chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: NMB wameniambia nikifanya vizuri watanilipia mkopo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema NMB wamemuahidi akifanya vizuri watafuta mkopo(Possibly ni mkopo wa Mkoa). Amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge na kumbukizi ya kifo cha Mwl Julias Nyerere. Hata hivyo, hajasema kufanya vizuri kwa namna gani, kama ni kiutendaji au...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chalamila, badala ya kuzunguka Mkoa wa Kagera ukilalamika na kuzogoa, tafuta Suluhu, vinginevyo wapinzani unawapa njia, shirikiana ujue tatizo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo. Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote. Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

    Hayo ameyasema wakati wa kikao cha ndani cha siasa kilichohudhuriwa na makamu mwenyekiti wa CCM bara bwana Kinana. === “Mkoa huu hauendelei kwa sababu nyingi, ila sababu kubwa ni hata ninyi ndugu zangu wahaya, wanyambo mnaoishi hapa kwa kweli kuna muda bado hatujajitambua kwamba tupo kwenye...
  4. mgt software

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiondoa unafiki na chuki bado Kagera inaweza kuchomoza, Chalamila unatakiwa kujua haya

    Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC wa Kagera, Chalamila asema Ng'ombe wanaofugwa kwa stress wana nyama ngumu

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wadau wa mifugo kutoa elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili kuwawezesha kufanya ufugaji wa kisasa ambao utaepusha ng'ombe kutembea umbali mrefu kutafuta malisho na kusababisha nyama yake kuwa ngumu Akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Nilikuwa likizo kama Injini ya gari lililoharibika

    Habari Wana JF, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila Amesema alikuwa likizo tuu kama Injini ya gari lililoharibika.. Kuharibika kwa Board haimaanishi Injini ni mbovu.👇 === MKUU wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila amesema alikuwa likizo kama injini ya gari lililoharibika. Ameyasema hayo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani haka Kautamaduni kabaya kangeishia tu kwa RC Chalamila wa Kagera kumbe kanaendelezwa na kwa Wengine?

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Eric Benedict Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL). Rais Samia alitengua uteuzi wa Hamissi mapema mwezi Julai mwaka huu na nafasi hiyo kuzibwa na Bw...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chalamila wewe ni mfanyakazi mzuri ila naomba ukakue

    Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno. Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania RC Mstaafu Chalamila atikisa Kanisa, aimba kwaya utadhani ndege mnana

    Kwa namna alivyoimba kwa hisia kali na uwezo mkubwa wadau wamshauri aingie Studio . Nilichogundua ni kwamba sometimes uongozi unaminya vipaji .
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kuota Chalamila kateuliwa uspika

    Mzuka wanajamvi! Kungekuwa kuchagua cha kuota hii ndoto ningeikataa mapema kabla asee. Ndio hivyo tena Chalamila ndo atamrithi Ndugai. Atapewa ubunge na kuwa spika. Na 'ninachootaga' kinakuwa kweli. Yani nimeamka Sasa hivi nakumaindi kichiz. Itabidi tu tuzoee hali hii inayokuja hamna namna. Damn!
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Chalamila akanusha uvumi ulioenea asema sitaki katiba mpya wala marekebisho ya katiba

    Albert Chalamila amesema hataki katiba mpya wala marekebisho yake. Ameeleza hayo akikanusha habari zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba anaunga mkono mabadiliko ya katiba. "Wala sihitaji hiyo katiba mpya, wala sihitaji hayo marekebisho,"- amesema Chalamila. Pia soma > Chalamila...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Katiba Mpya ni muhimu, Katiba ya sasa inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi

    #HABARI Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amesema kuwa anaunga mkono mabadiliko ya Katiba Mpya akieleza, Katiba ya sasa inasema Rais akifa Makamo ndiye anakua Rais, amedai inawezekana akapatikana Makamu wa Rais mchawi akamroga Rais ili yeye awe Rais wa nchi. Zaidi, soma...
  14. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete. Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Kasesera na Chalamila watikisa ukumbi wa burudani, wamwaga Kwaito, usipime!

    Hakika kuna watu wamejaaliwa vipaji, hawa viongozi kwa kweli ni burudani sana!
  16. S

    JamiiForums Tanzania Video: Kwa raha zake ex-RC Chalamila anachangamsha damu

    Mwangalie kwenye clip hii anayarudi mayenu. Saaaaafi kabisa!
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kujivunia Cheo cha Kuteuliwa, yasije kukukuta ya Chalamila

    Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

    CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI. Na Robert Heriel. Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli? Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka

    Mhe. Rais amepewa nguvu na Katiba kuteua au kutengua uteuzi wa yeyote aliyemteua na wakati anouona unafaa. Kutenguliwa kwa Ndugu Chalamila binafsi haukuwa wakati muafaka. Mhe. Rais kama kulitokea dosari angemwita na kumueleza dosari zake na yale maneno aliyozungumza kwa upande wangu sioni...
  20. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Huenda Chalamila hakuridhika na uhamisho, alifanya makusudi ili atumbuliwe

    Huyu aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndugu Albert Chalamila na kuhamishiwa Mwanza kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa inawezekana kabisa hakuridhika na uhamisho wake hivyo zile kauli zake baada ya uhamisho ukiangalia kwa jicho la ukamisaa inaonyesha kabisa kama ameropoka makusudi kabisa. Na katika utenguzi...
Back
Top Bottom