chai

Masala tea (; lit. 'mixed-spice tea') is a tea beverage made by boiling black tea in milk and water with a mixture of aromatic herbs and spices. Originating in India, or Thailand the beverage has gained worldwide popularity, becoming a feature in many coffee and tea houses. Although traditionally prepared as a decoction of green cardamom pods, cinnamon sticks, ground cloves, ground ginger, and black peppercorn together with black tea leaves, retail versions include tea bags for infusion, instant powdered mixtures, and concentrates.
The term "chai" originated from the Hindi word "chai", which was derived from the Chinese word for tea, cha (see: Etymology of tea). In English, this spiced tea is commonly referred to as masala chai, or simply chai, even though the term refers to tea in general in the original language. Numerous coffee houses use the term chai latte or chai tea latte for their version to indicate that it is made with steamed milk, much like that used to make a caffè latte, but mixed with a spiced tea concentrate instead of espresso. By 1994, the term had gained currency on the U.S. coffeehouse scene.

View More On Wikipedia.org
  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Tumekubaliwa mazoezi na hatutambui mechi nyingine tofauti na June 15, Mangungu huyohuyo baada ya kulamba chai ya ikulu, Kageuka!

    Aliyeandaa hii barua na kusisitiza hakuna mchezo mwingine tofauti na JUNE 15 na kwamba wamekubaliwa kufanya mazoezi katika dimba la mkapa na kesho watapeleka timu, Mara ghafla baada ya kupata per diem za mbumbumbu, Kaingia mitini! Hii tunaiitaje kitaalam?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Unafahamu aina ngapi za Chai?

    Mei 21 kila mwaka ni siku ya kuadhimisha Chai duniani. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali kuna aina 19 za chai. Wewe unafahamu aina ngapi? Different Types of Tea Discover different kinds of tea, each with its own special qualities. Join us as we explore these delightful tea varieties, one at a...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mji wa Puer wajibebea umaarufu Asia Mashariki na kwingineko kwa uzalishaji wa Chai yenye ladha tamu ya Pu’erh

    Wakati nilipotembelea mkoa wa Yunnan moja ya mambo ambayo sitakuja kuyasahau ni kupita katika eneo maarufu la Chai ya Pu’erh. Katika safari yangu ya treni wakati natoka Kunming mji mkuu wa mkoa wa Yunnan kuelekea Xishuangbanna, tulipitia kituo kimoja kiitwacho Puer. Mji huu wa Puer ambao upo...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

    Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa chai wilayani Rungwe-Mbeya hawajalipwa miezi minne sasa hakuna taarifa yoyote wakulima waanza kung'oa chai

    Katika Hali isiyo ya kawaida wakulima wa zao la chai wilayani Rungwe mkoani Mbeya hawajalipwa fedha zao ambazo kwa kawaida hulipwa Kila mwezi, halafu imekuwa ni kawaida Yao wamiliki wa viwanda kutowalipa wakulima kwa wakati na katika miezi wanayodai huwapooza kwa kuwalipa mwezi mmoja halafu...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kauli ya Waziri Bashe; Je, Viwanda vya Chai vya Chivanjee na Msekela Rungwe kufufuka tena?

    Wiki hii Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe, alihutubia wajumbe wapya wa Bodi ya Chai inayoongozwa na Banker Abdulmajid Mussa Nsekela. Katika hotuba yake, Waziri Bashe alimwelekeza mwekezaji na mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji, kushirikiana na Bodi hiyo kwa lengo la kufanikisha...
  7. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Uzi kuitwa Chai ina maanisha nini? Naombeni majibu.

    Nashangaa fulani kusema "Chai" akirejea mada ya uzi fulani. Huwa wana maana gani? Chai? .
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suhuhu Hassan, mama wa Taifa naomba unialike hapo ikulu nije kunywa chai mama

    Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji. Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Zembwela Amkumbuka Magufuli, Asikitika namna serikali ya sasa inavyoibiwa kizembe

    "Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya" "Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda" https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
  10. Jane Msowoya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchai chai kilo 500

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass) Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akipata chai na vitumbua katika Ikulu ndogo Tanga, kabla ya ziara kuelekea Muheza na Mkinga

    Wakuu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anaendelea na ziara yake mkoani Tanga. Asubuhi ya leo Alhamisi, Februari 27, 2025 ameandika katika kurasa zake za kijamii: “Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  13. Qs Cathbert

    JamiiForums Tanzania Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

    Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
  14. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Bangi sio chai ; cheki vituko vya Maghayo

    Hii video ameipost Mwenyewe humu Jf kwenye uzi mmoja hivi ...
  15. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Ya Mbowe na Gambo yametufundisha kwamba, mwanaume wa kweli lazima apige yowe pindi chai ya watoto wake inapoguswa na vitu visivyojulikana

    Kumekucha kumekucha Gambo Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania 2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

    Kuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa. Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
  17. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mohammed 'Mo' Dewji ametelekeza mashamba ya chai Rungwe, ajira zatoweka

    Kama ilivyo ada, nimetembelea kwetu Xmas hii ili kuona mandhari na uzuri wa Rungwe, kwetu. Kilichonisikitisha ni Chivanjee Tea Estate kuanza kufa kwa kukosa matunzo. Waziri wa Kilimo ndg Bashe aingilie kati haraka, MO aachilie mashamba ya chai kule Jivanjee Chivanjee Tea Estate, Tukuyu...
  18. Shuku_

    JamiiForums Tanzania CHAI na USINGIZI vina uhusiano gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi. Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu hunijia na ni lazima nitafute sehemu ili nilale ili kuondoa uchovu huo unaoletwa na unywaji wa CHAI...
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yaipongeza Serikali uwekezaji kiwanda cha Chai Mponde

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uamuzi wake wa uwekezaji kwenye kiwanda cha Chai Mponde Uwekezaji huo umefanywa kupitia Mfuko wa Fidia kwa...
Back
Top Bottom