chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu CHADEMA ni batili kukaimisha ni batili na waliokaimishwa ni batili

    Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa CHADEMA uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili. Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi, Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kumshtaki Msajili wa Vyama vya Siasa Kupinga Kutengua Viongozi Walioteuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na Baraza Kuu Januari 22, 2025. Soma pia: Heche amvaa Msajili Mei 13, 2025, Msajili wa Vyama vya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwasisi CHAUMMA, Eugene Kabendera ajiunga CHADEMA

    Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yamburuza Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakamani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ametangaza kuwa chama hicho kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, akisema ni kinyume na sheria na demokrasia. Ametoa kauli hiyo leo Juni 4, 2025, Jijini Dar es Salaam alipowasilisha maazimio ya Kamati Kuu ya chama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA siyo kwa ubaya ila mnapaswa ku-Move on sasa siyo kila siku kuwatajataja CHADEMA

    Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi. Kama wao wameamua kushiriki si washiriki tu kuna haja gani ya kuwafuata fuata chadema kila siku. Katibu mkuu wao huko Mwanza leo asema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa ACT Wazalendo awaasa wana ACT Kutofurahia CHADEMA kuonewa na dola, akemea utekaji wa wananchi unaoendelea nchini

    Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao. Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kamati Kuu ya Chadema kuhusu sakata la Msajili kutolewa leo

    Hii ndiyo Taarifa ya sasa iliyosambazwa na chama hicho kote Duniani
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hatupo kwaajili ya CHADEMA wala CCM; Tupo kwaajili ya Kulisimamisha taifa la Tanzania na kuwapa nguvu watanzania kwa Haki

    Mpo Salama! Hakuna cha CCM wala Chadema. Hakuna cha Tundu Lisu wala Samia Suluhu! Hatumtetei yeyote na hatupo kwaajili ya yeyote. Tupo kwaajili ya Watanzania wote. Hatukubali Mtanzania yeyote aonewe. Iwe ni Mkubwa au ni mdogo. Iwe anahadhi au hana hadhi. Ndio maana tunapiga Kelele watu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni CCM na CHADEMA ndivyo vyama vigumu kutikisika na mawimbi kirahisi

    Kwa maoni yangu hapa nchini ni vyama viwili tu vilivyokomaa na ni vigumu kuvitikisa kwa sababu zifuatazo: CCM ni chama kikongwe kimepitia misukosuko mingi kwa takribani miaka 30 pili ni chama chenye mizizi hadi vijijini kina wanachama almost 12m, tatu kina mifumo inayoeleweka na raslimali watu...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Usiendeshwe na hisia. Siasa ni Psychological Manipulation

    Katika ulimwengu wa kisasa wa siasa, wengi wetu tunajikuta tukitumbukia kwenye mtego wa hisia. Tunachagua viongozi, tunapigania vyama, tunajitokeza mitandaoni au mitaani kutetea misimamo ya kisiasa kwa hasira, chuki, au upofu wa kimapenzi. Lakini kuna ukweli mmoja mkubwa ambao wengi hawataki...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitengeni maneno ya udini kwa baadhi ya wanachama wenu

    Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi. Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania "Sisi tunaichukua CHADEMA na ukubwa wake kisha tunaenda kuihamishia CHAUMMA" Alisikika mjinga mmoja hivi

    Yupo mjinga mmoja sitamtaja jina alisikika akitoa hiyo kauli kwa mbwembwe wakati anahama. Aliongea mengi mengine siyakumbuki na kama kawaida akapambwa na wale waandishi mradi. Leo kipo wapi? Muachieni mzee Rungwe chama chake alikuwa anaenda mdogo mdogo na ubwabwa wake na walianza kumuelewa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanaorusharusha vipicha endeleeni, ni suala la muda tu hatujawahi kukosea, tutajaza uwanja

    Wakuu Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yatumia akaunti ya YouTube ya CHADEMA kutangaza na kurusha mikutano yao

    Amani iwe kwenu waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa! Katika Hali ya kustaajabisha nimekutana na Account ya Chadema ikirusha matangazo mubashara ya mkutano wa hadhara wa chama Cha CHAUMMA. Ndugu zangu wa CHAUMMA mnapinga vipi wizi wa rasilimali za nchi wakati nyie mmeiba YouTube account ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti Chadema Kwenye uchaguzi wa Mapema wa 2028 Katiba inamruhusu!

    Ni kama alivyofanya Trump Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia Uchaguzi mkuu ujao ufanyike mwaka 2028 Ili kukwepesha Uchaguzi kufanyika miaka ya Uchaguzi wa Serikali za...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Profesa Azaveli Lwaitama: 'Kuteka Watu Hakusaidii Kushinda Uchaguzi hata ukiifuta CHADEMA Haitasaidia'

    https://www.youtube.com/live/SnKA8e1XBWI
  18. E

    JamiiForums Tanzania Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

    Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Shinyanga, Emmanuel Ntobi na Glory Tausi wajiunga na ACT Wazalendo

    Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi amehamia chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu. Akizungumza leo Juni 03, Ado amesema "wapiganaji ambao wamegonga mlangp hapa ACT tumekuwa tukiwapokea leo...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
Back
Top Bottom