chapati mbili na chai
Senior Member
- Jun 1, 2026
- 100
- 190
Samahanj naomba kuuliza haiwezekani kupika chai ya nazi, yaani unachuja tui lako vizuri, unachemsha unatia tangawizi au viungo vingine vya chai.
Hili pishi likoje Kwa wale ambao mmewahi kujaribu
Hili pishi likoje Kwa wale ambao mmewahi kujaribu