chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Samia na Mbowe hand shaking.: Je hii ni dhihaka, dharau na kejeli dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu?

    Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA

    Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita. Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rasmi Viongozi wote wa Chadema wapigwa stop kufanya siasa

    GT Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama. Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆 Dunia simama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kabisa? Kwa miaka zaidi ya Ishirini, Chadema hamkujua Mbowe ni Tapeli wa kiaiasa?

    Katika mambo ambayo Chadema mliferi na kusababisha safari yenu kuelekea Ikulu kuwa ngumu, ni kukaa miaka na miaka na mtu ndumila kuwili Mtu huyo, badala ya kung'amua mapema nyendo zake kisha kumtimua, bahati mbaya kabisa, yeye aliwasoma nyinyi nyote Mbowe anawajua wote wenye misimamo mikali...
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yafafanua zuio la CHADEMA, zuio linawahusisha Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao ni John Heche wa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA

    Asalam aleykum waislam wenzangu. Kwanza niwapongeze kwa kuamka salama,niwape pole wenye madhira,Mungu atawapa tahfif. Twende kwenye mada,ndugu wanajf,tangu tuingie mwaka mtakatifu wa nchi yetu ambao ni mwaka wa uchaguzi,kumekuwa na matatajio na mambo mengi ya vibweka vya kisiasa. Mwanzoni mwa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajui washikilie wapi?

    Ukifuatilia kwa makini, utagundua chama cha harakati [CHADEMA] hawajui wanahitaji nini ili kufikia malengo ya ajenda yao ya NRNE. Leo hii, akiibuka mtu yoyote kutoka chama chochote na kusemea kuhusu ajenda ya No Reforms, No Election basi watapanda gari lake na kusema ni shujaa wao. Hii ni kwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chadema kusalimu Amri;Kuingia kwenye uchaguzi kupoza njaa,Gwajima awatetea

    Asalam aleykum waislamu wenzangu. Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji. Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani. Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwasasa CHADEMA inajionyesha waziwazi kuwa ni chama Cha mabeberu

    Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema. Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini
  11. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Mna uhakika CHADEMA wakipewa dola wataweza kuwafikisha katika nchi ya ahadi kama wanavyoimba majukwaani?

    Katika siasa, maneno ni silaha kubwa. Vyama vya upinzani hujenga matumaini, huahidi mabadiliko, na hujenga taswira ya "nchi ya ahadi", mahali ambapo kila mwananchi atafaidi matunda ya uhuru, haki, na maendeleo. CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, kimekuwa mstari wa mbele...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda, na ndio sera ya CCM,kuna watu hawaeleweki kama CHADEMA

    Asalam aleykum waislam wenzangu. Uchumi wa dunia unaendeshwa na viwanda,na ndio sera ya ccm,kuna watu hawaeleweki kama chadema wanapinga hadi viwanda. Nchi imejenga viwanda vingi kusaidia uzalishaji ambapo jumla ya viwanda 23000 vimekamilika,lkn cha ajabu genge la nyumbu wa CHADEMA wanapinga...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

    Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima. Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama wangekuwa wanapitia CCM basi chama kingekuwa kilishakufa zamani

    Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani. Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama kukomaa kimekomaa zaidi ya CCM ni vile tu serikali haitaki kuruhusu uchaguzi huru maana hata wanachama wa...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA

    Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo...
  16. Bishweko

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA walisoma nyakati kuwa kuna siku watakosa wagombea ngazi za juu zote

    Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential...
  17. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Wakili Robert Amsterdam amejitoa kusimamia kesi za CHADEMA

  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema wanaamini wazungu kwenye harakati zao za kisiasa?

    Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance aliinyooshea kidole Ulaya kuwa haina demokrasia kwa watu wao wenyewe. Wakati huohuo bunge la Ulaya linainyooshea vidole Africa kuwa hakuna demokrasia. Nimemsikia Tundu Lissu akidai kesi yake iliyoko mahakamani ifutwe kwakuwa dunia inatuangalia (the world is...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tangu Mbowe ashindwe uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA amekuwa kimya kabisa. Ushiriki wake kwenye siasa ni sharti awe kiongozi?

    Ndio maana wanasiasa wengi huwa wanaitwa wachumia tumbo. Watajifanya wanagombea nafasi za uongozi kwa sababu wanaipenda nchi na wananchi lakini inakua ni uongo mtupu, wanataka kujinufaisha tu wao wenyewe. In fact, kama uongozi katika siasa ingekuwa kwa ajili ya mapenzi ya nchi na watu...
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa chadema na wafuasi akili zao hazipo timamu

    Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje...
Back
Top Bottom