chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM ikifanya haya itarudisha uhai wake lAKINI Kwa hali ilivyo itaweza

    Wadau habari zenu, Mimi sio mwanasiasa LAKINI naipenda nchi yangu na viongozi wake , nawapenda pia viongozi au wanasiasa wa upinzani ambao wana misimamo sio njaanjaa na ni wazalendo wanaowajibika kwa wananchi. Sio uzalendo wa kinafiki wa kuwasifia viongozi wakuu hata kama hawafanyi vizuri eti...
  2. JamiiForums Tanzania Chadema inaweza kuja kushika madaraka, humo humo miongoni mwao watajasema hapana, haitufahai

    Ni lazima serekali iwe kali sana / hawa wanaharakati vibwengo wakifanikiwa tu, taifa linakwenda kuvurugika / Leo atafanikiwa chadema kushika nchi,huu ni mfano tu. Wanaharakati walewale wataona hapana wataanzisha harakati nyingine mpya / kwa ufadhili mpya wa mabeberu!? Je, hatujawa DRC? / haya...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanachopitia Chadema hakina tofauti na Mkoloni alivyowahi kuiminya Tanu kiuchumi mpaka timu ya Tanu (Yanga) ikawa inacheza mgongo wazi kwa kukosa jezi

    Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe. utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
  5. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haijaikosea CCM na dola popote. Ni upotoshaji kutumia neno "MARIDHIANO" bali Tunachotaka sio Maridhiano bali ni Nchi kurejesha mfumo wa haki

    Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao. Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA wapuuzeni Chaumma msijibu hoja zao. Ninyi komaeni na operation tonetone na Maandamano ya kumtoa Lissu jela

    Ukimjibu mtu ambae hana hoja katika jamii. Unampa mtu nafasi kujiona anafaa. Dili la Chauma kutumiwa na CCM lilishabuma. Andaeni maandamano ya nchi nzima Lissu aachaiwe maana akitoka nje CCM watakiona cha moto.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini "maridhiano" yanaitaja sana CHADEMA?

    Neno maridhiano limeshika kasi kwa siku za hivi karibuni. Lakini mjadala upo zaidi kwa CHADEMA. Maswali niliyonayo ni nini kilitokea? Chadema hawakushiriki uchaguzi, je watafanya maridhiano gani kama sio kuyafuata waliyohahitaji kabla ya uchaguzi? Lakini kama maridhiano ni matokeo ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto Wa GSM Wa Katoro Alipata Zaidi Ya Billion 1.4 Ndani ya Muda Mfupi Kama Zawadi kwenye Send off Yake Lakini CHADEMA wanahenyeka hadi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote . Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
  9. JamiiForums Tanzania Kaka Madeleka, nakusihi urejee CHADEMA mapema, uhusike kujenga Chama, na uanze kuandaa Njia yako ya Ubunge Mapema !!

    Ninakuona una akili Kubwa na Huru, japo baadhi ya Nyakati, Maisha ya Kisiasa na fujo zake zinakuondoa katika Mstari. Sasa basi, Wagombea Ubunge kupitia CHADEMA Uchaguzi ujao ( si lazima tufike 2030). Watakua ni wale waliohusika Kujenga Chama katika kipindi hiki kigumu. Kwa Lissu na Heche...
  10. JamiiForums Tanzania LISSU alimruhusu HECHE kuendelea kupeleka Moto, nyinyi mnaojiita Viongozi CHADEMA

    Kwamba nyinyi mnaofanya Porojo dhidi ya HECHE, mnajijua CHADEMA kuliko LISSU??. Unakuta kajitu ni kakatibu ka BAVICHA huko matopeni, hawajawahi hata Kuona HECHE Uso kwa Uso, hakachangii hata Chama Wala tonetone, kanatoka mbele kanasema "HECHE Achunguzwee, anakula Pesa ". Tutawashughulikia...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  12. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tupo tayari kumsimamisha Heche pindi atakapopatikana Humphrey Polepole aje kuchukua nafasi yake

    Kazi kwenu kwa mnaotaka Heche awekwe pembeni inabidi apatikane Humphrey Polepole ili aje kuchukua nafasi yake. Ni jukumu lenu sasa kumtafuta Polepole popote alipo hii inaitwa ukisimama mshale ukikimbia mshale. Tume ya jaji Chande iliyochunguza yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi cha ajabu...
  13. JamiiForums Tanzania Waache Ufyatu: Haiwezekani CHADEMA Iwaume Zaidi

    Na. M. M. Mwanakijiji Inashangaza na inakera kwa wakati mmoja. Mojawapo ya mambo yanayoshangaza sana ni kwa jinsi gani wapinzani uchwara wa CHAUMA wanajitahidi sana kufuatilia mambo yanayoendelea CHADEMA na kutaka CHADEMA ifanye usafi na hasa wakijitahidi kutaka Jabari John Heche aondolewe ili...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heche Ahojiwe, Hakuna Kinga kwa Ufisadi

    CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaendelea dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche. Hili naomba tuliweke sawa, katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya maswali au kuwajibishwa kwa sababu ya umaarufu wake. Madai ya matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi...
  15. JamiiForums Tanzania UFISADI CHADEMA, wanachama wamemkalia Kooni John Heche wamuomba Msajili kuingilia Kati wamtaka Katibu Mkuu Mnyika kuunda tume ya kumchunguza

    Shalom Makamanda, Lile sakata la Ufisadi ndani ya CHADEMA likimhusisha Makamu Mwenyekiti wa Chama bado halijapoa baada ya wanachama kucharuka wakimuomba msajili wa vyama vya siasa kuingilia kati na Katibu mkuu wa CHADEMA kuunda tume ya kumchunguza wakati huo akiwa pembeni kwani hawawezi...
  16. JamiiForums Tanzania Ruhusa ya mikutano ni mtego kwa CHADEMA

    Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani. Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema, kinachokosekana ni viongozi wake na njia ya kuwapata ni kupitia majukwaa ya mikutano, hali ya kisiasa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA kueni Makini Mikutano ijayo,wekezeni kwenye Ulinzi na Drone

    Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari. Punde si punde wakairuhusu. Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA. Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA. Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

    Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa? Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi...
  19. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

    Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama maandamano yamepigwa marufuku, sasa haya kusema Heche kajinufaisha mmewezaje kuruhusu?

    Tukisema CCM ni takataka wakina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Crocodiletooth na wengine vinara. Haya mtueleze haya maandamano ni ya pesa yapo uhuru kupitia wizara gani. Mkija na jibu naomba kuuliza kama vibari hivyo na kuitisha hayo walipata kwa waziri wa kikosi cha ugaidi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…