Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho kuandaa uchaguzi na kufanya uteuzi ili kuziba nafasi za viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, maarufu G55.
Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa chama hicho wanaopinga kampeni ya chama hicho...
Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo.
Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka...
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;
BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu...
Hili ni swali mjadala ambalo naamni lityaleta picha ya matarajio na mitazamo ya wananchi kutoka kwa wanasiasa.
Je Uchaguzi Ukiwa Huru na wa Haki na TUME ikawa HURU Kikamilifu Unaweza Kuipa Chadema KURA YAKO?Toa Sababu.
Mimi binafsi siwezi kuipa Chadema KURA yangu hata ya Udiwani.Hii ni kwa...
GT.
Jamani mna uhakika hawa qanaoitisha press ni wanachadema wote au kuna mamluki ndani yake?
Pili sijaona wakikabidhi au kurudisha kadi za chama ila CCM kwa propaganda ni wazuri lakini mwisho wa siiu hakuna lolote
Jinamizi la kutoaminiana kwa viongozi waandamizi ndani ya chadema latanda na kuwatia hofu, kiwewe na mashaka viongozi wote waandamizi, wanachama na mashabiki wa chama hicho nchi, na wasijue cha kufanya dhidi ya kinachotokea zaidi ya kuropoka tu.
Haijulikani anaefuata kujiondoa chadema anatoka...
"Binafsi ningeshauri hawa wanaohama CDM, wasitafute jukwaa lingine lolote lile lililopo kufanya siasa zao.
Kwa maana wasiingie chama kingine cha siasa kati ya vilivyopo!! Kwa sababu walishawahi kuvi-point madhaifu yao na kukiri havifai!!
Badala yake kama wana interest bado na siasa, waanzishe...
BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari
https://www.youtube.com/live/C8UctgnFAbg?si=i1BRJLq9o2CFiX0x
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule
Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia...
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya CCM, Lyaganda amewaambia wananchi kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Duniani Muogope Sana Mwenyezi Mungu pamoja na Teknolojia.
Hali imekuwa tete kwa CHADEMA,hali imekuwa mbaya,hali imekuwa ya kukatisha tamaa ,hali imekuwa siyo hali,hali inawanyong'onyesha viongozi wa CHADEMA na wanachama wote kwa ujumla wake.
Ambapo sasa baada ya...
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka.
Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika.
Na...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha...
Salaam!
Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga.
Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa...
Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti.
Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election".
Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa...
Katika kipindi ambacho baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekuwa wakitangaza kuhama na kujiunga na vyama vingine, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Frank Mwakajoka, ameeleza kuwa hatua hiyo inaonyesha kushindwa kwao kuvumilia misimamo ya chama...
Njaa hainaga simile ukishaiendekeza. Lile kundi la G55 baada ya kugundua hakuna namna mpango wa 'nusu mkate' (kupewa bakishishi ya madaraka kupitia Chadema kwa fadhila za CCM) kuweza kutekelezwa chini ya uongozi wa Lissu, wakaona isiwe tabu maana msimu wa 'mvua' umefika, hivyo wakichelewa tu...
WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao...
Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche.
Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi.
Siri za ndani ya Chadema zinafichuliwa na waliotoka ndani, hakuna siri tena chama kimebaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.