chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kevylameck

    JamiiForums Tanzania CCM imtumie Chalamila kufanikiwa kwa Samia

    Na Kevin Lameck Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kwa mara ya kwanza tutamshuhudia Samia Suluhu Hassan akipambana kwenye majukwaa ya kampeni ili...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila hajawahi kuwa na adabu hata kidogo, Kinachomwokoa kwa sasa ni kuwa yupo Upande wa Pili

    Samia alimwambia Chalamila akue. Ila badala ya kukua amekuwa chawa wa mama. Maneno na matendo yake kama isingekuwa kumsilfia sifia mama. Saivi tungekuwa tunaongea mengine. Kiufupi huyu jamaa ana mdomo mchafu sana by nature ila inategemea anaongelea kuelekezea upande upi.
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Chalamila amesema anaweza kupigana ngumu na yeyote, anaweza kutumia chuma chake ndani ya sekunde na hakuna wa kumfanya chochote

    Shibe ni mwana malevya na njaa ni mwana malegeza.. 🤸🤸🤸 Chalamila amesema anaweza kupigana ngumu na yeyote, anaweza kutumia chuma chake ndani ya sekunde na hakuna wa kumfanya chochote. Hii kauli hutolewa katika mizozo au matisho vikao vya kifamilia au kiukoo, Mkoa wa DSM wageuka ni ukoo wa...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote. Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote. Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
  5. Kaveli

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

    RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua. Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote...
  6. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

    RC Chalamila amewakumbusha Wananchi kutochanganya Dini na Siasa kwani Kanisa na Serikal ni Wabia. Chalamila Alikuwa akihubiri kwenye mkutano wa Kanisa la TAG na amewakumbusha kuwa Msajili wa Makanisa Yote ni Serikali hivyo ni vema wakalielewa hilo Siku zote. Chalamila amesema haipendezi kuona...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila asitisha uzinduzi wa Soko la Zakhiem baada ya kushtukia upigaji kodi za Vizimba

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, amesitisha uzinduzi wa Soko la Mbagala Zakhem baada ya kubaini uwapo wa madalali waliochukua fedha za watu kwaajili ya kuwauzia vizimba. Kufuatia taarifa hizo, Chalamila ametoa wiki moja na kumuagiza Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa kushirikiana na...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila chunga mdomo ni huruma tu imekuweka hapo

    Hello JF, Natuma salamu na onyo kali na tahadhari kali na ya uhakika kwa RC wa DSM Chalamila chunga mdomo ni kawaida baada ya haya majigambo December hutafika, ukiwa kwenye nafasi hio hapo ulipo maisha ni zaidi ya hayo. Hata nyegere huchokoza kibwege ndio aweze kupata mlo, nyuki wakali...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Chalamila, kauli yako juu ya wafanyabiashara Makumbusho inavunja Katiba

    Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale. Kuna mambo ya msingi yalielezwa nao kwao; nawe kwao na hata na Mstahiki Meya Songoro pamoja na Mkuu wa Wilaya...
  10. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliyelishika jiji kwa uharaka

    Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi . Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia, kila kitu ni shwari. Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi. Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni. Mnyonge...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ataka Mabasi ya ‘Mwendokasi’ yafanye kazi saa 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amawataka Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) maarufu kwa jina la Mwendokasi, kuangalia namna ya kuongezeka muda wa kufanya kazi hadi kufikia saa 24 badala ya muda uliopo sasa. Mbali na hilo pia amesema hafurahishwi na malalamiko yaliyokuwapo...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

    "Nimeona kwenye mtandao, ndugu yangu balozi Dkt. Wilbroad Slaa na yeye akieleza mambo yake kwenye mtandao, moja ya watu ambao kwa miaka mingi nimewaheshimu, kwa umri wao, kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt Wilbroad Slaa. Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake, kwa hadhi...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
  16. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  17. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Kuongelea kero ya maegesho, Chalamila umechukua heshima yangu!

    Hawa jamaa wamekithiri mno kunyanyasa watu. Nashukuru kuwa mamlaka imegundua kuwa wanatumia vibaka.
  18. Cetshwayo Kampande

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Huwezi kukwepa kelele Dar es Salaam

    Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji. ========== Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba Wakazi wa Mkoa wa Dar es salaam kufanya starehe ambazo hazitokuwa na...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila "akipikwa vizuri" anafaa kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM

    Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya kwanza ya Albert Chalamila kama RC wa DAR mbele ya Rais Samia

    Leo Mei 18, 2023, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amezungumza mbele ya Rais Samia kwa mara ya kwanza tangu ahamishiwe Jijini Dar kuchukua nafasi ya CPA Makalla aliyeondolewa na kupelekwa Mwanza kutokana na sakata la Mgomo wa Wafanyabiashara wa Kariakoo.
Back
Top Bottom