Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME.
Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??.
Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.
Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi.
Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
1. Posho za wabunge
2. Posho na mshahara na maslahi ya Rais
3. Posho na maslahi ya mawaziri
4. Maslahi ya jaji mkuu
5. Spika na naibu wake
6. Wakurugenzi
Kawaida Afrika akiingia mpya au chama kipya mfumo wote wa uongozi unabadilika. Mfano chadema ya Lissu , team Mbowe wote wanakula upepo na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa wanachokitaka kama kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu au kutoingia.
Mwenyekiti wa vijana amewasihi...
Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama.
Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri
Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA
Kibatala...
Kisheria, chama chochote cha kisiasa ni legal entity. Kinaweza kufungua au kufunguliwa mashitaka kwa jina lake chenyewe (in its own right). Hivyo, ni upumbavu mtupu kuwakamata viongozi wa chama cha kisiasa (in their individual capacities) kwa official acts zao.
“No Reforms, No Elections” ni...
Katibu Mkuu CHADEMA anastahili zifuatazo kwa Cheo chake,
1. Mshahara 7m TZS/mwezi (take home).
2. Usafiri/Gari SUV (4WD), dereva na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
4. Posho za safari nje na ndani ya nchi.
**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati...
Siasa
Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika
Saleh Mwanamilongo
Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita
Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini.
Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
Friends and our Enemies,
Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini.
Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa...
Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Omary Chulla akizumguza katika Ziara ya kamati ya Utekelezaji ya UVCCM katika kata ya Kihorogota Tarafa ya Ismani, Wilaya ya Iringa leo, Tarehe 19 Aprili 2025.
Kupata matukio na...
Watanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kukusanya kura za petition milioni 15 ni hatua muhimu kwa Chadema. Katika muktadha wa sera yao ya "No Reform, No Election," hatua hii ina faida nyingi ambazo zinaweza kubadilisha mfumo wa kisiasa nchini Tanzania. Hapa chini, tutaangazia faida hizo na...
Miezi miwili iliyopita niliwasihi CHADEMA wabadilishe kauli mbiu yao ya ‘no reforms, no elections’ na waache kusema [hususan mwenyekiti wao mpya] watauzuia uchaguzi kufanyika endapo hakutakuwepo mabadiliko ya namna chaguzi zetu zinavyofanyika...
Huu ndiyo ukweli mchungu wa watawala,yaani CCM wanajua kabisa wakikubari matakwa ya Chadema wamekwisha,maana yake kuanzia mawaziri ambao wametokana na ubunge mpaka wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa hawatarudi bungeni
Yaani kuwepo na tume huru,Uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki bila polisi...
Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.
Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
Mimi siyo CHAWA wa chama chochote lakini nitoe pongezi Kwa viongozi wa CHADEMA kwani kazi Yao ni kazi iliyotukuka.
CHADEMA wanaonekana ni wanaharakati uchwara kwasabab ya upeo mdogo wa akili wa WATANZANIA tulio wengi.
Familia za viongozi wakubwa wa CHADEMA hazipo NCHINI na hazina njaa lakini...