Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Jeshi la Polisi limezingira Kanisa Katoliki Kirumba, Mwanza, ambapo CHADEMA Kanda ya Victoria walikusudia kuadhimisha Chadema Mashujaa Day katika ukumbi wa Kanisa hilo.
Mpaka sasa watu kadhaa wamekamatwa, akiwemo Katibu wa Kanda hiyo, Zacharia Obad.
Chadema walikuwa wameomba ukumbi pale kufanya mkutano wa kuwakumbuka mashujaa yote.
Eneo lote limezingirwa na ‘Mapolisi’
===
CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X wameandika kuwa;
"Jeshi la Polisi limezingira ofisi za @TanganyikaLaw na kufunga barabara zote za kuelekea katika ofisi hiyo na kuzuia...
Mwanaharakati mkongwe wa haki za binadamu nchini Tanzania Bi. Kijo Bisimba amehoji namna mgombea wa CCM alivyopewa fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho huku akibainisha kwa sasa nchini hakuna vyama vya upinzani kwani pamoja na ukongwe wake kuna vyama vya siasa anavisikia kwa mara ya kwanza...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kuwa "No reforms no election" ilishafanyiwa kazi ndani ya Bunge ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na mabadiliko ya sheria na utekelezaji wake umeanza katika uchaguzi wa mwaka huu.
Soma pia...
Habari za Sabato!
Mbinu rahisi ya kuwafanya watu watumwa ni kuwafanya waone Uhuru wa wengine hauwahusu. Kuona kuonewa kwa wengine ni juu yao, ilimradi wao wapo salama basi, wengine wakionewa haiwahusu. Hiyo inaitwa Divide and Rule technique.
Hakuna jamii rahisi kuitawala na kuifanya watumwa...
Chadema tunalaani kwa nguvu zote tukio la uvamizi uliofanywa leo tarehe 05 Septemba 2025 katika ofisi za Jamii Forums, zilizopo Mikocheni, Jijini Dar es Salaam, na watu walioidai kuwa wanatoka katika mamlaka za usalama. Tukio hili linaashiria kukandamizwa kwa uhuru wa habari, kuminya uhuru wa...
Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro.
Kwa ujumla hakuna upinzani.
Swali la msingi ni kwa nini wanatapatapa?
Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania
Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa
Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala
Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu
Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa
Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.
Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.
Andaeni mabango mpite mbele ya rais...
Huyu ni makamu mwenyekiti akiandika ktk X Twitter page yake
"........Nimepata taarifa na siwezi kuzipuuza. Kwamba hawa jamaa wanaandaa mbinu ikiwemo kushambulia viongozi wetu kwa mbinu za kijambazi. Kwahiyo kuna genge litavamia watu kwenye makazi yao, au hata barabarani. Halafu itasemekana ni...
Baadhi wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (#CHAUMMA) kutoka Jimbo la Segerea wakielezea jinsi walivyorubuniwa na mmoja wa viongozi wa Chama hicho ili waonekane kama wamejiondoa kwenye chama chao na kujiunga na CHADEMA.
Soma pia: Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa...
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
afya ya akili
akili
binadamu
ccm
chadema
characters
elimu
facts
jamii forums
jitambue
marco seth
mental
mijadala
mind
new posts
no reform no election
psychology
samiah
tabia
tanzania
trending
ufahamu
ukichaa
Kuelekea kilele cha maadhimisho kuwakumbuka mashujaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 7 mwaka huu, Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria Ezekiah Wenje, amesema watu wote ambao bado wapo ndani ya chama hicho ni mashujaa.
Soma pia: Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu...
CHADEMA ni chama cha kishujaa, chama ambacho kitadumu milele duniani. Hii sio propaganda, ni historical inevitability. Spirit yake haiwezi kufutwa, haikatakaa kife.
CCM, mnadhani kuzuia opposition ni strategy ya successful state? Kwa nini mnajiona mna-right ya ku-destroy chama kilicho imara...
Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
"Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia...
Zakuambia changanya na za kwako.
je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama.
CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura,
Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu.
Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana...
Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu haina uchu wa madaraka kama kama vyama vingine.
Akizungumza kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.