chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Warioba: CCM wako tayari kufanyia mabadiliko maeneo kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu 2025. CHADEMA msimamo wao ni mkali mno, wanataka yote

    https://youtu.be/sjfPgpGxlPM?si=KotQLiYWJwasPFmS Leo nimepata nafasi ya kumsikiliza mzee wa CCM, Jaji Joseph Warioba akishirikiana na wenzake kujaribu kuwaleta CCM na CHADEMA pamoja ili kunusuru mgogoro mkubwa wa kisiasa uliopo Sasa na nchi kuingia ktk uchaguzi ikiwa moja badala ya mgawanyiko na...
  2. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Tundu Lissu alisema 'No reforms, No election' sio msimamo sahihi, unaenda kuua chama

  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Upinzani copy demokrasia ndani ya CCM ili muweze Ku motivate vijana kuishi siasa

    Kuna siku nilitoa ushauri kwa chama cha CHADEMA kijiwekee mkakati wa muda mrefu kuliko kukabia juu kuanza kurushiana maneno haijengi chama. Cha kufanya wawekeze office kila kijiji taratibu vijana wataanza kuamini wakiwa na nafasi wakila ndani.si unaona CCM wanavyotumia mbinu ya mtaji na watu...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kesi ya Lissu ya Uhaini mambo yamefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana. Tunasubiri kuona kitakachojiri

    Kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu imefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana Iwapo DPP ataamua kuendelea na kesi, taratibu za kuhamisha shauri zitaanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, na kesi itapelekwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa. Mahakama Kuu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CHADEMA wako serious na NRNE wazuie wanaochukua form za kugombea CCM kwa sababu ni rahisi kuliko kusubiri

    Kama watakuwa na uthabiti mwaka huu wote wanaochukua form za ubunge na udiwani wafuatwe kwa utaratibu waulizwe .Na napendekeza
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA imetuma maombi kushiriki uchaguzi

    Heche kweli kichekesho! Kila siku makelele kama generator ya kijijini, kumbe walikuwa wanapiga porojo tu! Walisema hawashiriki uchaguzi, leo wanatuma maombi kwa mbwembwe. Wanafiki wakuu, walitaka huruma kumbe walikuwa wanatafuta nafasi! Acheni maigizo, wananchi si wajinga.
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanachama wasaliti wa Chadema nyota zao hupotea jumla?

    GT Anayejua hili atuambie inakuwaje mtu anayetoka.chadema kwenda kwingine nyota yake hufifia mazima. Tofauti na anayetoka Chama kingine kuingia Chadema. What is going on? Au ndo mpango.wa mungu hatujui tu
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche athibitisha kuwa zaidi ya viongozi 360 kwa ngazi zote wameondoka CHADEMA

  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi amesema CHADEMA imepotea njia, hakuna muelekeo, chama kimepotea

  10. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na balozi mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa vienna?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo hii Esther Bulaya ni wa kusema CCM aliyohamia ni sawa na Barcelona na CHADEMA iliyomtengeza kuwa Bora alivyo ni Leicester City iliyoshuka daraja?

    Sasa nakubali rasmi kuwa ni bora Umuamini Mwanaume mwenzako kwa 99% kuliko Mwanamke. Na kama Wewe ni Mwanaume ambaye Umeona Mke kama Esther Bulaya jua kama ameweza leo kuikana na kuinanga CHADEMA ambayo kwa 99.999% ndiyo imemtengeza alivyo Kiumahiri sasa jua hata katika Ndoa au Mahusiano yako...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Michael Gahler: Serikali ya Tanzania lazima iwajibishwe. Wanaohusika na ukiukwaji Haki za binadamu wawekewe vikwazo na Bunge la Ulaya

    Moto unazidi kuwaka. Mr.Michael Gahlev, mratibu wa mambo ya nje katika Bunge la ulaya, amewasilisha mapendekezo kwenye Umoja wa ulaya, kuhusu Hali ya Tanzania. Mapendekezo hayo ni pamoja na viongozi wanaojihusisha na uminywaji wa demokrasia na Hali za binadamu kuwekewa vikwazo vikali na Umoja...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunataka serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi

    CHADEMA tumekataa kuwa sehemu ya uchaguzi wenye unajisi, na tunahisii serikali ifanye mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi, lakini pia tunashambuliwa kila upande mahakamani, ofisi ya msajili, polisi , John Heche
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania John Heche: Sisi CHADEMA tunaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini isiwe ndizo zinanua baiskeli

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema wao CHADEMA wanaitaka serikali iwaeleze Watanzania zaidi ya Trilioni 46 zimetumika kufanya nini au miradi gani imefanyiwa kazi kupitia fedha hizo, lakini isiwe ndizo zinanua baiskeli na kuwagiwa watu bure na mwisho wa siku Watanzania wanapata...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania John Heche: Rais Samia Alitoa Maelekezo kwa Vyombo vya Dola Badala ya Kuwahutubia Wananchi

    https://www.youtube.com/watch?v=pxv_q95srWY Updates.. John Heche amedai kuwa hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Ijumaa iliyopita Juni 27, 2025 ilielekea zaidi katika kutoa maelekezo kwa vyombo vya Dola kuliko kuzungumza na Wananchi. Vijana Watanzania Serikali hii aiwezi kuwatoa kwenye matatizo...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza akiwa amevalia nguo za CCM, Juni 30, 2025

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

    TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moja ya impacts za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi zaanza kuonekana sasa

    Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi. Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama kuna Suprise ya kuisimamisha dk 5 ni kwa CHADEMA kutanganza wote kujiunga na CCM na kuchukua fomu za ubunge kupitia CCM

    Nimemuuliza Grok uwezekano wa CHADEMA kuzuia Uchaguzi. Imejibu hizo ni ndoto za mchana. Nikauliza tena iwapo CHADEMA Lissu imeamua kupita ktk hoja cha Chaumma kuwa Kususia Uchaguzi haukuwa mkakati wa CHADEMA bali ilikuwa ni kauli mbiu tu ya kumtisha Kasongo (ngiri) akiwa ndani ya Shimo. Akajibu...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CHADEMA tupo Waumini wa Ufufuo na Uzima, Naomba Chama kitie nguvu kwenye Ibada zetu Kila Jumapili, kama ni mabomu tupigwe pamoja!!

    Niwaalike wanachadema wote Kwa ujumla,na watanzania wote na Wakristo, Kila Jumapili tuwepo , tuungane, tutie nguvu , Tupige kelele, tupaze sauti, Wacha wao watulige mabaomu, watuue, sisi tukusanyike, tufanye Ibada za Amani, tudai haki yetu ya kuabudu, TUIAMBIE DUNIA kua Tanzania Kwa Sasa Kuna...
Back
Top Bottom