Wafuasi wa CHADEMA wengi hawajajiandikisha wapeni tu fomu hawana madhara

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,460
147,189
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
 
Kuna bomu baya la chuki na visasi linapikwa na kuchochewa na wenye dhamana,walioapa kuilinda na kuitetea Katiba.Kwa sababu ndogo sana sifa na kiburi cha hovyo.
 
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!

Hamna mtu anayejitambua atashiriki huo utoto, hivyo ushindi wa ccm sio kwakuwa wanakubalika, bali wameachiwa goli wazi baada ya kujua hawawezi ushindani wa njia ya kura. Ccm kushinda sio tatizo, kwani hawategemei kura kushinda, shida ni idadi ya wapiga kura kudhibitisha kukubalika kwao.
 
Tutaelewana tu

IMG-20191031-WA0139.jpeg
 
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo wangejiandikisha ungeunga mkono kutopewa formu, si ndiyo. Sasa kama huu si uadui ni nini. Ingawapo wewe na yule jamaa yako hupendelea kusema kuwa "Maendeleo hayana vyama" ni wazi kuwa msemo huu mnautumia kinafiki mkimaanisha kinyume chake kabisa. Mfano hai: Nyang'anya Lissu ubunge, peleka huko miradi ya maji ili CCM ionekane inaleta maendeleo.
 
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Wewe usiye na akili unadhani hawajiandikishaCcm inajua jinsi wapinzani walivyojiandikisha ndio maana inawazuia wagombea wa upinzani
 
Manka? Yaani mtu yoyote ambaye yupo tofauti na Serikali ni mchaga?
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi hiki
Kwanini alipotajwa manka Umeshikwa na hasira namna hii? Vipi kama wamejulishana huko pm kwamba yeye ni manka?

Kwanini wachaga mnawaza sana ukabila?
 
Hamna mtu anayejitambua atashiriki huo utoto, hivyo ushindi wa ccm sio kwakuwa wanakubalika, bali wameachiwa goli wazi baada ya kujua hawawezi ushindani wa njia ya kura. Ccm kushinda sio tatizo, kwani hawategemei kura kushinda, shida ni idadi ya wapiga kura kudhibitisha kukubalika kwao.
Mkuu kwa hiyo Halima Mdee, Lema, Msigwa, Mbowe Zito na viongozi wote wa upinzani hawajitambui?
 
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?

Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.

Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Hao milioni 20 mnaoropoka mmewaandikisha mmewatoa wapi?
 
Mkuu kwa hiyo Halima Mdee, Lema, Msigwa, Mbowe Zito na viongozi wote wa upinzani hawajitambui?

Kama walimpokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais utakuwa unauliza au unapigia jibu mstari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom