Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana.
Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
Baada ya mvutano kati ya Polisi na CHADEMA, hatimaye imekubalika kuwa mkutano wa chama utafanyika katika eneo lililokusudiwa. Awali, Polisi walifika na kuzuia maandalizi yaliyokuwa yakiendelea kwa maelezo kwamba eneo hilo limebadilishwa, licha ya kuwa jukwaa na mfumo wa sauti (PA System)...
Chadema Kanda ya Kati wanazungumza muda huu mbele ya waandishi wa habari katika ofisi yao iliyopo Swaswa, Dodoma
https://www.youtube.com/live/9tpeXEUDWTA?si=VZLU3R33pExJHa5l
Dkt. Steven Karashan Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini.
"Sisi kama CHADEMA, Dodoma Mjini tuko imara kuliko...
Freeman Aikael Mbowe ni miongoni mwa Waasisi na waanzilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Amekitumikia chama tangu 1992 hadi leo tuseme zaidi ya nusu ya maisha yake ameyaishi ndani ya Chadema.
Nini kimemtokea hadi anaonekana kama msaliti anayetaka kukiua chama alichokiasisi. Ni...
Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani,
Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe
Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche,
lakini siyo hivi vyama vya waganga...
https://youtu.be/3H_uTS1rIj8?si=8Q5NYm9rN6lyonQL
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ni chama cha siasa chenye nguvu kuliko hata CCM. Hii imedhihirika baada ya Serikali ya CCM kuonekana inahangaika sana kutaka kuiua na kuizika CHADEMA. Ukisikiliza hoja za Viongozi wa CHADEMA kwenye...
Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni wakati wake. Yeyote atakayejaribu kuyazuia yatamtupa pembeni au kumsaga tikitiki, maana hili ni...
Kuna siku Musukuma alitishia kuweka wazi miamala ya fedha toka CCM kwenda kwa Mbowe ili aendeshe chama tukadharau.
Mchungaji Msigwa, aliwahi kusema 'Chadema sio taasisi ni mali ya Mbowe' ni biashara ya familia, tukadharau.
Kuna baadhi ya wana CCM walikuwa wakisema Chadema ni Sacos...
Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA
Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm
Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba
CHADEMA sio TLP?
CHADEMA sio CUF?
CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI?
Wanadhani na...
Mtu mwenye akili timamu, hawezi fanya hiki kinachoendelea kwa lengo eti la kuihujumu CHADEMA akiamini CHADEMA itakufa unless ni matokeo ya kuishiwa mbinu na kukata tamaa.
Yaani uhonge wanasiasa na wanachama wa CHADEMA kwa makumi mikoani halafu uamini hiyo operation itafanikiwa kuidhoofisha...
Wakuu,
Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu wa Chadema wa kumgo'a Mbowe ni ushindi na sauti ya Mungu.
Wanachama walizungumza na Lissu akawa mshindi hii ndiyo Demokrasia. Sasa mtu anasema eti ananyanyaswa na uongozi mpya ndiyo sababu ndogo kabisa ya kuhama huo ni udalali.
Chadema ni chama cha wananchi...
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.
Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi
Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.
Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa...
Leo nimeamini pasi na shaka kuwa Mwamba anahusika na huu mradi wa hama hama ndani ya Chadema na kwakweli bado sijajua sababu hasa ni nini.
Labda anataka kuona kuwa yeye ndiye Chadema? Lakini yote haya ni matokeo ya kiongozi kukaa madarakani muda mrefu maana mwisho wa siku anatengeneza mtandao...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho kuandaa uchaguzi na kufanya uteuzi ili kuziba nafasi za viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, maarufu G55.
Kundi la G55 linahusisha viongozi na makada wa chama hicho wanaopinga kampeni ya chama hicho...
Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo.
Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka...
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;
BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.