Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yetu kwa sasa CHADEMA kinaonekana kushika chati kwa misingi kuwa wananchi wanakiona kama chama kinachobeba ajenda za wananchi.
Viongozi wa dini wanakielewa, wanasheria, NGO na nje ya nchi nao wanawaunga mkono kwa vile tu kinapitia madhila mengi kuuawa...
Wakuu!
Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma.
Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake.
Ndani ya chama kila mtu...
Ndugu zangu na watanzania wenzangu ni matumaini yangu mbukheri wa afya na km haupo sawa Mungu akupe nguvu,Amina.
Kwa Leo nimewiwa kuongea na watanzania wenzangu wapenda maendeleo na wazalendo wa kweli wa nchi hii Tanzania.
Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu,pamoja na uchaguzi mkuu Tanzania...
Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda.
Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, Moza Ally, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya CHADEMA, akilalamikia ukosefu wa mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho na kukosekana kwa mkakati wa wazi kuhusu ushiriki kwenye uchaguzi mkuu...
Kila siku habari kuu na mijadala iliyopo mtandaoni ikiwepo hapa JF ni kuhusu Chadema kuliko vyama vingine, ni kama ambavyo CCM inapata airtime kubwa kwenye TV na Radio ila kwenye social medial ni Chadema zaidi pamoja na kuwa na kundi kubwa la watu wenye ushawishi na majina wakiwepo wasanii...
Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda.
Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha?
Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiendelea kukumbwa na mtikisiko wa ndani, mamia ya wanachama wake wanaripotiwa kujivua uanachama, huku wakihusishwa na mpango wa kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kikiwa miongoni mwa vyama 19 vilivyosajiliwa rasmi nchini...
Si kwasababu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Bali ni madhila, uonevu wa wazi, dhuluma na mateso ya kila aina wanayopata CHADEMA kupitia vyombo vya ulinzi kwa baraka za CCM
CCM nao wameanza kuumizwa na hii hali kwakuwa sasa Watanganyika wamekuwa na mwamko mkubwa wa kuona uhalisia na kuamua kuiunga...
Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
John Mnyika
Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana.
Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho.
Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa...
GT.
Chadema hakikisheni hao wapuuzi wanakabidhi nyaraka za kuhama chama la sivyo.muwafukuze au muendlee kuwatambua.
Najua ujinga wa CCM wanaweza kurudi kwa mlango wa nyuma wakidai ni wanachama halali na kuanza kuvruga tena kwa Mara nyingine. Chukueni hii tahadhari.
Pili Pangeni kampeni ya...
Wakuu,
Ni mwendo wa kuendelea kuangalia panapovuja mpaka iache kunyesha.
https://www.youtube.com/live/7DyNX31-xaQ?si=rDbUhzxMfwptm2Q-
Meza Kuu inajumuisha;
Henry Kileo - Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Kinondoni - Nimekaa kwenye chama kwa uaminifu sana, lakini chama sasa kimepoteza muelekezo...
"Mwenyekiti wa sasa alisema ataishughulikia sekretarieti, na bahati nzuri watu waliamua kujishughulikia wenyewe na asilimia 90 ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA waliondoka wenyewe hawakufukuzwa, kwa mazingira yale unaishi katika kipindi hupendwi wala huthaminiki," - Julius Mwita aliyeondoka...
CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa kukiuka Katiba ya chama.
Katika majibu yao, CHADEMA wameeleza kuwa barua ya Mchome ilikuwa ni rufaa...
Huwezi kuishi kwa kujifanya mtoto mdogo Kila wakati ilihali umekuwa, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria hivyo jitafakari. Taifa linakuwa vituko kwa sababu ya watu tuliowapa dhamana, fikra za hovyo zimewatawala. Ofisi ya msajili kwa hili huwezi kukimbia matokeo yake wewe siyo mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.