chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

    Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

    ".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi...
  3. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  4. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Karibu sana Chalamila Dar es Salaam, sisi wanywaji wa bia tunakuunga mkono

    Sisi wakaazi wa jiji la Dar es Salaam tupo tayari kukupokea na kukupa ushirikiano ndugu Chalamila. Wana Dar es salaam tunaweza kuchangia mapato ya Serikali kwa kiulaini sana kupitia kupiga tungi a.k.a gambe. Unaonyesha utaiweza sana Dar es Salaam kwani wana Dar wengi wao ni wanachama wenzako na...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chalamila aanza kwa kishindo! Atumia usafiri wa bajaj

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao. Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao. Akiwa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila ni 'Makonda Type', ila ana Umakini, Utu, Akili na Mchapakazi hivyo wana DSM tumpeni Ushirkiano mkubwa

    Mapungufu yake ni machache kuliko Ufanisi (Uwezo) wake mkubwa wa Kiutendaji ambao GENTAMYCINE naupenda na naukubali. Mkoa wa Dar es Salaam unawataka Watu Chakaramu (Watundu) ambao pia ni Watoto wa Mjini, Wasomi sana halafu Wasela mno na Wanaojua Kujichanganya na Waru wa kila Rika, Wathubutu na...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama Yusuf Makamba aliongoza Dar es Salaam, Chalamila hawezi kushindwa

    Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu. Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila? Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
  9. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Chalamila hana upeo wala uwezo wa Kuongoza Dar, bora hata angepewa Aggrey Mwanri

    Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar. Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi. Uwezo wa fikra ni mdogo mno. Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumhamishia Chalamila Dar es Salaam, Umelipokeaje?

    Usiku wakati tarehe 15 Mei 2023 ikielekea ukingoni Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliachia "PDF" ya Mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa ambapo wakuu wa mikoa minne waliguswa na mabadiliko aliyoyafanya Rais Samia Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akitoka Dar es...
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

    Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar. Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia. Mitume...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

    Watu milioni kumi wanapaswa kukabidhiwa viongozi wanaweza kuwa na maono makubwa kuweza kuwasaidia wafikie malengo. Chalamila siyo mtu sahihi katika jiji la DSM, maendeleo kwa ulimwengu wa sasa yanahitaji thinker's siyo commedian. Ulimwengu umebadilika sana . Kutoka kuwa na wakuu wa mikoa...
  13. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Chalamila sasa unakwenda kutimia Mawaziri kukopa fedha nje kugombea urais 2025

    RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa utabiri huo unaanza kutimia
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kunani Kagera? Kuna mvutano kati ya Mkuu wa Mkoa Chalamila na wanasiasa wa Kagera? Msikilize Mwijage!

    Nadhani hali si shwari kati ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera na wanasiasa wa Mkoa huo. Maneno ya Mwijage ni kama vile anatupa vijembe kwa mkuu huyo wa Mkoa. Itakumbukwa kwamba wakati akiingia kagera, Chalamila alikuwa akitoa kauli kwamba Diwani au mbunge akizingua anamuweka ndani, na alikuwa...
  16. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jakaya Kikwete atumie nguvu kubwa kuwatetea mawaziri waliotajwa na Chalamila?

    Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025. Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila jitokeze hadharani uwataje kwa majina Mawaziri wanaokwenda nje kukopa ili kumtoa Rais Samia 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert John Chalamila umemsikia live Mstaafu Kikwete akikuita muongo kwa kauli yako kuhusu Mawaziri kuacha majukumu ya kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhangaika nje ya nchi kusaka fedha za kuja kumng'oa 2025. Kwa heshima na unyenyevu mkubwa na kwa kuwa wewe ndio...
  18. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa mnashindwa kuiga ubunifu wa Chalamila?

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera kwa mara nyingine tena ameweza kufanya kile kilichowashinda Wakuu wa Mikoa yote ya Tanganyika. Wakulima wameandamana katika Mkoa wake kwa mujibu wa katiba yetu pendwa. Mkuu wa Mkoa ni Mwenyekiti wa Kamati/Baraza la usalama katika mkoa wake (Kagera), huwezi...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliwasiliana na rubani wa ndege iliyoanguka ziwani, shujaa Majaliwa na Chalamila watuombe radhi

    Kwa mujibu wa maelezo ya watu waliokuwapo ndani ya ndege na kufanikiwa kujiokoa, ndege ilijaa maji ndani ya dakika moja tangu ilipoanguka ziwani. Walilazimika kupanda juu ya viti upande wa nyuma. Ushahidi wa picha za ndege ilipokuwa ziwani unaonesha upande wa mbele wote ukiwa ndani ya maji...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Kagera Chalamila hizo Milioni 10 za Rais Samia kwa Wavuvi Waokoaji ni za kuwapa Wagawane au Wafunguliwe Akaunti Benki?

    Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe. Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
Back
Top Bottom