Chalamila, wamiliki wa Mabasi nao wamgomea

    Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo zilipokuwa zikijengwa. Amehoji, iweje leo anataka ziamishwe?
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Chalamila umeisikia KAULI " sisi tunaichukia Serikali"? Msaidie Rais kumjuza ukweli

    Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo, suala la rushwa na kukosekana kwa choo. Mzungumzaji ni Elias Jonas Mwang'ingo ni Dereva wa Lori...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Yaliyomkuta Chalamila leo, ni matokeo ya VYOMBO kutokumueleza ukweli kila uchwao

    Sisi tukiongea kupitia jamii forum kwa kuwa hamtujui majina hata hamtuzingatii, Yaliyomkuta Leo charamila wakati akiongea na madereva wa maloli ni matokeo ya VYOMBO alivyonavyo chini yake kutumika kumlamba MATAKO nje kabisa ya msingi wa ajira za VYOMBO hivyo na hapa nikwambie tu, sio kwake peke...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

    Dereva akimchana live Chalamila MY TAKE Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe. Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking. Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea. Mfano MOFAT saaa hivi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Simwelewi Chalamila; anapunguza msongamano wa mabasi kuingia mjini kwa wenye mabasi kununua shuttle za kuingiza abiria mjini; shuttle zitaruka hewani?

    Chalamila anasema, ili kupunguza msongamano wa magari mjini, mabasi yaishie Magufuli stand, halafu wawe na shuttle za kupeleka watu mjini. Hivi mnamwelewa huyu bwana? Basi moja la abiria 45 likifika Magufuli stand litahitaji kwa wastani shuttle mbili ili kufikisha watu mjini. Sasa basi moja kwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wananchi wa Dar kufanyiwa vipimo vya afya bure kuanzia Julai 3 hadi Julai 8, 2026

    Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi kwa muda wa siku sita. Akitoa taarifa hiyo, Chalamila amesema kampeni hiyo itaanza Julai 3 hadi...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ndugu Chalamila huu Mji wako mchafu sana hayo mabasi sio uchafu

    Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka. Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro Weka sheria...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Hakuna mtu atakayehamasisha vurugu katika Maonesho ya Sabasaba na akabaki salama. Vyombo vya dola vimejipanga

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Atakayehamasisha vurugu hatabaki salama. Vyombo vya dola vimejipanga

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7. Kauli hiyo ameitoa katika kipindi hiki ambapo maandalizi ya Maonesho ya Biashara ya...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Chalamila ana vibonzo na vistori vyake vyenye ukweli wenye kuudhi. Kibongobongo havifurahishi wasiopenda ukweli

    Hamjambo! Ukweli unatabia nyingi. Ukweli kiasili ni katili na haujali. Ukweli hauhitaji validation. Ukweli ni dawa ukitolewa kwa wakati sahihi na mtu sahihi. Hata hivyo ukweli haujali kuhusu wakati wala aliyeubeba. Kisiasa, ukweli unatisha sio kwa sababu ya ukweli wenyewe. Ila jinsi...
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania So sad RC chalamila kauli zake zinahamasisha maandamano na kuongeza hamasa maana zinachochea hasira na vaibu na chuki watu kuingia barabarani.

    RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Bunduki hajawahi kuleta Amani Chalamila aache kukurupuka

    Kama taifa tuna hasara kubwa sana tena kubwa. Viongozi wenye busara na maono hawapo kabisa. Chalamila alichoongea ni lugha ya hovyo kabisa ambayo haina weledi ndani yake. huwa anaropoka tu bila kujua hata anachoongea. Kimsingi hawa watu wamejawa kiburi. yaani hawatafanywa chochote na yeyote...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama huna hela usije Masaki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Uwekwe utaratibu wa kuweka Tozo kwa magari yanayoingia Katikati ya Jiji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza alipotembelea Makao Makuu ya TFF, Ilala, Karume "Tumeruhusu kila aina ya usafiri kuingia barabarani. Nafikiri mliwahi kunisikia wakati fulani nikasema... nilitania tu, lakini nilikuwa namaanisha. Ni ule utani wa kweli kweli. Nilikuwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Vijana msije mkadhani Maisha ni mepesi mkayaharibu kwa Siasa zisizo na Mashiko

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka vijana wasiharibu maisha yao kwa siasa na propaganda za chuki, badala yake wajikite katika jitihada na Elimu kwa kuwa ndio siri pekee ya mafanikio katika maisha yao. Amesisitiza maisha si mepesi kama wengi wanavyodhani, ni magumu na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

    Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
  19. jimama26

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, Dar es Salaam imekushinda, inakuwaje kuna foleni kiasi hiki huchukui hatua?

    Inasikitisha sana kuona hali ya foleni jijini Dar es Salaam imefikia kiwango hiki. Haiwezekani mtu kukaa sehemu moja kwa zaidi ya saa moja bila kusogea. Njia ya kutoka Morocco kuelekea mjini, kupita Serena Hotel hadi uwanja wa ndege, imekuwa ni mateso makubwa – asubuhi na jioni. Kwa wiki nzima...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Sugu alivyomzuia RC Chalamila asipande jukwaani kuongea katika show ya Profesa hapo jana Mei 1

    Sugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu! Hii alichofanya Sugu ni kizuri sana maana Chalamila angeleta uchawa wake wa kishamba kwenye burudani ya Muziki Lakini Sugu amefuraishwa kuwaona Viongozi wakuu wa...
Back
Top Bottom