chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

    Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
  2. Kiranga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura?

    Je, wanaharakati wana haki ya kuzuia wengine wasipige kura? Tuna siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Uchaguzi huu umegubikwa lindi la kukosa uhalali pengine kuliko uchaguzi mwingine wowote Tanzania. Hata mgombea wa CCM ameshutumiwa na mpaka kufunguliwa kesi kuwa kajipitisha bila...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Gari la Heche limeshambuliwa kwa risasi za moto Oktoba 18

    Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA, Brenda Rupia akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao Oktoba 19, 2025 ameeleza kuwa siku ya jana (Oktoba 18, 2025) gari la Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche lilishambuliwa kwa risasi za moto na kupasuliwa matairi kisha kuvutwa hadi...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Sikuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje ameeleza sababu ya yeye kuhamia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambapo amesema kuwa hakuwahi kujua kuwa CCM ni Chama chenye ushawishi Mkubwa Barani Afrika Akizungumza na Wasafi Media katika uwanja wa Shule ya...
  5. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heche bado yupo nchini. Taarifa ya idara ya Uhamiaji inapotosha umma

    Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kitazungumza na waandishi wa habari saa nane kamili mchana. Pia Soma >> CHADEMA: Gari la Makamu Mwenyekiti limeshambuliwa kwa risasi za moto Oktoba 18 https://www.youtube.com/watch?v=ZtFOeA1qkhk Updates Akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi...
  6. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

    Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu wa BAVICHA kanda ya Victoria ahamia CCM

    Kijana kakikacha chama chake bila shaka kafuata maokoto ya CCM ================= Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Vijana Wa CHADEMA (BAVICHA Alon Kalomba amemuhakikishia Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Tarehe 29, Oktoba hakutakuwa na Maandamano. Alon ametoa kauli hiyo kwenye mkutano...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kinalaani vikali wimbi la ukamataji na utekaji wa viongozi na wanachama kanda Victoria, hususani mkoani Kagera

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali wimbi la ukamataji, utekaji na vitisho vinavyoendelea dhidi ya viongozi na wanachama wake katika Kanda ya Victoria, hususani mkoani Kagera. Tarehe 16 Oktoba 2025, viongozi na wanachama zaidi ya saba wamekamatwa na vyombo vya dola...
  10. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sipati picha maumivu CHADEMA wangepitia kama wangetia timu kwenye huu uchaguzi huu bila reforms

    Hivi tu hawashiriki uchaguzi lakini viongozi wao wanatekwa inchi nzima. Nini Kingetokea wangeingiza timu bila reforms? Ingekua massacre
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA / MISS SARUNGI anzisheni Mfuko wa Harambee Kwa MAMA POLEPOLE , Ndani yake ubebe na Wahanga wengineo ! Mlifanyeni hili haraka kabla ya MO29

    Palipo na Hazina ya MTU ndio Moyo wake ulipo Nafaham tunao Wahanga wengi sana mamia Kwa maelfu. Lakini ni lazima tuweke UPEKEE katika Uchaguzi wa Jina la Mfuko. Mh Polepole alikua Mwana CCM, Mbunge, Mjumbe wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba, Katibu Muenezi wa CCM, na BALOZI Nchini Cuba...
  12. Septemba 6AM

    JamiiForums Tanzania Waambieni wanachama wa CHADEMA, Sukuma Gang na wakristo wa- download VPN tunajambo letu

    Aluta... Siku 13 zimebakia. Jambo letu linaenda kukamilika kikamilifu. Tunaenda kuonyesha ulimwengu Legacy ya Nyerere. Ukombozi. Ambia wanachadema, Sukuma gang, na Wakristo wote wenye smartphone wapakue VPN app zenye security nzuri. Tutafanya tofauti, maandamano yetu hayatafanana na mengine...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Baada ya tarehe 29 wafuasi wa Mange wajiandae kutukanwa na kudhalilishwa na kiongozi wao

    Baada ya tarehe 29 wafuasi wa Mange watakutana na hasira kali za dada kutoka Marekani. Wataoga matusi ya nguoni toka kwa kiongozi wao Mange. Sababu kuu itakuwa ni wao kujitokeza kuandamana kama wanavyodanganyana sasa. Ikumbukwe Mange ana uzoefu mkubwa wa kumtukana yeyote. Huwa haangalii umri...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Miraj: Athari za kususia Uchaguzi ni kubwa. Sijui kama CHADEMA wamejaribu kutazama faida na hasara zake

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema kuna athari kubwa sana kwa chama cha upinzani CHADEMA kususia Uchaguzi Mkuu ujao, akitaja mifano kadhaa ya makosa kama hayo yaliyowahi kufanywa na chama chake cha zamani, CUF. “Ni Uchaguzi wenye sura tofauti. Chaguzi nyingi zilizopita...
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu yuko ndani, Chadema hawaruhusiwi kuongea hata kujikusanya, vuguvugu na nguvu ya maandamano ni ya wana CCM?

    CCM hamna la kuwaambia Watanzania juu ya hili kweli? Tuliyedhani ni shida kubwa katika kufanya uchaguzi uwe wa Amani, katiwa ndani, hana ushawishi tena Chama ambacho tulihofia kwamba kitakuwa chanzo cha vurugu katika uchaguzi wetu, kimeminywa kwa namna zote na kila sababu, hakiruhusiwi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa

    Kuhama tu Chama ndo anaanza kutoa na taarifa kuhusu mikakati ya CHADEMA hadharani ----------- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Victoria, Mbunge Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho Ezekia Dibogo Wenje ametangaza kukihama Chama hicho na kujiunga...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

    Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya. Najua haitajiki na walio wengi, but time heals! Akienda CCM ni uchuro! Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tukatae huu upotoshaji, CHADEMA hawakuweka mpira kwapani. Walitaka mabadiliko yenye manufaa kwa taifa

    CHADEMA walitaka kuwa na Katiba ambayo italeta misingi thabiti kwa taifa letu. Kuwa na uchaguzi huru na wenye haki. Kuwa na sheria madhubuti ambazo zingesimamaia uchaguzi huru. Mfano kuwa na nafasi ya kupinga matokeo ya urais ikiwa kuna mizengwe kwenye uchaguzi. Hili la kusema waliweka mpira...
  20. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
Back
Top Bottom