chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu CHADEMA kanda ya Victoria Zakaria Obad: Tumemaliza kutoa elimu sasa tufikirie tunasitishaje Uchaguzi

    Wakuu, Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria Zakaria Obad akizungumza katika mkutano wa chama hicho jijini Mwanza ambao umewakutanisha viongozi na wanachama wa wilaya za Ilemela na Nyamagana "Tumemaliza hatua ya kwanza ya kutoa elimu, kufanya mikutano ya hadhara... maneno yamesha zungumzwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hatutamuona milele mdude nyagali mpaluka CHADEMA? Ni kweli Sauti yake wameizima milele?

    Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora waliyoyasemea haya sirini na hadharani kuliko waliokaa kimya. Mdude kama hatutaonana Tena basi damu...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Chadema kama NCCR, CUF na TLP, Wacha watanzania waendelee kukomaa kisiasa.

    Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani. Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii...
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: MKIWA UMOFIA NI BORA KUWA OBIERIKA KULIKO KUWA OKONKWO

    "Things fall apart" ni moja ya kazi nzuri sana ya fasihi yenye mafunzo kedekede iliyofanywa na Hayati Chinua Achebe. Kwa wahenga wenzangu mtaikumbuka riwaya hii kama mojawapo ya riwaya za kiada kwenye English Literature kwaajiri ya mitihani ya kidato cha nne. Kwafaida ya wasioifahamu riwaya hii...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Idadi ya CCM vs Idadi ya chadema.

    😀😀 Ila CCM bana Yaani mmeandikisha hadi watoto wa shule mmefika milioni 13 Sasa na Chadema kupitia uandikishaji wao wamefika mil 18 na mnaona umati wakati CCM wanasomba hadi wavuta bangi 🤣 Hii imekwisha! CCM kama mna wanachama milioni 3 serious mmejitahidi
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Hoja ya Gwajima 'Kwa mfano Mtoto wa Rais akitekwa, akatobolewa macho utajisikiaje ? Hoja hii waifanye iwe kubwa sana

    Kundi kubwa la Wamama wa Tanzania , Ambao wengi Wana Elimu za kawaida kabisa , Wanaelewa hii Hoja ,japo ni mfano !!. Fikiria unamwambia Mama wa Moshi huko Ndani Ndani... Mtoto wako anatekwa, anauliwa , Rais yuko kimya , Je angekua ni mtoto wa Rais ametekwa, Rais angekaa kimya?. Kati ya Hoja...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bishop Gwajima , Usisubiri wakate Jina lako, kuanzia leo anza kushusha nondo, Njoo CHADEMA tupambanie No Reforms,No Election

    Mh Gwajima, kwako wee Ubunge sio kitu, Maisha ulikua nayo makubwa hata kabla ya kua Mbunge. Tofauti na Matajiri wanaingia CCM kua Wabunge ili wakwepe Kodi , Sikuoni wewe ni wa aina hiyo!!. Mungu ana Mpango mkubwa Nawewe , Nikuombe na kukusihi sana katika wakati huu ambao Mh LISSU amekamatwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kukusanya saini million 15 nchi nzima za Watanzania wanaounga mkono kampeni yao ya mabadiliko nchini na kisha kuiwasilisha kimataifa

    Chadema kukusanya saini million 15 nchi nzima za watanzania wanaounga mkono kampeni yao ya mabadiliko nchini na kisha kuiwasilisha kimataifa. " Chama Kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kimesema kitakusanya saini za watanzania milioni 15 wanaounga mkono kampeni yao ya mageuzi ya 'no reform no...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA kinaomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kukijumuisha Chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa kihistoa Oktoba 2025 sasa?

    Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya kwamba chadema nayo iwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, hali ya kua chama hicho hakina sifa na...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu 3/6 Niwakumbushe Kusimamia MAAMUZI YA CHAMA , Haitotokea Msajili Kukifuta CHADEMA Hana Uwezo huo

    Mimi nawahakikishia Hajatokea MTU yoyote Tanzania awe Rais au Nani, HAJATOKEA ,HAYUPO NA HAKUNA AMBAYE ATAFUTA CHAMA CHA CHADEMA, HAYUPOOOO !!. Hata awe ni Chawa wa namna gan, hata awe na Ulinzi wa aina gan, hata MCHINA AWE KAAHIDI KITU GAN , HAYUPO na hakuna yoyote mwenye ubavu hata Uthubutu...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tangazo la CCM la kua na Wanachama Milion 13 limetolewa kama Halalisho la Kura zao Feki CHADEMA tukomae kuzuia Uchaguzi !!.

    Hawa Wahuni hamna asojua walichokua wanakifanya kuandikisha Watoto wa Sekondari !!. Sasa leo mpenda Uongozi aloupata Uongozi Kwa Bahati, Kaja na Tangazo . Iko hivi CCM wangekua na Wanachama hao Mil 13 ,wasingeogopa Mabadiliko !!. CHADEMA ,hamna kushiriki uchaguzi wa kihuni ambao tayari Ma...
  14. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge 19 walioingia mgogoro na CHADEMA wamegawanyika makundi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

    Wabunge 19 Walioingia Mgogoro na CHADEMA Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wabunge waliokuwa sehemu ya mgogoro wa kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa wamegawanyika katika makundi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Baadhi tayari wametangaza kujiunga na CCM na kutangaza...
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mbowe hatohama Chadema kama mnavyodhani, Gwajima atashinda Urais..

    Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo imara. Yule ni mtu ambaye amepitia mengi – kifungo, mateso, siasa za vurugu – lakini hajawahi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je mwamba Freeman Mbowe anasubiri chadema ifutwe?

    Salut wanaJF! Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao. Je Mwamba anasubiri...
  17. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea Arusha jana, CHADEMA fanyeni hivi tuchangie ruzuku mliyonyimwa na msajali

    Ni muhimu kwa viongozi kufanya tathmini ya kina juu ya kiasi cha ruzuku ambacho chama kilikuwa kinapokea awali. Baada ya kupata taarifa sahihi, wawajulishe Watanzania waziwazi ni kiasi gani cha fedha hizo kinahitajika na watu wangapi wanatakiwa kuchangia, pamoja na kiwango cha mchango kwa kila...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya CHADEMA – Viongozi walaumiana uchache wa watu Arusha

    UGOMVI NDANI YA CHADEMA – VIONGOZI WALAUMIANA, UCHACHE WA WATU ARUSHA Na Nulphin Charles (Jenerali) Leo, tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha, ulifanyika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulitarajiwa kuonesha nguvu ya chama hicho katika Kanda ya Kaskazini...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya CHADEMA kuendelea na Tone tone

    Angalia watu wa kawaida wanavyo changia. Hii ndiyo sababu ya hiki chama kuwepo leo hii sio ruzuku ni watu
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wangu CHADEMA, awepo MTU wa kuyasemea Yale yote alokua anayasema LISSU kwenye Mikutano !( Yalotokea chaguzi za 2019-2024)

    Lema aendelee kutoa Elimu ya Tume . Heche aendelee kusema Ufisadi, Ujinga wa Viongozi wetu kukosa maono , Madini, Maziwa , Mali Asili zote ,Ufujaji wa PESA za Wananchi ,Utekaji ,Uuaji n.k ( Heche ana Karama katika eneo hili). Sasa awepo MTU wa kuzungumzia ,kwanini tunataka Mabadiliko kwanza...
Back
Top Bottom