Wagombea Serikali za mitaa CHADEMA na ACT Wazalendo wanapatikanaje? Mbona sioni kura za maoni zikifanyika?

Chadema na ACt wazalendo wagombea serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni Kama CCM walivyofanya jana jumapilin nchi nzima?
Umeonesha concern yako kama vile hujui kilichokuwa kikiendelea. Act wazalendo na Chadema vinahitaji only 24 hrs kubadilisha yoote wengine waliyo yafanya kwa four years.
Bodaboda tano tu zikifungwa bendera za chadema na zile motokari saafi nyeupe zilizoandikwa M 4 C mbili tu zinatosha kugeuza meza.
Muda utasema ukweli
 
Sijui mnakulaga kunde za wapi? Kwa mawazo hayo ya kusubiri boda boda tano bila strategy ya kueleweka na sio ile ya kusubiri waliokatwa CCM, jiandae kusubiri sana bandugu.
 
Huko wanachaguana kwa makabila kama chadema kama sio mpare au mchaga hupati nafasi

Act wazushi wao wanaangalia kama unatokea kigoma au zenji unapewa kipaumbele

Tanzania upinzani hakuna wanasubiria uzushi na umbea wanaugeuza Ajenda

Nani atawapa dhamana ya kuwaongoza
 
Chadema na ACt wazalendo wagombea serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni Kama CCM walivyofanya jana jumapilin nchi nzima?
Hayakuhusu, mambo yetu hatufanyii kwenye vyombo vya habari. Punguza umbea dada mwishowe utakuwa kama Kigogo 2014
 
Kwani kuna uchaguzi au kiini macho? Kama kuna uchaguzi, utasimamiwa na nani? Siamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini kutakuwa na uchaguzi.
 
Chadema na ACT ukishakuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii bhasi hiyo ni tiketi ya kugombea wait and see watakwambia wameibiwa kura
 
Huko wanachaguana kwa makabila kama chadema kama sio mpare au mchaga hupati nafasi

Act wazushi wao wanaangalia kama unatokea kigoma au zenji unapewa kipaumbele

Tanzania upinzani hakuna wanasubiria uzushi na umbea wanaugeuza Ajenda

Nani atawapa dhamana ya kuwaongoza
We kiazi kweli kwaiyo wabunge walio bungeni uliwapitisha wewe?
 
Back
Top Bottom