chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Tlaatlaah

    Je, ndani ya kamati kuu ya CHADEMA taifa kuna usaliti, uasi au hujuma dhidi ya Tundu Lissu anaesota korokoroni pekee?

    Kwasababu my friends ladies and gentlemen let's face it, Ukitazama kwa makini mienendo ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa, ukisoma kwa makini body languages zao, facial expressions na hata ukiskiza tones za baadhi ya viongozi waandamizi wa kamati kuu ya chadema Taifa...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Lema: G-55 wanaondoka kwasababu CHADEMA ni Chama cha Upinzani siyo Chawa

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema akiongea na wananchi wa Mkoani Mwanza hapo jana Mei 12 katika ziara yao ya "Bila mabadiliko hakuna Uchaguzi" ameeleza kuwa "Wanaondoka kwasababu Mungu anaipenda Chadema, Chama hiki kwasababu ni cha Upinzani lazima...
  3. U

    Ushauri kwa Uongozi wa Juu Chadema bado hamjachelewa muombeni radhi Mwenyekiti Mstaafu Mheshimiwa Mbowe vinginevyo Chama kitazidi kubomoka

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri Niwatakie siku njema
  4. funaku

    Sababu za Chadema kushindwa kuenea zanzibar miaka zaidi 30

    Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar? Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
  5. S

    Chadema mkitaka kuwamaliza wapinzani wenu kirahisi sana, tumieni nyimbo nzuri, rahisi za kuhamasisha ambazo hata watoto wadogo watakuwa wakiziimba

    Katika purukushani za Polisi na Chadema huko Mwanza, ulisikika wimbo ukiimbwa. Huu ni wimbo ambao baadhi yetu tuliimba sana jeshini, na ni wimbo mzuri sana kuhamasisha. Naapa naahidi mbele ya mungu Chadema nitakulinda mpaka kufa Mnaweza kuongeza uhamasishaji kama Naapa naahidi mbele ya mungu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Lema: Popote walipo G55 "tembeeni" kwani wapo watu wamefariki kutokana na chama na hakuna waliodai uongozi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema amesema chama hicho hakipo kwa ajili ya kuwafikisha watu katika ndoto zao badala yake wapo kwa ajili ya kupambania maisha ya kizazi kijacho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  7. Tlaatlaah

    Agenda kuu kwenye mikutano ya CHADEMA kwa sasa ni uamuzi na uelekeo wa g55. Unadhani kwanini CHADEMA wamechagua agenda hii na kuachana na zingine?

    Je, wametambua na kujiridhisha kwamba nonsense agenda ya no reform no elections haikiki, haiuziki, haieleweki wala kutekelezeka na wananchi wanaipuuza? Au wamebaini kua mwenyekiti wao Taifa kusota korokoroni kwasababu ya uropokaji unaokiuka sheria ni agenda isiyo na mashiko, haibambi na...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 John Mnyika: Waliondoka CHADEMA wameambiwa waende CHAUMMA na hii yote ni kutaka kuwapotezea

    CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza kuchukua baadhi ya watu wachache ndani ya CHADEMA wakiwa wamewaahidi kwamba waende kwenye chama...
  10. Carlos The Jackal

    Unaanzaje kuondoka CHADEMA HII hata kama CCM wanakununua Kwa Mamilioni ya FEDHA?

    Hiki chama Kwa sasa kimeunganika kikamilifu, Chama kimebaki Cha watu walopitia mateso sawa na Mateso ya Wananchi. Wananchi wameunganishwa Kiroho, wanaunganishwa na vitu vya pamoja HAKI USTAWI WAO Chaka kisichokua na Mali lakini Msingi wake ni Wananchi. Unaanzaje kuhama chama hiki hata kama...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwanachama wa CCM ahamia CHADEMA, atema cheche balaa mbele ya John Heche

    Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15. Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana...
  12. M

    Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  13. Lord Denning

    PreGE2025 Kwa niliyoyaona Mwanza leo, ni sahihi sana CCM kuchanganyikiwa. Nimeelewa kwa namna gani inawauma

    Umewekeza mabilioni ya fedha mliyoiba kwenye kandarasi mbalimbali Serikalini na nyingine kwenye bajeti ya Serikali ili uwalipe watu waimalize Chadema alafu Chadema ndo inazidi kupendwa mara 100 zaidi. Umewahonga Mapandikizi mamilioni ya Pesa wajitoe Chadema na kuanzisha tafrani uchwara ili...
  14. erasto Samwel

    PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Magharibi - viongozi waachia ngazi

    Nimeona huko kanda ya magharibi Makamu mwenyekiti kanda kaachia ngazi MH. KATIBU Rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mwanachama wa kadi namba 35530 nimeamua kujitoa nyazifa zangu ni: Makamu mwenyekiti kanda ya magharibi Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu kanda Mjumbe wa mkutano mkuu Taifa...
  15. SankaraBoukaka

    Demokrasia ni Kichaka cha Unyonyaji na Kura ni silaha ya Umaskini.

    Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
  16. S

    CCM waliwanunua wabunge na viongozi wa juu wa chadema na wakaunga juhudi. Vipi washindwe kwa hawa wenyeviti/makatibu wa chadema wa mikoa na wilaya?

    Ukweli mchungu ni kwamba viongozi na wanachama wote wa chadema ni maskini (mafukara). Wenye fedha zao huwa wanaficha mbawa zao ccm ili biashara na ukwasi wao visibughudhiwe. Ndiyo maana hata Mbowe alikuwa anaitumia chadema kama jumba la sanaa kwa kujifanya mpinzani. Na ndiyo maana hata baadhi...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA Mbeya washiriki Ibaba kumuombea Mdude Nyagali, wadai ukimya wa kutoweka kwake haukubaliki

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Jana Jumapili Mei 11,2025 wameshiriki ibada maalum ya maombi kumuombea mwanachama na mwanaharakati Mpaluka Saidi Nyagali maarufu kama “Mdude” ambaye hajulikani alipo tangu alipovamiwa nyumbani kwake Iwambi na...
  18. Allen Kilewella

    HIROSHIMA na NAGASAKI ya CHADEMA

    Siku ya tarehe 6/ 8/1945 saa mbili za Asubuhi mji wa Hiroshima ulipigwa bomu la Atomiki na siku tatu baadaye yaani tarehe 9/08/1945 majira ya saa tano za Asubuhi mji wa Nagasaki nao ulipigwa Kwa bomu la Atomiki pia. Miji yote miwili ipo nchini Japan. Miji hiyo miwili ilipigwa mabomu hayo ya...
  19. Benson Mramba

    Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote Kinachoendelea...
  20. P

    Viongozi CHADEMA wanapukutika, wanabaki wananchi “wanyonge” tu

    Dawa waliyopuliza LISU, HECHE, MNYIKA na Dr. SLAA ni ya kutokomeza vibaraka wote. Wataobaki ni wananchi “wanyonge” wapenda haki tu. CCM wanaweza wakajitangaza washindi coz hawataki ushindani wa kweli.
Back
Top Bottom