Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.
Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.
Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka...
Wakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu !
Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga.
Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI.
CCM HATA mfanyeje...
Nawashauri CHADEMA ikifika mda bado hakuna reform iliyofanyika Tume ikatangaza tar ya uchaguzi basi hiyo hiyo tarehe ya kupiga kura waitangaze kama siku ya maandamano nchi nzima.
Kwanza polisi wengi watakuwa kwenye vituo vya kupiga kura,pili wakimwaga polisi na majeda mtaani watu wataogopa...
Watanzania wanatakiwa wajuez Watu wachafu wanakawaida ya kuvaa mavazi masafi.
Makonda aliumiza Clouds Media
Makonda aliumiza wafanyabiashara wengi sana kwa Kutumia Jina la Magufuli.
Makonda ametajirika isivyoajabu kwa Matendo ya kihuni na na kikatili aliyonayo .
Ilifika wakati Makonda...
Hii ni part 2 ya somo letu la ujue umeme katika mwili wa binadamu.
Siku ya kwanza nilielezea kwamba maisha ya mwili wa binadamu ni umeme!
Yaani kuoana ni umeme, kutembea ni umeme, kusali ni umeme n.k!
Na mzunguko huu wa umeme unatambulika na viumbe wote waliopo duniani!
Na ndiyo maana huwezi...
Nawaonea huruma sana CCM.
Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana.
Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi...
Nchi ipo katikakati ya majonzi. Viongozi wa dini wanavamiwa, wanataka kuuwawa wengine wanatishiwa maisha
Wanaharakati wanateswa, wanapotezwa na wengine wanatupwa jera kinachobaki ni familia kuwalilia wasijue watanyamanza lini
Katika katika ya majonzi mkuu wa jumba linalokusanya wawakilishi wa...
Habari za jumapili!
Hawa wanaoitwa Njaa55 tukirudi nyuma kidogo kama mwaka 2015 wote wangekuwa sehemu ya Safu ya viongozi wa taifa hili.
Hawa COVID-19 ambao yadaiwa wameingia bungeni kimagumashi nao ndio wangekuwa viongozi wa nchi yeti.
Wanaitwa Wasaliti.
Wanaitwa Njaa55 Kali kama ya mtoto...
Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile.
Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ???
WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine...
Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura .....
Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ???
Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ??
Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi...
Haipo haja ya kumung'unya maneno wandugu, wala kuendelea kulea pimbi.
Imesikika miluzi mingi mara oooh:
Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!
Mara oooh:
Pre GE2025 - DSM - Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema
Kwani nani ana taabu na mwamba, Boni...
Kikao cha watia nia CHADEMA kimevunjika baada ya mmoja wao kunaswa akirekodi kwa siri.
Vurugu zikaibuka, wajumbe wakarushiana viti na kushambuliana, hali iliyosababisha damu kumwagika.
Taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa mtu mmoja amepoteza maisha. Ikungi singida.
Ukitathimini kwa kina kuhusu hali ya kisiasa inayopitia na kuikumba chadema kwa sasa, utagundua kuna aina ya maradhi ya kisiasa inagua na kwa hivyo, kuna uwezekano mkubwa sana ikadhoofika mno hatimae kudumaa kama ilivyokua baadhi ya vyama vya siasa nchini vilivyowahi kua na nguvu sana humu...
Wakuu,
Kama Ruge alivyosema aogopa sana Teknolojia na Mungu vinginevyo utaumbuka pabaya.
Kwenye press yao akina Mrema tukaowana wachawi, Mungu na Teknolojia ikawavua watu nguo:KEKWlaugh::KEKWlaugh::KEKLaugh:. Kwenye hiko kipande hapo Salum Mwalim akathibitishia umma kuwa wao ni mpango maalum...
Aliyekuwa Mweka Hazina wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Emma Kimambo amemshukia Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema akidai kuwa amesababisha maumivu ya kisiasa kwa watu wengi wa Arusha na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla wake, hatua iliyopelekea baadhi...
Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda
Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitamtafuta kada wake, Mdude Mpaluka Nyagali aliyetoweka tangu usiku wa kuamkia Mei 2, 2025 mkoani Mbeya.
Chadema pia wamempa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura saa 72 kuzungumza na Taifa kuhusu matukio ya utekaji na watu...
Sote ni mashahidi kwamba
makundi mballimbali ya kizalendo nchini yanaibuka na kuunga mkono azma na dhamira njema ya Dr Samia Suluhu Hassan kugombea uraisi wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuendelea kuongoza nchi yetu kwa weledi zaidi.
Ni lini sasa,
makundi...
Ni wazi wanachadema wengi mno watajiengua Chadema na kujiunga na vyama vingine vya kisiasa nchini kwakua Chadema haina tena sifa za kua chama cha siasa kinachoweza kuvutia wanachama zaidi, kwani kimejikita zaidi kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi na kujiondoa kabisa kwenye michakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.