chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Huyu mwanasiasa aliyesema rais amechanganyiwa na kuhamasisha tuwavamie polisi angekuwa CHADEMA asingekuwa amekamatwa?

    Amesikika akisema rais amechanganyikiwa kwa kusema Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani Pia akaongeza kuwa amefanya utafiti kuwa idadi ya askari wa jeshi la polisi ni laki moja hivyo Watanzania mil 65 tukilianzisha tunawamudu. Je, angekuwa ni kada wa CHADEMA angesalimika?
  2. Ushauri kwa Chadema, anzisheni shule ya katiba na sheria kwenye mitandao ya kijamii

    Salama humu ndani? Ushauri wa bure kwa ndugu zangu wa people's power. Ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa mambo yanayokwamisha vuguvugu na harakati za kupigania mageuzi nchini ni kwamba watanzania walio wengi hawajitambui na hata wale wachache wanaojitambua bado hawatambui haki na wajibu...
  3. Ushauri: CHADEMA fanyieni kazi taarifa za kiinteligensia mnazopenyezewa, sio kulalamika mitandaoni tu

    Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata. Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui...
  4. M

    Kwa Uroho wa Madaraka walionao CCM Siku wakifurushwa wanaweza kuunda kikundi cha Uasi, Nimejifunza Uchaguzi wa Chadema

    Nimekaa Nimetafakari namna gani mwanadamu anaweza akalewa madaraka mpaka kumpelekea kuwa teja au mraibu wa madaraka, Mtu yeyote mwenye uraibu wa kitu fulani basi huwa yupo tayari kufanya kitu chochote ili aweze kupata tiba ya uraibu, na mfano ni pale teja anapokosa madawa ya kulevya wakati...
  5. R

    Swali kwa Polisi Tanzania: Kwanini waathirika wa Utekaji, mauaji, kupotezwa wengi by 99% ni wanachama wa CHADEMA?

    Jana mmetoa tarifa ya sababu ya watu kupotea , kutekwa, kufa na mengineyo kama hayo. Swali kuu: Kwanini wanaopatwa a sanabu mlizozitoa wengi wao, naweza kusema 99% ni wafuasi/wanachama/wapenzi wa chadema ambay pia serikali IMEIKLIA KOONI? Angalia kupotea kwa watu hawa 1. Ben Saanane 2. Mdud 3...
  6. PreGE2025 Andrea Lemnge Oisso ajiondoa CHADEMA, alaani msimamo wa kususia uchaguzi

    Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CHADEMA na Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Rombo, Andrea Lemnge Oisso, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho akilaani msimamo wa kususia uchaguzi kwa hoja kwamba “historia haijawahi kumbeba anayekimbia mapambano”. Akizungumza kupitia tamko...
  7. S

    Enyi CCM, kinachodaiwa na CHADEMA na ninyi kinawahusu. Wanachofanyiwa akina Mpina na Gwajima ni kwasabb ya ubovu wa katiba

    1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga. 2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
  8. Unataka kuamini kauli za chadema kwamba CCM hawajaleta maendeleo yoyote tangu uhuru? Ushahidi huu hapa, jionee mwenyewe.

    CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
  9. Walianza CHADEMA, zikaja nchi jirani halafu kanisa sasa huenda ni zamu ya wasukuma mwisho kabisa ni wanaCCM

    Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas. Tuendelee kunywa mtori.
  10. PreGE2025 John Heche: Shughuli ziendelee bila kutumia rasilimali za chama

    CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli kamwe hatutasujudu kwenye mambo ya hila na ukandamizaji. Tuna kusudi la kuomba la kuomba mapitio...
  11. Ushauri: Luhaga Mpina hamia CHADEMA ubunge wa jimbo sio ishu kubwa kuliko kupambania maslahi ya taifa letu

    Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea. Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa imeonekana unatafuta umaarufu. Hamia CHADEMA ungana na Lissu na Heche kudai maslahi ya Watanzania.
  12. Kama Mahakama imesitisha shughuli za CHADEMA mpaka kesi iishe, hao wanaoingia ofisi za makao makuu CHADEMA kufanya kazi wanavunja sheria

    Hiyo ndio tafsiri yangu, kwamba kusimamisha shughuli za chama, inagusa hata hao maofisa wa makao makuu. Nashauri jengo hilo lifungwe
  13. E

    PreGE2025 CHADEMA kuomba mapitio ya uamuzi wa Jaji Mwanga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu wa kusitisha shughuli za chama hicho, kikisema kitaomba mapitio ya shauri hilo, huku pia kikiomba jaji huyo ajitoe kwani hawana imani naye. Katika uamuzi huo...
  14. Je hili jambo lipo sawa. Na je angekua anafanya CHADEMA hivi si ingekua mapolisi washawakamata

    Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich. Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho. Afu...
  15. PreGE2025 John Heche: Jaji Mwanga ajitoe katika kusikiliza kesi yetu, CHADEMA hatuna imani naye

    Makamu Mwenyekiti Tanganyika, John Heche kuzungumza na Watanzania kupitia Chadema Media TV YouTube, Jioni hii baada Polisi kuzuia Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 saa Tano Asubuhi https://www.youtube.com/watch?v=Jxk77712D8I "Mwezi Juni 2025 Mahakama Kuu...
  16. U

    Wito kwa Watanganyika wote wapenda haki: Tum - support Tundu Lissu na CHADEMA kwa kujitoa sadaka/dhabihu kwa ajili ya wokovu/ukombozi wa sisi sote

    Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi (personal benefits) ili apate vitu vya dunia hii kama fedha, vyeo, majumba, ardhi nk vitokanavyo na dhuluma...
  17. SI KWELI PreGE2025 Aliyemwagiwa tindikali na CHADEMA afunguka 'Nilikuwa naitumikia chadema kwa uaminifu, sikuamini wangeniua kwa machungu ya ndani'

    ALIYEMWAGIWA TINDIKALI NA CHADEMA AFUNGUKA: "Nilikuwa Naitumikia CHADEMA kwa Uaminifu, Sikuamini Wangeniua Kwa Machungu Ya Ndani" Dar es Salaam, Tanzania – Juni 17, 2025 Katika kile kinachoonekana kuwa sura nyingine ya giza ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, kijana aliyekuwa mshabiki na...
  18. Chadema kuzuiwa kufanya mikutano na shughuli zote kisiasa wamlaumu Jebra Kambole

    Katika hali ya kushangaza unajiuliza hivi wale Mawakili wanaojifanya kuwa ndiyo Mawakili bora Tanzania, imekuaje wameamua kukaidi agizo la Mahakama la kuitaka CHADEMA kutofanya shughuli yeyote ya kisiasa na kioparesheni. Mtakumbuka Juni 10, 2025 CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  19. Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  20. Chadema njoooni na mbinu nyingine juu ya kulikomboa wa nchi

    Wananchi wote wanasubili mpango wenu mpya, msichelewe, CCM wameishiwa mbinu, kesho nimesikia John Heche atakuwa na press. Watanzania wanasubiri maelekezo tuu! Tundu Lisu atakaaa, huko selo, kwa a jili ya kuwa toa kwenye reli. Njoooni na mbinu mpya.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…