Hongera CHADEMA kwa Uchaguzi huu 2020

Mpaka sasa, Chadema imejaza 30% tu ya majimbo yote. Kwengineko bado ni mtihani na wanasuburi kwa hamu watakaopunguziwa CCM. Hata ACT nao wako mkao wa kula ikija swala la wagombea.
 
Kama mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa nawapa ongera kwa kuendesha mchakato wa kuchagua watia nia Ubunge na udiwani mapema kabla ya kusubiri watakaokatwa upande wapili na kukimbilia kwenu kwa hasira nanyi kuwapa nafasi na kutupa vilivyo vyenu. Niseme tena ongera
Fundisho zuri la 2015
 
Naona kileo toka Kilimanjaro unawapongeza Wana Kilimanjaro wenzio!! Wa chadema!!! Mkabila wewe
 
Kama mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa nawapa ongera kwa kuendesha mchakato wa kuchagua watia nia Ubunge na udiwani mapema kabla ya kusubiri watakaokatwa upande wapili na kukimbilia kwenu kwa hasira nanyi kuwapa nafasi na kutupa vilivyo vyenu. Niseme tena ongera
Waliotia nia Uraisi ni zaidi ya mmoja na anatakiwa mmoja tuu. Kufanya kura za maoni kabla ya kuhitimisha mchakato wa kugombea Uraisi si utaleta madhara ya (i) Watia nia ya Uraisi watakaoachwa kukosa nafasi ya kuomba Ubunge au (2) Watia nia wa Uraisi walioachwa kupitishwa kwenye kuwania Ubunge kwenye majimbo ambayo hawakushiriki mchakato na hivyo mchakato wa Ubunge kuonekana kiini macho ndani ya chama chao?
 
Tayari Vyama kama vya ACT-Wazaledo, NCCR-Mageuzi na TLP vinaenda Kuteka ' Umaarufu ' wa CHADEMA na Kuirahisishia Kazi CCM ishinde.
 
Waliotia nia Uraisi ni zaidi ya mmoja na anatakiwa mmoja tuu. Kufanya kura za maoni kabla ya kuhitimisha mchakato wa kugombea Uraisi si utaleta madhara ya (i) Watia nia ya Uraisi watakaoachwa kukosa nafasi ya kuomba Ubunge au (2) Watia nia wa Uraisi walioachwa kupitishwa kwenye kuwania Ubunge kwenye majimbo ambayo hawakushiriki mchakato na hivyo mchakato wa Ubunge kuonekana kiini macho ndani ya chama chao?
Kama unataka na ubunge unagombea vyote kama msigwa
 
Kwa kweli wanastahili pongezi nyingi sn......chama cha mioyo ya watz
 
Chadema ni chama makini sana , na kina ukomavu ambao hakuna chama cha upinzani kimewahi ufikia.
Kama mfuatiliaji wa maswala ya kisiasa nawapa hongera kwa kuendesha mchakato wa kuchagua watia nia Ubunge na Udiwani mapema kabla ya kusubiri watakaokatwa upande wapili na kukimbilia kwenu kwa hasira nanyi kuwapa nafasi na kutupa vilivyo vyenu.

Niseme tena hongera
 
Back
Top Bottom