Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
CHADEMA itafanya nini:
Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. Hii ni pamoja na kujenga uwezo wa kuzalisha mataluma ya reli nchini.
Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya Taifa ili kurejesha biashara tulizopoteza...
Siku 7 zilizopita kuna thread ililetwa hapa ikitoa taarifa kuwa wanaCCM wote wa tawi la Kiterere kata ya Bumera katika jimbo la Tarime wamejiunga CHADEMA baada ya aliyekuwa kiongozi wa kijiji kwa tiketi ya CCM kukatwa jina lake katika kura za maoni ya kuchagua wagombea kwa tiketi ya CCM.
Thread...
Watanzania jana tumemshuhudia mkuu wa mkoa wa Dsm akiomba fedha za ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Ubungo kutoka kwa Rais Magufuli.
RC Makonda ameahidiwa kupewa fedha hizo kupitia kwa waziri wa Tamisemi mh Jaffo kiasi cha sh 1.5 bil
Sasa pamexuka figisu kutoka kwa meya na wabunge wa Chadema...
Kwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu.
Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa...
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .
Uchaguzi wa serikali za mitaa ndiyo sehemu pakee kwa CHADEMA kumaliza hasira zao kwa CCM kwani ni mwendo wa kuchukuwa mitaa yote na vijiji nchi nzima hili kurudisha hishma.
Na wengi tunajua hilo linawezekana kwani Freeman amewai kusikika akisema wananchi wanahasira.
Kwa kuwa wapinzani wengi hasa CHADEMA wanashauri maendeleo si ya vitu ila yanatakiwa yawe ya watu, napendekeza serikali ifute ruzuku kwa vyama vya siasa ili pesa yote inayotolewa kwa ajili ya ruzuku itumike katika maendeleo ya watu vijijini, tofauti na ilivyo sasa pesa za ruzuku zinatumika...
Chadema wameamua kuja na sera ya upepo wa kisulisuli ambayo inalenga kuwaunganisha wapinzani ili wawe kitu kimoja katika mkakati wa kuiondoa CCM madarakani.
Upepo wa kisulisuli ni kaulimbiu inayotumiwa sana na mchungaji Rwakatare wa mlima wa moto.
Source Tanzania Daima!
CHADEMA na ACt Wazalendo wagombea Serikali za mitaa wanapatikanaje? Mbona hatuoni mkipiga kura za maoni kama CCM walivyofanya jana jumapili nchi nzima?
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
Ndugu zangu,
Ninaupongeza upinzani wa awamu ya tano kwa kuja na mbinu mbadala ya kudhibiti magonjwa ya mlipuko. Heko Chadema, Heko waziri kivuli wa afya.
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
07 Septemba 2017
Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania.
Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja
Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi.
Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA
Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili.
Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Wasiojielewa...
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.
Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama...
Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale.
Hii inatupa...
UTEKELEZAJI wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) unaofanywa na Rais John Pombe Magufuli umekuwa kilio kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema na CUF.
Kubwaga manyanga kwa wabunge na madiwani wa vyama hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli ni ishara tosha kwamba, Serikali ya...