chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani vita kati ya CHADEMA vs CCM

    Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi: No Reforms No Election imetupelekea kuwajua wahuni wote waliokuwa madalali ndani ya chama

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi kimetoa msimamo wao wa kuendelea kusimamia ajenda ya chama hicho ya kuzuia uchaguzi endapo hakutakuwa na mabadiliko ya kisheria wanayoamini yatawezesha uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kuwa huru na haki.
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuburudike kidogo: Kwa hakika CCM hawana Furaha, CHADEMA ni wanyonge ila wana furaha

    Tuburudike kidogo na Video hii, Kwa Hakika CCM hawana Furaha ,Licha ya CHADEMA Kuwa wanyonge ila wanafuraha.
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wanaoondoka CHADEMA ni waliokuwa Viongozi peke yao, Vipi Wanachama?

    Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea. Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi. Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama nachanganyikiwa..! Risasi alizopigwa Lissu zinauhusika na pande zote mbili? Kwanini wanachadema wanaamua kukimbia chama bila sababu?

    Wanusa upepo wa CCM na Chadema hasa wanaokula sahani moja kwenye hizi siasa za kinafiki, wamegundua kuwa, Ni dhahili Chadema inaenda kushika dola Wakati huu, nilitarajia Chadema iwe moja, ishikamane kwa hali zote Kwa sababu, wakati wa Chadema kuchukua nchi ni sasa, na hii ingefanya Chadema...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Devotha Minja na baadhi ya G55 pamoja na wananchama wajivua uanachama CHADEMA

    Wakuu, haya wacha tuone leo ni nani anajiahibisha leo na kuutangazia umma anaenda kuchukua 'chai' kwa CCM. ==== G55 Morogoro kuzungumza na waandishi wa habari kujiondoa CHADEMA https://www.youtube.com/live/Oniq6b-NIn4?si=yCSNQyRnUYtwXCfy Meza Kuu inajumuisha; Devotha Minja - ameanza kwa...
  7. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapenda mabadiliko msitishwe na hii ya hamahama ya baadhi ya wanachama wa CHADEMA

    Kwanini? Kwa sababu hao wote wanaohama walikuwepo kwenye chaguzi za 2019, 2020, 2024, na hakuna chochote cha maana kilichofanyika. Haya mambo yako wazi kwa kila mtu, kwamba bila ya uwepo wa mabadiliko ya Kikatiba, Kisheria na Kikanuni, hakuna chochote kinachoweza kuthibitisha kuwa tuko kwenye...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alishachaguliwa na Mungu anapendwa tu na Wananchi, CHADEMA inapendwa na Wananchi, anayehama atapotea, anayehamia CHADEMA atainuliwa

    Wakuu nadhani hili tuliweke sawa. Hivi mnajua TUNDU LISSU ni mpakwa Mafuta wa Mungu!? Huyu Mh yeye anapendwa tu yaan yeye hata asingeshinda Uenyekiti akahama chama au akaanzisha chama chake, Wananchi watamfuata tuu na bado atakua tishio. CHADEMA inapendwa na Wananchi , kwahiyo Kiongozi akiwa...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kipanya anawagutua CCM, ametukosea Sana CHADEMA

    Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."? Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Henry Kilewo: Viongozi wa sasa wa CHADEMA wanatumiwa na CCM kuhujumu harakati za mageuzi nchini

    Katika mahojiano maalum aliyoyafanya leo, Alhamisi Mei 15, 2025 kupitia kipindi cha Furaha Morning, Kilewo alifichua kwa uchungu kuwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA kwa sasa wanatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhujumu harakati za mageuzi nchini. "Huenda wakawa wanatumika kwa kujua au...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa CHADEMA imekufa ndio huku sasa

    MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania MwanaJF Dennis Roberts ni mtu sahihi kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Kamati kuu ya CHADEMA impigie magoti kumuomba ajiunge na chama chao na kumpa nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa ikijitambulisha kama chama cha watu wasomi wenye akili nyingi. Huyu Dennis ni msomi anayeongelea kwa undani sana kuhusu Nuclear power, Solar systems...
  13. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Mbowe anapaswa kubeba lawama ndio chanzo cha yanayoendelea CHADEMA

    Bonjour wanabodi! MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA. Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo...
  14. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA(G-55) Vs CHADEMA 2025, nani ataaminiwa na Umma Zaidi?

    Habari wanabodi! Binafsi napenda kuuliza swali moja dogo tu baada ya kuwasikiliza hawa wanaojiita G-55 wanaoondoka CHADEMA kwenda chama kipya ambacho inasadikika ni CHAUMA, hivi kuna Mtanzania ataacha kuangalia au kumsikiliza Tundu Lissu na John Heche akamsikilize John Mrema au Salum Mwalimu...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Licha ya Hongo Kwa Waandishi, Waandishi nao wanajua ni Habari za CHADEMA pekee zinazouzika !!

    Kuanzia Magazetini mpaka Mitandaoni, Ndani ya Nchi mpaka Nje ya Nchi. Ni CHADEMA TU !!.
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA, wale wanao unga juhudi ambao ni viongozi wa either mkutano mkuu au Baraza kuu Taifa, wawe replaced faster, kuna move

    Kuna Move inachezwa hii ni zile move za Kikorea, Wanao jiondoa hasa wale wa Baraza kuu taifa au mkutano mkuu taifa lengo lake ni kutengeneza upungufu wa akidi, sasa sijajua kama wakina Mnyika au Heche walisha nyaka hilo. Kuna project ya kutengeneza upungufu wa akidi ya either Mkutano mkuu au...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Huyu mtu aliyebuni slogani ya "No reforms No election" ndani ya CHADEMA ana akili sana, tumpe maua yake!

    Serikali ya CCM ,inalala na viatu, inahaha, kila mbinu chafu wakileta unashindwa kuuzima moto wa No reforms No election. Hapa kila Mtanzania anaimba , huu wimbo, "CCM wanaimbia kimoyoyo" , mpaka viongozi wa dini mashekhe, mapadirii,wachungaji, maskofu, yaani kila kona ya nchi ni No reforms No...
  18. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Madhila yanayoipata CHADEMA ndiyo yanayowafanya wananchi wakiunge mkono

    Nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi yetu kwa sasa CHADEMA kinaonekana kushika chati kwa misingi kuwa wananchi wanakiona kama chama kinachobeba ajenda za wananchi. Viongozi wa dini wanakielewa, wanasheria, NGO na nje ya nchi nao wanawaunga mkono kwa vile tu kinapitia madhila mengi kuuawa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabomu ya Machozi yarindima Musoma kusambaratisha Wafuasi wa CHADEMA wakisindikiza msafara wa Heche

    Wakuu! Jeshi la Polisi Mkoani Mara limelipua mabomu ya machozi na kutawanya maelfu ya wananchi waliokua wakimsindikiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, John Heche mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma. Wanadai wananchi kumsindikiza Heche kwa umbali mrefu ni sawa...
Back
Top Bottom