chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Tlaatlaah

    Mayowe ya kisiasa, kelele na uropokaji wa CHADEMA mwisho wake ni october mwaka huu 2025 baada ya uchaguzi mkuu

    Hapatakua na nyodo wala kuropoka ropoka tena, midomo mirefu na kisirani ya viongozi wa chadema itakua imekwesha kabisa. kama tujuavyo, bila ruzuku hakuna chadema. Na ndio maana mnaona mikutano yao inadorora kadiri michango ya kwenye kibakuli inavyopungua huku ruzuku kidunchu wanayopata ikiwa...
  2. Mto wa mbu

    Je maandamano ya wafuasi wa Chadema X Kwa Trump na Rubio yatakuwa na impacts Gani?

    Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media. Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X. Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election. Lengo...
  3. Erythrocyte

    Vijana Wajinga wa "Oktoba tunatiki" waliotumwa kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa, wala kipondo na kuokolewa na Polisi

    Hili liwe onyo kwa Wajinga wenzao kote tunakopita, ukijaa kwenye mfumo wetu utapigwa. Chadema inataka Amani lakini haitavumilia ujinga wa yeyote yule.
  4. Nucky Thompson

    Heche anakiri kuwa CHADEMA inawapa ubunge watu wasiokuwa na elimu wala uelewa?

    Nimemsikia Heche akisema Chadema ilimpa Ubunge wa Viti Maalum Susan Kiwanga, anaongeza walimpa ubunge wa viti maalum huku akiwa hana elimu na alikuwa akifanya kazi za ndani So huo ubunge wa viti maalum wanatoa bila kuzingatia merit? Sasa kama "wanawapa" uongozi watu wasio na elimu wala uelewa...
  5. Tlaatlaah

    Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  6. Just Pray

    PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  7. Tlaatlaah

    Tundu Lissu aliwahi kutoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuungana na CHADEMA, unadhani ni kwanini vyama vyote vya siasa vilipuuza wito huo wa lissu?

    Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
  8. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Niwaonye CCM, msitume UVCCM kwenye mikutano ya CHADEMA kupiga kelele za 'Oktoba Tunatiki'

    Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!. NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!. Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu...
  9. Carlos The Jackal

    Kamanda Heche, Elimu yako inaeleweka vema, inawatia Hasira Wananchi Kwa kuonyesha jinsi gani Serikali imewatua umasikini!!

    Hiii inaitwa Emotional Enslavement !! Kuhakikisha Watu wanaifaham CCM kama Adui yao Mkuu, alowaita umasikin tangu Uhuru, Umasikin ambao kwao CCM wakijulinufaisha , Umasikini ambao ni matokeo ya Kua na viongozi WAJINGA !!. Elimu hii inaendelea kuwafanya Wananchi wakiamin Chama, na kukikumbatia...
  10. Carlos The Jackal

    Ni Vijana wasomi, waloumizwa na Serikali yao kwa kunyimwa Ajira huku Kauli yao "Tunamtaka Lissu "

    Siasa za Tanzania zinaingia kwenye Hatua nyingine kabisa ambayo haijawahi kutokea Mungu akiendelea kuwabadilisha Mioyo Vijana wa Kitanzania , Sasa wanazungumza Kauli Moja !!. Niliwahi wauliza Dola "Mnauhakika Mgombea wenu Samia, anauzika? Hatowaingiza kwenye MTEGO wa kutumia nguvu kupitiliza...
  11. Erythrocyte

    Ombi: Uongazi wa Chadema uongeze Drone za kupigia picha Mikutano yao, hizi za sasa zimezidiwa, watu wanaohudhuria hawajulikani Idadi yao

    Tunatoa wito kwa Viongozi wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Chadema kuongeza Camera angalau 5 za Drone ili kuweza kurekodi Mchanga wa Watu wanaohudhuria Mikutano yao. Kwa Mfano, ni Vigumu kujua idadi kamili ya Watu waliohudhuria Mkutano wao wa leo Dodoma Mjini, Yaani haijulikani pia...
  12. Heparin

    PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  13. Tlaatlaah

    Heko Watanzania kuipuuza kizalendo nonsense ya No reform no elections ground, field na kwenye mitandao ya kijamii

    Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections. Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo. Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri...
  14. N

    PreGE2025 CHADEMA yaiteka Dodoma. Heche na makamanda wengine ni kivutio kwa Mtanzania

    Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
  15. Ashampoo burning

    Mange Kimambi ni mkubwa kuliko CHADEMA wenyewe

    Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
  16. Tlaatlaah

    Hakuna CHADEMA mwenye ubavu wa kumzuia Kigaila wa CHAUMMA au Shekhe Ponda wa ACT kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura Oct 2025

    Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October. kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
  17. Kipenzi Changu

    Vibe la No Reforms No election mitandaoni; Mganga wa Chadema sio tapeli

    Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo Msigwa anatukana watu huku amefunga comments Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
  18. Mr Devil

    4R za Rais samia vs R moja walio ichukua CHADEMA; Mgongano wa mwelekeo

    Mheshimiwa Rais wa Tanzania na serikali yake walikuja na dhana ya 4R kama dira ya kujenga taifa lenye umoja, maendeleo na demokrasia. Dhana hii ya 4R ilijumuisha: 1. Reconciliation (Maridhiano) – Kujenga mshikamano wa kitaifa na kuondoa migawanyiko ya kisiasa. 2. Resilience (Ustahimilivu) –...
  19. M

    Chadema ngumu sana kuishi kwa sasa

    Chadema ngumu sana kuservive katika msuko msuko wa siasa hizi, watakuwa kama Muslim brother Huud kilivyosambaratishwa nchini Egypt
  20. Erythrocyte

    Dodoma: Chadema yaadhimisha Sikukuu ya Eid na Watoto yatima wa Kituo cha Rahman Orphanage centre

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima. Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine...
Back
Top Bottom