Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Ushindi unakuja CHADEMA
Tell my people that l love them ,and they must continue the fight ,my blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom, Aluta continue!! " "waambie watu wangu kuwa nawapenda nawaendelee mapambano, damu yangu itarutubisha mti ambao utazaa matunda ya uhuru ! Mapambano yaendelee!! "
Haya ni maneno ya Solomoni Mahlangu Kijana mdogo wa miaka 22 wakati akinyongwa Na serikali mabeberu huko Afrika Kusini mwaka 1976.
Waliomnyonga wamekufa na wengine watakufa na kamwe hawatakumbukwa popote,lakini Solomon Mahlangu angali anaishi kwenye mioyo ya wengi licha ya kufa katika umri mdogo.Kijijini kwao limejengwa sanamu lake,Solomo Mahlangu freedom square,etc
Nimeanza na hii historia ya Solomon Mahlangu ili kuwakumbusha wanaMabadiliko popote kuwa Tusiogope,tusikate tamaa,ushindi unakuja CHADEMA na kamwe hakuna awezaye kuzuia ushindi huo!huu ni mwaka wa uchaguzi na wengi wamejeruhiwa na kukatishwa tamaa na matendo ya baadhi ambao wameishiwa pumzi!Wamwishowe pumzi kwa kuwa ubunge na udiwani ni swala la kufa na kupona kwao,wameishiwa pumzi kwa kuwa wanataka kufaidi mabadiliko waliyopigania!wameishiwa pumzi kwa kuwa ni wabinafsi.
Rai yangu kwako wewe mpenda mabadiliko,tuendelee kupambana kwa kuwa sisi ni sauti ya wasio na sauti,mabadiliko kwa ajili ya vizazi vijavyo....hakika majina yetu yataandikwa katika historia ya Washindi kama Solomon Mahlangu
Ujasiri wa kukemea uovu huzaa heshima,na utu katika jamii hata ukifa leo utakumbukwa ,unafiki na ubinafsi huzaa dhambi ya mauti ,na hata kama ukifa leo hautakumbukwa.
Kwa ajili yako wewe Mama ambaye hujui utawapa nini watoto wako nitaendelea kupigania mabadiliko...
Kwa ajili yako wewe kijana ambaye umehitimu masomo yako na huna ajira nitaendelea kupigania mabadiliko....
Ushindi unakuja CHADEMA!
Usiogope! Usiogope! Usiogope!
We have God We have the power
Nanyaro EJ
Mwenyekiti Arusha Mjini