chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Sing Seth wa IPTL alimfungulia Zitto Kabwe Kesi , Zitto akaililia Serikali, nayo imempa Shariti la Kushiriki Uchaguzi Mkuu na Kushambulia CHADEMA

    Wakuu, kabla Seth wa IPTL hajamfungulia Kesi Zitto Kabwe , Zitto hakua anahangaika CHADEMA. Taarifa zinasema baada ya Seth kufungua Kesi, Zitto akaona ni maji marefu, akaanza kusema "Serikali inamlimda Seth" bado hawakumuonea Huruma Wala hakuitikisa Serikali ya CCM. Zitto akaamua kumfikia...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto ameandika 'Hawa ndio wanadai tususie uchaguzi, wakati wao wanaburuzana mahakamani kwa ajili ya kudhulumiana mali za chama chao'

    Katika chapisho lililopigwa pini kwenye ukurasa wake wa X, Zitto Kabwe ameikosoa vikali CHADEMA kwa kile anachokiita unafiki na kukosekana kwa mfano wa kuigwa. Amedai kuwa ni unafiki kwa viongozi wa chama hicho kuhimiza ususiaji wa uchaguzi huku wakiburuzana mahakamani kuhusu mali za chama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Did CHADEMA really say No Reforms No Elections, or No Reforms No Erection, implying they will strive to make the ruling party politically impotent?

    Tangu Lissu asemekane kuja na msimamo wa Chadema wa No Reforms No Elections, nimeona CCM wakihaha huku na huku kujaribu kupinga hili kwa nguvu zote. Hata hivyo, taratibu Watanzania wameanza kukichukia chama tawala cha CCM kutokana na matendo yake yanayozidi kufunuliwa kutokana na msimamo huu wa...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, amejiunga rasmi CHAUMMA

    Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, ambaye hapo awali alitangaza kujiondoa CHADEMA kutokana na kutokubaliana na msimamo wa chama hicho kuchukua mrengo wa kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai ya kutaka mageuzi kwanza, ameweka wazi kuwa tayari amepata jukwaa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya uchaguzi CHADEMA watashikwa na butwaa kusubiri miaka mitano ijayo nje ya siasa

    Ni dhahiri kuwa chadema baada tu ya uchaguzi watashikwa na butwaa wasijue wafanye nini maana kwa sasa wanachokihubir ni kitu ambacho hakiwezekani watu wanajiandaa kwa uchaguzi wanabaki na kakikundi kado sana na chadema hawajui watanzania walivyo yaaani wasione watu wanavyojaa kwenye mikutano yao...
  7. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania GE2025 Athari za no reform no election kwa CHADEMA na vyama vingine vya siasa Tanzania

    Wajomba eeeh unajua harakati ya CHADEMA ya “No Reforms, No Election” ilikuwa ni msimamo mkali wa chama hicho kupinga kushiriki chaguzi bila marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi na sheria zinazosimamia siasa nchini Tanzania. Msimamo huo uliathiri siasa kwa njia kadhaa: 1. Athari kwa...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kauli ya Rose Mayemba kuwa uwezo wa Mwenyekiti kuipeleka CHADEMA mbele umeisha ilimlenga Lissu

  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chacha Heche: CHADEMA pekee yake ndiyo mshindani wa CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema kuwa hadi sasa chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kuibana CCM kisiasa na kulazimisha mawazo mapya ni CHADEMA pekee, akisisitiza kuwa hakuna chama kingine cha upinzani chenye ushawishi na nguvu...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM haipo mioyoni mwa Watanzania kama ilivyo CHADEMA. Hata kama itashinda uchaguzi ni sababu ya mikakati wanayoitumia kila chaguzi

    Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli. CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru. Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kesi ya ya Msingi ya CHADEMA ni ya kisiasa na kimkakati kwa lengo la kukwamisha "No Reforms, No elections"

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, leo amezungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho hadi tarehe 14 Julai, 2025.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi iliyotoa zuio la CHADEMA kutofanya siasa yahairishwa hadi Julai 14

    Kesi Namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha CHADEMA kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa, inatarajiwa kuendelea Julai 10, 2025 mbele ya Mh. Jaji Hamidu Mwanga katika Mahakama Kuu-Dar es salaam...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola

    Wakuu! Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola" == Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wataingia ulingoni haraka sana naenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo langu pendwa la Momba ,bila CHADEMA hakuna momba mpya !

    Nina mahaba mazito ya kulirudisha Jimbo la momba ikiwa chadema wataingia ulingoni nitasimama na kuomba kugombea ubunge na kuishika halmashauri nzima , bila CHADEMA hakuna momba mpya, halmashauri ya Tunduma ndio Jimbo lenye watu wanaojielewa na walinyonya maziwa kwa zaidi ya miaka miwili...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mungu akiwapa Nguvu na Ufufuo basi fikirieni hii Kauli Mbiu iwe ni Nuru ya Uzima kisiasa "Hasta La Victoria Siimpre"

    Kwa uchache niseme siasa zenye ushindani ni Nuru ya Uzima wa afya na akili kwa Taifa na jamii yeyote hapa Duniani. Sidhani kama ni afya chama Dola kukosa siasa za upinzani, basi ikawe neema yake Mungu pamoja na kwamba mimi si mwana CHADEMA, bado nina haki ya kuwa na utashi na akili ya kuelewa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani nje ya CHADEMA alimfahamu Mzee Ally Kibao kabla ya mkasa uliotokea?

    Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao. Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wakenya ambao chadema wanawasifia kwa kujitambua,

    Hawa ndio wa Kenya ambao chadema wanawasifia kucha kutwa kwa kujitambua. Hapo wanaonekana wakiharibu barabara. Hata kama vya kujifunza vimeisha, kwa hili hapana.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza madini ya Makamu Mwenyekti Chadema, Heche

    "Mimi ni Simba tumefungwa kihalali hakuna malalamiko, tumechapwa, tuko kimyaaaaaa. Hivyo hivyo kwenye uchaguzi tuwe na fair ground!
Back
Top Bottom