chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mrema asema CHADEMA imekuwa kama chombo cha habari

    Wakuu ni kweli hii imetoka kwa Mrema?
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kuna watu walikuwa CHADEMA malengo yao yalikuwa ubunge

    "Interest za viongozi zikiwa tofauti na za wananchi,wananchi hawatokuunga mkono. Sasa kuna watu walikuwa CHADEMA kumbe malengo yao ni kuwa wabunge na madiwani" - JOHN HECHE,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: CHADEMA tuko tayari kwa uchaguzi kama mabadiliko yatapatikana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kipo tayari kushiriki uchaguzi kama kutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi wanayoyadai kupitia kauli ya 'No reforms No Election.' Ameyasema hayo leo Julai 7, na chaneli ya ST Bongo TV jijini Dar es Salaam, akisisitiza kuwa...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA wameanza kutoa fomu za uchaguzi

  5. 2070

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

    Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI. Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunalaani kauli za kichochezi zilizotolewa wakati wa uzinduzi wa Kanisa la Arise and shine la Mwamposa

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI ZA UCHOCHEZI ZILIZOTOLEWA KWENYE UZINDUZI WA KANISA LA "ARISE AND SHINE" SIKU YA TAREHE IJUMAA TAREHE 5 JULAI 2025. Chadema tunalaani vikali kauli za kichochezi na za hatari zilizotolewa wakati wa uzinduzi wa Kanisa la Arise and Shine jijini Dar es Salaam tukio...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi , kwa nini Amos Makalla uhangaike nayo?

    Nashangaa sana huyu katibu wa itikadi na uenezi wa CCM anahangaika kila kukicha. Yeye binafsi anasema Chadema haina muelekeo na haitashiriki uchaguzi. Lakini kila kukicha CHADEMA na viongozi wake hawakauki kwenye mdomo wake akiwa anahutubia. Kama hawana nguvu na hawana muelekeo asiwazungumzie...
  8. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

    Hii hali siyo ya kawaida for the national stability. Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania. Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza...
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais hatukanwi, na kadhihakiwi - bali hushauriwa tena kwa hekima ya hali ya juu - CHADEMA badilikeni

    Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu. Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

    Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti BAVICHA Mbeya: Waliozuiwa wasifanye siasa CHADEMA ni watatu. Rungwe kaeni mkao wa kula tunakuja kufanya mikutano

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo mkoani Mbeya, Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya Elisha Chonya amesema kwamba CHADEMA wana haki ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwani katazo la Mahakama halikuwalenga viongozi wote wa CHADEMA bali viongozi wachache. Akiwa anazungumza kwenye kikao chao mkoani Mbeya ...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yajipanga kurejea katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi mkuu 2025

    wakuu === Nimekutana na hizi taarifa ni kweli CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mwenye taarifa za ukweli atusaidie.
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ikitokea bunge limefanya marekebisho ya sheria ya Uchaguzi CHADEMA itashindwa vibaya mno

    Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la...
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA mpaka sasa wanaamini No Reforms no Election, basi chama hakina viongozi

    Husika na mada tajwa hapo juu: Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu. Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama...
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kampeni za CHADEMA za no reform no election zitaruhusiwa kwenda sambamba na zile kampeni za kuelekea uchaguzi zitakapofunguliwa?

    Hivi karibuni kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 zitaanza. Tarehe ya kuanza itatangazwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi hivi karibuni. Vyama vyote vya siasa isipokuwa chadema viko kwenye harakati ya kupata orodha ya wagombea wao na kuiwakilisha INEC. Daftari la wapiga kura...
  16. sameer0220

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ukitaka kuonekana mtu mwenye akili lazima usapoti CHADEMA?

    Yaani ni kama vile wao hawakosei na ukiwakosoa utashambuliwa sana humu JF kuna muda tuwe na fikra huru na sio za uchama.
  17. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA kufanya maandalizi ya wagombea Ubunge na Udiwani kwa Siri

    Wakuu, JamiiCheck hii barua ni ya kweli.
  18. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wasiposhiriki Uchaguzi; Wale wa Kuua, Kuwapa Ulemavu na kuwabambikia kesi wagombea na Wapenzi wa CHADEMA, watawafanyia nani?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa ukizoea kula nyama ya mwanadamu mwenzako huwezi kuacha. Tumeshuhudia wakati wa uchaguzi, hata huu wa juzi uliosimamiwa na Mchengerwa, ushetani wa hali ya juu ukifanyika dhidi ya wagombea na wanaoiunga mkono CHADEMA. Zaidi ya ile ya kuenguliwa wagombea, kuna...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

    Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big. Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka leo hii CHADEMA wanasubiri nini kuanza kudocument uhalifu dhidi ya binadamu (crimes against humanity) ambao wamekuwa wakitendewa?

    Wakuu habari za siku mingi? Ni miaka kadhaa sasa imepita tangu niwepo JF kama member. Mara nyingi nimekuwa nikiitumia kusoma nyuzi za wadau tu bila kuweza kuchangia. Na kwa vile sio msikilizaji sana wa radio, wala kusoma magazeti au kuangalia TV (sipendi censored and fake news), JF imekuwa ni...
Back
Top Bottom