Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nianze kwa kumpongeza mheshimiwa JPM kwa miradi mikubwa ya maendeleo aliyoitekeleza ndani ya miaka 5 ambayo sehemu yameorodhesha hapa >>> Awamu ya Tano yafanya makubwa kwa kipindi kifupi
Sasa hawa hawa CHADEMA mwanzoni mwa utawala wa JPM walisikika wakisema kwamba JPM anatekeleza ilani ya...
Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani.
Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda...
Hayo yamesemwa na kamanda Rose Mayemba ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.
Amesema kwamba wale mamluki waliobwagwa kwenye kura za maoni wanaoomba na kubembeleza ili wapewe nafasi ya kugombea udiwani na ubunge kupitia Chadema hawana nafasi...
Na David Maphone.
Nimesoma barua ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iliyosainiwa na Ndugu Tumaini Makene akiitaka Serikali kueleza kwanini Viongozi wa CHADEMA wameshindwa kuaga mwili wa mpendwa wetu Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa.
Kwanza niseme kweli nimewashanga Sana Viongozi...
Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea.
Kwa sasa tunashuhudia maboresho ya kisiasa wapinzani wanadunda kama kawa ndani ya mfumo wa vyama vingi tofauti na...
Wanabodi.
Nawashauri Chadema kwamba:
Andaeni ajenda msiandae wagombea. Wagombea wakipatikana kupitia michakato mliojiwekea watembee katika ajenda zenu kuu kulingana na jinsi nchi ilivyo kwa sasa. Msifanye wagombea kua ajenda hamta pata kura.
Hamuwezi kupata kura nyingi katika mazingira ya...
Karibu Shujaa Tundu Antipas Lissu!
Tanzania imekuona, Tanzania imeamka. Tanzania imeshtuka kutoka usingizini.
Umemaliza ngwe ya kwanza, umeona mwenyewe Tanzania ilivyokupokea. Ni dhahiri kuwa watanzania wanakupenda ni dhahiri pia kuwa watanzania wameamka. Hawababaishwi tena na pambio za kusifu...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa...
Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa.
Mwenyekiti wa Chama...
Nimeshuhudia watanzia wakiandamana kwa amani kea zaidi ya masaa matatu bika kuleta fujo Wala vurugu zozote. Je, vurugu tulizokuwa tunaziona kila wapinzani wanapokutana zilikuwa zinatengenezwa na Daudi Albert Bashite?
Je, Kuna haja ya KUMPA pongezi za kipekee bwana Abubakar (Mkuu was mkoa wa sasa)?
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Yafuatayo yafanyike baada ya kutua uwanja wa ndege JKNIA
Kumnyang'anya passport ya kusafiria mara moja na jina lake liwe blacklisted kwenye mfumo wa waombaji Passport uhamiaji yaani yeye asije tena kupewa passport ya kusafiria maisha yake yote
Uchunguzi wa shambulio lake uanze Mara moja siku...
MAPOKEZI YA TUNDU LISSU: JESHI LA POLISI NA VIONGOZI WA CHADEMA WANA WAJIBU WA KUTUNZA UTULIVU
Tarehe 6 Novemba 2005 nilirejea nchini na British Airways kutokea Heathrow, London, Uingereza nikiwa na mke wangu na mtoto wetu wa kiume baada ya kuishi nje ya nchi kwa miaka kadhaa. Huku Tanzania...
Tundu Lissu anatarajiwa kuingia nchini siku ya Jumatatu tarehe 27/07/2020 akitokea Ubelgiji.
Taarifa kutoka chanzo kilicho ndani ya chama hicho, ambacho kimsingi hakikubaliani na namna mipango inavyofanywa, zinasema kuwa initially, CHADEMA ilipanga Lissu ashukie katika Uwanja wa Ndege wa Jomo...
Asalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
Hivi wakuu hizi sare za kiume za hivi vyama ni nani aliwachagulia.
Yaani mkizivaa haziwapendezi hata kidogo yaani.
Mlishindwa kuchagua rangi nzuri ya sare kwaajili ya wanachama wenu.
Hivi hamwoni aibu kuvaa masale kama ya hayo.
Sii bora mngeshona sare hata zinazofanana na jezi za chelse au...
Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama...
Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya CHADEMA kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema CHADEMA wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu.
Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa...