Kama mikutano ya CHADEMA ndio hii, ninamuhurumia sana Bernard Membe

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,974
Tukubali tukatae, upinzani nchini una hali ngumu sana sio kifedha tu bali pia katika uhamasishaji! kwa kifupi, HAUKUJIPANGA VIZURI

Mkutano wa ufunguzi wa CHADEMA umetoa majibu mengi kuhusu mustakabali wa vyama vya upinzani nchini. Kupiga kelele nyingi haina maana kuwa wanaopiga kelele ni wengi! Ufunguzi wa kampeni wa CHADEMA umedhihilisha usemi huu

Pamoja na CHADEMA kuchagua sehemu yenye uwanja mdogo katika ufunguzi wa kampeni lakini hata kuujaza walishindwa

Kama CHADEMA ambayo ''tunaambiwa ina mgombea anayesubiri kuapishwa'' inakuwa katika hali ile kwenye ufunguzi wa Kampeni, vipi itakuwa kwa Bernard Membe ambaye safari yake ya kwenda Ikulu inafifia kabla hata ya kufungua kampeni za ACT-Wazalendo kitaifa

Kwa niliyoyaona kwa CHADEMA, kama wapinzani hawataungana haraka sana kuna hatari ya bunge kuwa na wabunge kutoka CCM zaidi ya asilimia 90!

Ninajua kuna ''manazi'' wa upinzani watakuja hata ''kupiga kelele'' lakini hali halisi itabaki kuwa hali halisi.

Kwa mfano, upinzani utaitishaje maandamano ili kupinga suala fulani na kupata waandamanaji wengi na wenye kukabiliana na lolote wakati vyama vya upinzani vinawekeana mapingamizi NEC.

Tatizo CHADEMA wamewakashfu/kuwatukana CUF na NCCR-Mageuzi wakati hawajaufikia mto achilia mbali kuuvuka! Kwa sasa ninavyodhani itakuwa vigumu CUF na NCCR-Mageuzi kuungana na CHADEMA.

Huu ni ushauri tu kwa sababu ninapenda angalau upinzani uwe na asilimia 30 ya wabunge wa Tanzania!

Kuna msemo usemao, ''Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika ghafula, wala hapati dawa'
 
baada ya uchaguzi wa 2015 CHADEMA wameishi kwa siasa za matukio wakitafuta huruma machoni kwa watu, matunda yake ndio tumeona kwenye uzinduzi wa kampeni hawajajipanga kabisa kwa sera. Nafikiri ACT Wazalendo wanaweza kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi huu. Ni muhimu sana kuwa na vyama vya upinzani vilivyo imara kwa maendeleo ya taifa.
 
Ufunguzi wa kampeni za CHADEMA umejibu maswali mengi sana!
 
baada ya uchaguzi wa 2015 CHADEMA wameishi kwa siasa za matukio wakitafuta huruma machoni kwa watu, matunda yake ndio tumeona kwenye uzinduzi wa kampeni hawajajipanga kabisa kwa sera. Nafikiri ACT Wazalendo wanaweza kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi huu. Ni muhimu sana kuwa na vyama vya upinzani vilivyo imara kwa maendeleo ya taifa.
Nchii imejaa matahira, mmewatisha, mmewafunga mmewapiga risasi, mmewaua, mmewakataza wasifanye siasa na bado mnawawekea mapingamizi wasigombee.

Lakini bado hamjiamini,

Lissu atashinda kwa kishindo
Mwitikio wa Jana kule mbagala Ni indicator nzuri
 
Tukubali tukatae, upinzani nchini una hali ngumu sana sio kifedha tu bali pia katika uhamasishaji! kwa kifupi, HAUKUJIPANGA VIZURI!

Mkutano wa ufunguzi wa CHADEMA umetoa majibu mengi kuhusu mustakabali wa vyama vya upinzani nchini!

Kupiga kelele nyingi haina maana kuwa wanaopiga kelele ni wengi! Ufunguzi wa kampeni wa CHADEMA umedhihilisha usemi huu!

Pamoja na CHADEMA kuchagua sehemu yenye uwanja mdogo katika ufunguzi wa kampeni lakini hata kuujaza walishindwa!

Kama CHADEMA ambayo ''tunaambiwa ina mgombea anayesubiri kuapishwa'' inakuwa katika hali ile kwenye ufunguzi wa Kampeni, vipi itakuwa kwa Bernard Membe ambaye safari yake ya kwenda Ikulu inafifia kabla hata ya kufungua kampeni za ACT-Wazalendo kitaifa!

Kwa niliyoyaona kwa CHADEMA, kama wapinzani hawataungana haraka sana kuna hatari ya bunge kuwa na wabunge kutoka CCM zaidi ya asilimia 90!

Ninajua kuna ''manazi'' wa upinzani watakuja hata ''kupiga kelele'' lakini hali halisi itabaki kuwa hali halisi.

Kwa mfano, upinzani utaitishaje maandamano ili kupinga suala fulani na kupata waandamanaji wengi na wenye kukabiliana na lolote wakati vyama vya upinzani vinawekeana mapingamizi NEC.

Tatizo CHADEMA wamewakashfu/kuwatukana CUF na NCCR-Mageuzi wakati hawajaufikia mto achilia mbali kuuvuka! Kwa sasa ninavyodhani itakuwa vigumu CUF na NCCR-Mageuzi kuungana na CHADEMA.

Huu ni ushauri tu kwa sababu ninapenda angalau upinzani uwe na asilimia 30 ya wabunge wa Tanzania!

Kuna msemo usemao, ''Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika ghafula, wala hapati dawa'
Refernce picha ya TBC iliyopigwa saa tatu asubuhi?
 
baada ya uchaguzi wa 2015 CHADEMA wameishi kwa siasa za matukio wakitafuta huruma machoni kwa watu, matunda yake ndio tumeona kwenye uzinduzi wa kampeni hawajajipanga kabisa kwa sera. Nafikiri ACT Wazalendo wanaweza kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi huu. Ni muhimu sana kuwa na vyama vya upinzani vilivyo imara kwa maendeleo ya taifa.
Na ni yaleyale tu. 2015 mpaka siku ya mwisho wa kampeni, tuliambiwa ilani tukasome kwenye Website, 2020 tunaambiwa ilani haisomwi mpaka siku watu wakiwa wengi uwanjani😂😂
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom