chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Tlaatlaah

    PreGE2025 Uhakika wa serikali iliyopo madarakani kurejeshwa tena madarakani na wananchi Oktoba ni asilimia 100%

    Shauku ya vijana wengi waliofikisha umri wa miaka 18 hivi sasa nchini ni kuandika historia ya kua nao wanashiriki kwa mara ya kwanza kuandika historia ya kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao kupitia uchaguzi mkuu wa october 2025. Wengi wa vijana hao wana matarajio makubwa ya kutimiza...
  2. R

    Tuorodheshe mateso/maonevu /suluba anazozipitia Chadema na wanachama/wapenzi wake

    Kwa kipindi kifupi chini ya mwezi angalia mateso inayopitia Chadema. 1. Tundu Lissu akapewa kesi ya uhaini 2. Chama cha ubwabwa kikapewa uhai 3. Kuongeza nguvu kupambana na CDM 4. Msajili akazuia ruzuku ya CDM 5. Msajili hamtambui MNYIKA na wenzake 6. Viongozi kitaifa wamezuiwa kusafiri...
  3. O

    Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  4. City Thunder OKC

    CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

    Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye...
  5. Tabutupu

    CHADEMA hata wakuchukua mali zote, haiwezi kufa. Watakufa wao

    Serikali ya ccm wanapanga kupiga mnada mali za chadema ili mnunuzi kikaragosi chauma azinunue kwa bei ya bure. Mbowe, salimu mwalimu, yule zonal director lake zone etc ndio drivers wa hili. Ni kwamba chadema haiwezi kufa kwa kunyanganywa ofisi au magari, chadema itakufa siku ikiacha kuamini...
  6. T

    Tetesi: Msajili wa vyama KUFUTA usajili wa CHADEMA sababu ya kesi inayowakibili mahakamani

    JF Kuna tetesi msajili anatafuta kifungi cha kuifutia usajili CHADEMA, sababu ya kesi na maamuzi ya mahakama kusitisha shughuli zote za kisiasa za CHADEMA. CCM mnatupeleka wapi.?
  7. Subira the princess

    Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze katiba ya kifalme kama ile 1977

    Wasalaam. Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja. Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa...
  8. Tlaatlaah

    Mienendo ya siasa za CHADEMA inasikitisha na kuchekesha Jamii

    Hivi Chadema itategemea public sympathy kwenye mistakes zake dhahiri kabisa za kisheria mpaka lini? Inakosea sana kufanya mambo yake ya kisiasa kwa kufuata katiba yake na sheria za nchi, kwasababu ya viongozi wake waandamizi kukosa maono, hekima na busara za kiuongozi, jambo ambalo...
  9. G Sam

    Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

    Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata? Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania. Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA yatangaza hali ya hatari kwa Demokrasia, yalaani njama za kukandamiza Harakati za Mabadiliko

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwaarifu viongozi, wanachama, na umma wa Watanzania juu ya hali ya hatari inayojitokeza kwa kasi dhidi ya vyama vya siasa vinavyopigania mabadiliko ya kweli nchini. Hali hii inaashiria juhudi za kurejea kwa enzi za utawala wa kiimla...
  11. S

    Katika kipindi cha wiki 2 hizi viongozi wa CHADEMA warejee kwenye ziara binafsi za "engagement". Safari hii lengo liwe ni kutunisha tone tone

    Wawatembelee:- 1. Viongozi wa dini. 2. Wafanyabiashara. 3. Marafiki wa chama wa nje na ndani ya nchi. 4. Asasi za kiraia. Kwa lengo la kutunisha misuli ya kifedha kupitia wadau hao.
  12. Tlaatlaah

    Chadema Inakufa kwa majeraha mabaya sana yenye maumivu ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yakujitakia

    Kuchagua viongozi wao wakuu wa chama wasio maono wala mikakati madhubuti ya kisiasa ni kosa la kwanza kabisa Chadema walifanya, hata sasa wamejikuta hapo walipo. Kuitenga na kususia michakato ya kidemokrasia kwa mihemko ya kiongozi wao moja tu, ilikua ni kosa la pili kubwa zaidi lililoiingiza...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla: CCM isihushishwe na vurugu zilizotokea Tabora kwenye mkutano wa CHADEMA

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliokuwa ukifanyika Igunga, mkoani Tabora kama ilivyodaiwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara...
  14. kibori nangai

    PreGE2025 Mbowe tulikuona unabusara na akili, lakini wewe ndiyo sababu ya yote yanayowakuta CHADEMA

    Wala salamu sitoi Honestly ukiniuliza sasa hivi kuhusu yanayowapata CHADEMA Sitoacha kumuhusisha huyu Jamaa mbinafsi, mwenye roho mbaya, Freeman Aikael Mbowe. Wewe una roho mbaya sanaa, mbinfsi sana, na una chuki sanaa wewe. Nakuhakikishia hili litaisha vzri tuu na CHADEMA itaibuka mshindi...
  15. Nyankurungu2020

    CHADEMA ya Lissu ipo kwa maslahi ya umma . Haipo kwa ajili ya kuganga njaa. Ndio maana inachukiwa na watawala wa CCM

    Wanachopambania CHADEMA ya Lissu ni maslahi ya taifa letu. Kwamba kuwe na katiba ambayo itatoa haki kwa Watanzania kuwa na viongozi ambao wao wanaona wanafaa kuwawakilisha. Maana yake ni kutokuwa na Bunge amabalo litakuwa kama wakala serikali ambayo haina tija kwa wananchi. Wao, wanaCCM...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Nyufa , weaknesses walizonazo Chadema ambazo CCM na serikali mara kwa Mara huzitumia kuwavuruga

    Tunatazama! Bila kupoteza nafasi na muda. Nitaeleza kile ambacho Chadema wanakabiliana nacho kinachotokana na nyufa na weaknesses ambazo CCM na serikali wamekuwa wakizitumia mara kwa mara. Utekaji na mauaji hiyo tutakemea kwa sababu sio sehemu ya mchezo na pia ni uvunjifu wa Haki za binadamu...
  17. S

    PreGE2025 Tuseme ukweli, mwanachama wa CCM, akifungua kesi dhidi ya Wadhamini wa CCM, Mahakama itakipiga marufuku CCM kufanya shughuli zake kesi ikiendelea?

    Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha. Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar...
  18. W

    Shida hatuna, Chadema wana kimbelembele ! Shida zikitubana kisawasawa tutapaza sauti wenyewe sio kusubiri chama au kucharaza keyboard vyumbani

    Nawashangaa hao Chademawapo bize sana kutetea watu, watu waliobanwa na shida huwa hasubiri kutetewa, automatically wenyewe tu wanapaza sauti. Sioni kama nchi yetu ina shida kihivyo kama chadema wanavyozikuza, waache kimbelembele. Nikishiba, Timu yanguikishiriki kimataifa na nikipata starehe...
  19. Tawfiq 77

    Nguvu ya CHADEMA kwa wananchi ni kubwa mno zaidi ya viongozi wanavyofahamu

    Baada ya hii mikutano ya No reforms No election inayoendelea nchi nzima nilichogundua uungwaji mkono kwa CHADEMA ni mkubwa mno zaidi ya uongozi unavyolichukulia.. Kwa maoni yangu kama chama kitajiwekea mikakati madhubuti ya ukweli na uwazi hiki chama kina uwezo wa kujiendesha bila pesa ya...
  20. mirindimo

    Chadema ikifutwa nashauri tuandamane nchi nzima

    Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Back
Top Bottom