chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Zitto na ACT-Wazalendo na CHADEMA kwanini mko kimya kwa haya?

    Kuna kauli zinatoka na zinahitaji kuungwa Mkono na kila mtu au kupingwa na kila mtu. Binafsi niliposikia Magufuli anasema uchaguzi wa kura za maoni CCM uwe huru na wazi nikaona hii kauli ya kuungwa mkono na kila mtu. Na vyama vya upinzani pia viunge kwa vitendo na kwa maneno kauli hii. La...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

    Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'. Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
  3. JamiiForums Tanzania Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

    Wanaukumbi. Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli. Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kumshawishi Makonda awe mgombea wenu wa Urais kama mlivyomshawishi Lowassa 2015

    Hii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa. Najua CHADEMA imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

    Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo. Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’. Pia, eti...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inakuwaje mtu anagombea Kiti cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja?

    CHADEMA nakuwaje mtu anagombea viti vyote cha Ubunge wa Jimbo na Viti Maalumu kwa mpigo na anashinda vyote? Kwanini asigombee moja? Mifano michache ni hii hapa Devota Minja na Grace Kiwelu MATOKEO YA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOROGORO MJINI 1. Jimbo Idadi ya Wapiga kura 125 Kura zilizoharibika 6...
  8. JamiiForums Tanzania Tanga: Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu

    Hii ni baada ya harakati za BAVICHA za kuelimisha umma kufanikiwa, hasa baada ya somo la uraia na haki zao kuwakolea wananchi. Natoa wito kwa CHADEMA Makao Makuu kuongeza uchapishaji wa kadi ili kukidhi kiu ya watanzania. Mungu ibariki CHADEMA
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimetia nia kesho nitamkuchulia fomu ya kugombea Urais Zanzibar, Sheikh Mselem kupitia CHADEMA

    Nimeweka nia ya kumchukulia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Sheikh Mselem Ali kwa tiketi ya Chadema kesho tar 20/07/2020 Sheikh Mselem Ally ana haki ya kuchaguliwa kama walivyokuwa na haki waznz wengine. Haya ni maono yangu binafsi kama Mtanzania. Kulalamika tu pembeni bila kuchukua hatua...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA yetu ya mabadiliko ipo wapi?

    Wanaukumbi, Tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Sioni ile nguvu ya Chadema iliyokuwa nayo miaka kumi iliyopita, Chadema ya mabadiliko, CHADEMA ya Maandamo kila kona. Ni kitu gani kimetokea ndani ya Chadema, kinapoelekea naona kama kitakuwa kama TLP, naona wabunge wengi wanarudi CCM...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

    Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya baridi, CHADEMA imepoa chali

    Tangu tuanze kushiriki uchaguzi wa vyama vingi vya siasa katika siasa za Tanzania mwaka 1995. Ni wazi kuwa vilizuka vyama vingi kwa vipindi tofauti na vilionesha umadhubuti wa kujaribu kuchuana na Chama Dume CCM. Tunafahamu historia vizuri kwamba kilianza NCCR-Mageuzi, kikafuata CUF, kisha...
  13. JamiiForums Tanzania TAKUKURU acheni double standards, viongozi wa CHADEMA wapandishwe kizimbani

    Natoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani. Mbowe na genge lake wametafuna bil 8 na sasa wapo uraiani. Kuna viongozi wa chama cha ushirika huko Tabora walikula mil 200 wapo gerezani mbona hawa akina Mbowe hawachukuliwi hatua?. Hii sio haki...
  14. JamiiForums Tanzania Watia nia CHADEMA hopefully mnaielewa katiba ya chama pamoja na taratibu zake

    Kwema wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Miezi ya hivi karibuni kuliibuka mtindo uliopachikwa jina la "Kuunga Mkono Juhudi" ambapo Viongozi mbalimbali waliokua upinzani walijiondoa na kujiunga na Chama tawala cha CCM. Wengi wa hawa waunga mkono juhudi walitokea Chama cha CHADEMA, na...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

    MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Kubenea amejiunga na ACT-Wazalendo leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na kupokelewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa chama hicho...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Ndugulile tutakukumbuka kwa kuipigania ardhi yetu isiuzwe kwa mabeberu na akina Methew wa CHADEMA

    Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura. Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao. Wamedai waziri mstaafu Prof...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA Kumbukeni waraka huu

    Sina budi kumshukuru sana mwenyenzi Mungu kwa kunitendea mema na zaidi ya yote kunipa uhai na afya hadi sasa. Wanasema “shukuruni katika yote” na mimi nalazimika kushukuru kwa yale yote niliyofunuliwa na kuwa sehemu ya ushuhuda wangu katika maisha niliyobakiza hapa duniani. Namshukuru Mungu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuiokoa CHADEMA?

    Salaam Wakuu Kuna maneno wengi yanaongelewa kwamba ACT ilianzishwa ili kuua upinzani ,na kwamba Membe ametumwa na CCM ili kugawanya kira za wapinzani kupitia ACT. Inawekana kabisa tuhuma hizi zikawa na ukweli ndani yakr,lskini tunkumbuke ya kwamba CCM inatafuta mtu wa kumfia na kuna uwezekano...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya CHADEMA yamebakia Mara, Iringa na Mbeya kule Kilimanjaro na Arusha kutabaki historia

    Kwa tathmini niliyoifanya katika mikoa ya Mara, Iringa na Mneya ni kwamba Chadema bado ina ushawishi kwa kiasi fulani na hata kama itapoteza wabunge lakini itapata madiwani. Kilimanjaro na Arusha hali ni tete na yawezekana ikabakia katika historia tu kwamba kaskazini " iliwahi" kuwa ngome ya...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kubweteka, Tanzania hatuna chama mbadala cha kuwasumbua CCM

    CCM chini ya JPM tunaomba iendelee na moto huu huu katika kuisimamia serikali. Ni wazi kuwa nchi hii ilikuwa imeharibika sana kiasi cha kufanya kila mwenye pesa alikuwa na uwezo wa kumfaya maskini chochote. CHADEMA walisaidia sana kelele na kauli mbiu yao ya VUA GAMBA UVAE GWANDA, ni kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…