Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kila shughuli wanatangaza mchango kutoka Kwa wananchi.Hiki kimekuwa chama Cha kinyonyaji ruzuku mnapata kwa Nini msitumie kwenye shughuli za kujenga chama.Kila wakati ninyi ni kuombaomba kwa wananchi imekuwa too much.
Vyama viko vingi lakini sijaona wakiombaomba kila wakati.Mbayq zaidi fedha...
Saed Kubenea wiki ijayo atatambulishwa rasmi Chadema.
Yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa vyama mbalimbali watatangazwa rasmi wiki ijayo kama nilivyodokezwa jioni ya leo.
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Ile Kampeni Tukufu ya Chadema imeingia Sengerema, na bila kupoteza muda ikatua Jimbo la Buchosa, Ambako kazi kubwa ya Mbunge wake anayeitwa Shigongo ni kuhudhuria Misiba na kusaidia wananchi wake vifaa vya kuchimbia Makaburi kama machepeo na sululu.
Kupata...
Mimi sio mtu wa siasa, sina chama chochote ispokuwa mimi ni mfuatiliaji wa hoja zote, pale napoona anayeongea na kufanya mazuri namfurahia na kumwombea afanye zaidi, na anayefanya mabaya namchukia na kumwombea abadilike awe mwema.
Kwa muda mrefu nimeona na kusoma malumbano ya hoja mbali mbali...
GT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu.
Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa...
Wakuu,
Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa.
Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui.
Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
Kumaanisha kuwa alikuwa anaishi na wewe kinafiki na alitafuta sababu ya kukuacha so ilipofika kumcheleweshea "tuma na ya kutolea" akakukimbia.
Sasa unajiuliza ina maana commitment yako kwake alikuwa anaichukulia kwa maana gani na kuipima kwa kiasi gani?
Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani
Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
Imepulizwa Fumigation tunaona wadudu wanavyotoka...... kuna wadudu bado wanatambaa.... nashauri Fumigation irudiwe Upya... Chama kibaki na watu wanaomaanisha kuwa tunataka Reform ya kweli. Ma opportunists yote yatoke.
Kazi nzuri kabisa chini ya Lissu Heche Mnyika na Wanachama wa Chadema...
Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha
Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea!
Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
Wanaojiengua kutoka chadema kwa wakati huu,
Wanadai uongozi mpya wa chadema taifa umepoteza uelekeo na badala yake umekua ukiongozwa kwa matamko yasiyotokana na vikao vya chama na badala yake kila kiongozi wa chadema huropoka kadiri anavyoona inafaa, huku uropokaji huo ukisindikizwa na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na uchunguzi wa tukio la tarehe 02 Mei, 2025 la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Mpaluka Said Nyagali maarufu Mdude Mfuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] na watu wasiofahamika na kisha kutoweka naye kusikojulikana.
Katika hatua za awali, Jeshi...
Watu wengi tumepofushwa sana siku hizi!
Ile nguvu yetu ya asili tumeweka kapuni tukiamini ni dhambi!
Zamani wazee walilinda mashamba kwa nguvu za asili, wezi walikipata cha moto!
Damu ya mdude iliyomwagika inaouwezo wa kuwapa ushirikiano ndani ya siku 40!
Iteni wataalam na muiambie ile damu...
Wanachama zaidi ya mia moja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutoka kata za Engutoto na Lemara Jijini Arusha, wamepokelewa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo unaofanyika leo kwenye Viwanja vya soko kuu Jijini...
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amewachana wapinzani hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kueleza kuwa kuna mgogoro ndani ya chama hicho.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
TV station kubwa za Tanzania yaani ITV, AZAM, TBC, STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana. Nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanaojitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa, lakini mikutano ya CHADEMA inayoungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani...
Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC.
Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi.
Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.