chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani msimuamini sana Membe kwa yoyote atakayosema na kuyatenda kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu baadae mwaka huu

    Mwanasiasa ambae anaweza kujiamini kusema na kufanya lolote kwa lengo la kukosoa watawala waliopo madarakani bila hofu ya kushitakiwa,mali zake kutaifishwa au kunyang'anywa,n.k ni yule tu ambae wakati alipokuwa kwenye system, hakuwahi kutuhumiwa kufanya ufisadi,wizi,kujihusisha na...
  2. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya baridi, CHADEMA imepoa chali

    Tangu tuanze kushiriki uchaguzi wa vyama vingi vya siasa katika siasa za Tanzania mwaka 1995. Ni wazi kuwa vilizuka vyama vingi kwa vipindi tofauti na vilionesha umadhubuti wa kujaribu kuchuana na Chama Dume CCM. Tunafahamu historia vizuri kwamba kilianza NCCR-Mageuzi, kikafuata CUF, kisha...
  3. JamiiForums Tanzania TAKUKURU acheni double standards, viongozi wa CHADEMA wapandishwe kizimbani

    Natoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani. Mbowe na genge lake wametafuna bil 8 na sasa wapo uraiani. Kuna viongozi wa chama cha ushirika huko Tabora walikula mil 200 wapo gerezani mbona hawa akina Mbowe hawachukuliwi hatua?. Hii sio haki...
  4. JamiiForums Tanzania Watia nia CHADEMA hopefully mnaielewa katiba ya chama pamoja na taratibu zake

    Kwema wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Miezi ya hivi karibuni kuliibuka mtindo uliopachikwa jina la "Kuunga Mkono Juhudi" ambapo Viongozi mbalimbali waliokua upinzani walijiondoa na kujiunga na Chama tawala cha CCM. Wengi wa hawa waunga mkono juhudi walitokea Chama cha CHADEMA, na...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

    MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Kubenea amejiunga na ACT-Wazalendo leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na kupokelewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa chama hicho...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Ndugulile tutakukumbuka kwa kuipigania ardhi yetu isiuzwe kwa mabeberu na akina Methew wa CHADEMA

    Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura. Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao. Wamedai waziri mstaafu Prof...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA Kumbukeni waraka huu

    Sina budi kumshukuru sana mwenyenzi Mungu kwa kunitendea mema na zaidi ya yote kunipa uhai na afya hadi sasa. Wanasema “shukuruni katika yote” na mimi nalazimika kushukuru kwa yale yote niliyofunuliwa na kuwa sehemu ya ushuhuda wangu katika maisha niliyobakiza hapa duniani. Namshukuru Mungu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuiokoa CHADEMA?

    Salaam Wakuu Kuna maneno wengi yanaongelewa kwamba ACT ilianzishwa ili kuua upinzani ,na kwamba Membe ametumwa na CCM ili kugawanya kira za wapinzani kupitia ACT. Inawekana kabisa tuhuma hizi zikawa na ukweli ndani yakr,lskini tunkumbuke ya kwamba CCM inatafuta mtu wa kumfia na kuna uwezekano...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya CHADEMA yamebakia Mara, Iringa na Mbeya kule Kilimanjaro na Arusha kutabaki historia

    Kwa tathmini niliyoifanya katika mikoa ya Mara, Iringa na Mneya ni kwamba Chadema bado ina ushawishi kwa kiasi fulani na hata kama itapoteza wabunge lakini itapata madiwani. Kilimanjaro na Arusha hali ni tete na yawezekana ikabakia katika historia tu kwamba kaskazini " iliwahi" kuwa ngome ya...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kubweteka, Tanzania hatuna chama mbadala cha kuwasumbua CCM

    CCM chini ya JPM tunaomba iendelee na moto huu huu katika kuisimamia serikali. Ni wazi kuwa nchi hii ilikuwa imeharibika sana kiasi cha kufanya kila mwenye pesa alikuwa na uwezo wa kumfaya maskini chochote. CHADEMA walisaidia sana kelele na kauli mbiu yao ya VUA GAMBA UVAE GWANDA, ni kweli...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Meneja Tehama Clouds Media achukua fomu CHADEMA kuwania Udiwani

    Meneja wa Tehama pale Clouds Media, Stanley William amechukua fomu za kugombea Udiwani kata ya makongo kupitia chama cha CHADEMA Naye mtangazaji Tupatupa amechukua fomu za kugombea udiwani kata ya Mbezi juu kwa tiketi ya CCM. Chanzo: Clouds tv Maendeleo hayana vyama!
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Kamilius Membe: Nitagombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

    Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo. Huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika mazungumzo na vyama vingine kama CHADEMA ili tusimamishe "KISIKI CHA MPINGO" kimoja!. ======= WASIFU...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa chama okoeni CHADEMA Geita Mjini, kura za maoni zinakipasua

    Yawezekana jambo hilo likaonekana ni la kawaida lakini CHADEMA jimbo la Geita kuna fukuto kubwa sana kwani kura za maoni zinakipasua chama, mwisho wake ni mbaya, viongozi tazameni hilo kwa ukaribu.
  14. JamiiForums Tanzania Zitto anajua nini anafanya

    ZITTO ANAJUA NINI ANAFANYA. Mbowe alipompeleka Lowasa CHADEMA (inasadikika kidikteta) alisema wamebadilisha gia angani. Mbowe alikuwa anaamini Lowasa atashinda uchaguzi, alitegemea kuwa ile mitandao ya Lowasa italinda kura na CHADEMA kitashika madaraka. Baada ya matokeo ya uchaguzi (inasadikika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa Uchaguzi huu 2020

    Kama mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa nawapa hongera kwa kuendesha mchakato wa kuchagua watia nia Ubunge na Udiwani mapema kabla ya kusubiri watakaokatwa upande wapili na kukimbilia kwenu kwa hasira nanyi kuwapa nafasi na kutupa vilivyo vyenu. Niseme tena hongera
  16. JamiiForums Tanzania Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA isihangaike na Urais imeweka wagombea asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania, hawawezi shinda au kuunda Serikali

    CHADEMA isihangaike na uraisi imeweka wagombea ubunge asilimia tano tu ya majimbo yote ya Tanzania hawawezi shinda au kuunda serikali. CHADEMA walioomba kuteuliwa na chama kugombea ubunge wameomba majimbo asilimia tano tu ya mnajimbo yote ya uchaguzi Tanzania, asilimia 95 ya majimbo hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA kwanini mmekubali kugawika Jimbo la Ubungo?

    Nawashangaa ndugu zangu CHADEMA kwa ninyi kukubali kuhujumiana hapo Ubungo ilhali wazi mnatambua kugawika kwenu ndani ya chama ni rasmi mnaipa mwaya wa kupenya CCM bila ugumu wowote. Haipo sababu yeyote ya msingi kwanza kwa uongozi mzima wa Wilaya kufukuzwa wakati huu wa uchaguzi bali mlipaswa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Saed Ahmed Kubenea: Sijachukua fomu za Kugombea Ubunge CHADEMA Jimbo la Ubungo

    Kumekucha CHADEMA. Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amesema hajachukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA lakini hiyo haimzuii kugombea ubunge jimbo hilo hilo kupitia chama kingine Maendeleo hayana vyama ====== Aliyekuwa mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea ameiambia...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

    M'kiti wa CHADEMA Jimbo la Ubungo na Diwani wa Sinza aliyemaliza muda wake, Renatus Pamba amejiuzulu na kutangaza kuhamia ACT Wazalendo kwa alichodai ni ubakaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA hususan mchakato wa kumpata mgombea ubunge jimbo hilo na kudai uongozi wa juu kuwakandamiza wagombea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…