chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

    Chadema Kanda ya Pwani imeitangaza siku ya Jumanne kuwa siku maalum ya mashujaa wa kutetea haki na demokrasia katika Taifa. Akizungumza na vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally amewataka Watanzania wapenda demokrasia kote nchini kuungana na kusafiri kokote...
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hukumu ya kuwafunga viongozi wetu itazima amani ya nchi

    Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao? Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka? What a nonsense? --- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Mwaliko wa vyama vya siasa Kwenda Ikulu ulikuwa ni mkakati wa kuwagawa wapinzani hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo

    Kwa mtazamo wangu,mwaliko wa baadhi ya vyama siasa kwenda Ikulu ulikuwa ni mpango mkakati wa kuwagawa wapinzani na hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo lengo likiwa ni kuwafanya wasiaminiane na pia ili waje wagawane kura. ACT wamealikwa sambamba na vyama vingine ambavyo baada ya kikao cha huko Ikulu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Dr Bashiru ni uhakika wahamiaji kutoka Upinzani akiwemo Mwita Waitara aliyekuwa Chadema hawatarudi bungeni

    Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM. Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi. Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la...
  5. JamiiForums Tanzania Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    Heshima kwenu wakuu, Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru. Ulivurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2020, Kukumbuka shuka kumekucha, is it too little too late kwa CHADEMA or better late than never?

    Wanabodi, Unapotoa ushauri fulani ukapuuzwa, katika ushauri huo ukashauri the right thing to do na matokeo ya kutofuatwa kwa ushauri huo, halafu baada ya kupata matokeo, sasa ndio wanaamka, wanakumbuka shuka kumekucha, na sasa ndio kuanza kujipanga, japo ni kwa kuchelewa lakini ile kujitambua...
  7. JamiiForums Tanzania Mbatia awashukia CHADEMA, adai ni wabinafsi na wasiojua historia ya mageuzi nchini! Adai wakiendelea kumwita msaliti atamwaga siri zao

    Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia ametoa tuhuma kali kwa chama cha CHADEMA kwa kudai kuwa hawajui historia ya mageuzi nchini ndio maana wanadhani mwanachama wa CHADEMA akihamia NCCR-Mageuzi ni usaliti bila kujua kuwa viongozi wengi ndani ya CHADEMA walikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Je, kikao cha Rais na Wenyeviti wa Vyama vya siasa isipokuwa CHADEMA ni mpango wa kuzigawa kura za Urais za Tundu Lissu?

    Nimesoma mitazamo mbali mbali ya kikao hiki lakini bado sikupata mwanga wa moja kwa moja kuhusu dhumuni kuu la kikao hiki. Lissu ndio mwanasiasa pekee ambae anauzika kwa sasa kuliko wakati wote ule! Kama mbobezi wa sheria,kama mwanasiasa mwenye utashi na uwezo mkubwa wa kujieleza,mwenye...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chadema isipokufa mwaka huu basi 2021 kitakuwa chama " halisi" cha Upinzani

    Mwaka uliopita 2019 Chadema imepita katika mapito magumu lakini kwa kuwa kinapokea ruzuku ya serikali kimeweza kusurvive. Mwaka huu ni wa uchaguzi na ruzuku itakata rasmi baada ya bunge kuvunjwa hivyo chama kitaendeshwa na wananchi. Endapo Chadema itaingia mwaka 2021 ikiwa imara basi haitakufa...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajutia kupokea waliokatwa CCM na kudai haitapokea tena katika uchaguzi mkuu

    Chadema yajutia kupokea waliokatwa majina CCM CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kinajutia uamuzi kiliochukua wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, kuchukua wale waliokatwa kutoka CCM ambao sasa wamerejea katika chama chao cha zamani. Akizungumza ofisi za Makao...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mkutano Mkuu Maalum wa CHADEMA Jimbo la Mbeya Mjini Wafana, mipango haramu yafichuliwa

    Ukweli ni kwamba alilolipanga Mungu hakuna mwanadamu awezaye kulipangua , Mbeya ni ya Chadema na itabaki kuwa ya Chadema tu Pichani ni wajumbe wa mkutano huo maalum wa jimbo la Mbeya Mjini
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini chama cha CHADEMA hakifanyi tathmini ya hali ya uchumi kama alivyokuwa akifanya Prof Lipumba? Au hakina wataalamu!

    Wakati Cuf kilipokuwa ni chama kikuu cha upinzani na KUB akiwa Hamad Rashid kilikuwa kinafanya tathmini ya hali ya uchumi kila baada ya muda fulani. Na uchambuzi yakinifu ulikuwa unafanywa na mbobezi wa maswala ya uchumi duniani ambaye pia ndiye chairman wa CUF. Tangu Chadema wawe chama kikuu...
  13. JamiiForums Tanzania Hii hapa ibada ya mazishi ya Katibu wa Chadema Manyoni aliyeuawa kinyama

    Sasa Imethibitika rasmi kwamba si kila Kifo hupangwa na Mungu
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo. Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana. ====== CHADEMA imesema Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amekamatwa na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mlioko Hai kwenye mkutano wa Chadema mtujuze kama gia imebadilishwa angani

    Leo ni siku muhimu sana Lumumba imeunguruma tumewasikia. Chadema nao wanaunguruma huko Hai mkoani Kilimanjaro tunasubiri kuwasikia. Nawatakia Ijumaa ya kwanza ya Kwaresma yenye baraka! Maendeleio hayana vyama!
  16. JamiiForums Tanzania CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania amefukuzwa ndani ya chama hicho Amesema uamuzi huo umekuja baada ya taarifa zake ndani ya chama kuonesha mwenendo wake kutoka mwaka 2014 kuwa amewahi kupata...
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hadi kuwa Waziri na mwingine kutoka kuwa Mlinzi wa soko hadi kuwa Meya, hakika Chadema ni chuo cha uongozi

    Tunaposema kwamba CHADEMA ni chuo cha mafunzo ya uongozi hatudanganyi , Mwita Waitara aliyekuwa Mwenyekiti wa kijiji cha kivule Ukonga, leo hii ni naibu Waziri, huku mlinzi wa soko la Mabatini Mbeya ndugu Mwashilindi akaukwaa Umeya wa Jiji la Mbeya. Mlolongo wa waliotengenezwa na Chadema...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Munga: Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi bali ni mali ya umma, Chadema zingatieni hilo

    Ni ushauri murua kabisa uliotolewa na baba askofu Munga kupitia waraka akiwaasa Chadema kwamba chama cha siasa ni mali ya umma. Naomba ushauri huu upokelewe pia na vyama vyote vya Upinzani ambavyo umiliki wao ni kama wa binafsi mfano TLP, ACT wazalendo, UDP, Chauma nk Nimpongeze sana Dr Munga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…