chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. M

    Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

    Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea). _________________ Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke. Semeni yote...
  2. M

    Nakumbuka Mtani wangu alilalama kumpikia chai Nchimbi akakimbilia CHADEMA

    Msifikiri kuwa Waitara Mwita (Naibu Waziri TAMISEMI) kaanza leo kuropoka ropoka (off-course pengine hajaropoka kaongea ukweli), ameanza siku nyingi na ndiyo tabia yake hiyo. Huyu jamaa miaka ya nyuma alikuwa ni Mwanachama wa CCM na kwa sababu hufanya siasa kama biashara akakimbilia CHADEMA kwa...
  3. J

    CHADEMA ilikuwa na wabunge sita wa kuchaguliwa mkoani Kilimanjaro sasa amebaki Mbowe peke yake

    Itakumbukwa kuwa ngome ya Chadema ilikuwa ni Kilimanjaro na Arusha ambako walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya 12. Lakini hadi leo Kilimanjaro inabakiwa na Mbowe pekee kwani waliosalia wanatimkia Nccr mageuzi ilhali Arusha atabakia Lema. Hii maana yake ni kwamba Kaskazini siyo ngome ya...
  4. CHADEMA ijitafakari upya ni dhahiri kuna kitu hakipo sawa ndani ya chama

    Ujumbe wangu ni mfupi tu kwa viongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Jitafakarini upya kuhusu mwenendo wa chama, mifumo ya uongozi, sera za Chama, namna mnavyoshughulika na masuala ya ndani ya chama, masilahi ya mtu mmoja mmoja chamani, umoja wa chama n.k. Haya mambo yaangaliwe kwa jicho...
  5. J

    Unabii wa Polepole: Corona imekwisha na Chadema imesambaratika na kuishiwa pumzi

    Siasa ni sayansi. Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga. Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika kinachosubiriwa bunge livunjwe na makamanda wagawane mbao. Ni kama nyoka aliyekatwa kichwa........hana...
  6. Kwa nia njema tu nawauliza CHADEMA na wengine mnaotaka lockdown: Kwanini msiwashawishi wanachama wenu wakae ndani hadi Corona iishe!?

    Mbowe na Zitto na wengineo mara zote wamekuwa wakitaka mamlaka za nchi ziitishe lockdown ya nchi nzima ili kuepuka uenezwaji wa janga la corona.Jambo jema. Lakini mimi nina wazo tofauti nataka kuwashauli kwa nini endapo serikali imegoma kuitisha lockdown wao wasiwashawishi wanachama wao wabakie...
  7. J

    GE2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
  8. Tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA zisipuuzwe, TAKUKURU chukueni hatua

    Tunaomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Pccb ifuatilie na kuchunguza juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA . Maana hizi ni tuhuma nzito na hata pesa anazodaiwa kuzikwapua ni nyingi sana kiasi cha bil 8 sio pesa kidogo. Mimi binafsi siamini kwamba Peter Lijualikali...
  9. FULL TEXT: Hotuba ya Mwenyekiti na KUB Mhe. Freeman Mbowe kwa umma kuhusu Janga la Corona

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA JANGA LA CORONA NA YANAYOENDELEA BUNGENI 1.0 UTANGULIZI Ndugu zangu Watanzania, Kamati Kuu ya Chama chetu CHADEMA, ilifanya kikao chake cha kwanza kwa mfumo wa kidigitali kupitia jukwaa lake la CHADEMA Digital, siku ya Jumamosi...
  10. K

    Commentary: Majibu ya Ester Bulaya kwa Lijuakali

    Ndugu watanzania wenzangu, Natumaini mko salama jioni hii. Nimejaribu kwa sehemu kufanya analysis zangu kwa ufupi majibu ambayo jana Ester Bulaya alimjibu Lijuakali. Nitajikita zaidi na hizo kauli zake (What do these quotes reflect in reality? ). “Mbowe ndiyo accounting officer? Ester...
  11. J

    Mbunge Lijualikali alia bungeni kwa unyanyasaji anaofanyiwa na Mbowe ajiuzulu ubunge amuomba Ndugai CCM wampokee

    Mbunge Lijualikali amesema Chadema hakuna demokrasia na swala la kwenda karantini KUB Mbowe aliwalazimisha bila kufuata wowote. Lijualikali amesema Mbowe amedai wabunge waliohudhuria bungeni baada ya yeye kuwakaza wanafuata posho. Adai wabunge waliokwenda karantini wanawaomba wao akina...
  12. Spika Ndugai afunguliwa kesi ya kikatiba kwa kumtambua Mwambe kuwa Mbunge halali licha ya kujivua uanachama Chadema

    WAKILI wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ndanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecil Mwambe, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo ya kikatiba namba 10 ya mwaka...
  13. J

    Mapambano ya Corona yatekwa na wanasiasa kila mtu sasa ni msemaji na hii yote imesababishwa na Chadema

    Sasa utaratibu wa taarifa na elimu kuhusu Corona ni kama vile umevurugika kwa sababu kila mwenye msuli anaongea na kutoa lawama kwa " mchawi" wake. Alianza KUB Mbowe na wabunge wa Chadema kwenda karantini ilhali bungeni kuko shwari na maisha yanaendelea. Sasa wamekuja wakuu wa mikoa huko...
  14. D

    CHADEMA inamuandaa mgombea wao wa urais kwa siri kubwa

    Taarifa za ndani zinasema kuwa anaandaliwa Mzee Mabere Nyaucho Marando kuwa mgombea urais kupitia CDM. Mwanasheria huyo nguli ambaye pia ni watu wa mwanzo kuasisi mfumo wa vyama vingi ataibuka kama upepo wa kisuli octoba 2020 hili kufuana na Dkt Jonh Pombe Magufuli.
  15. T

    GE2020 Kinana na Membe 2020 wanaitosha CHADEMA

    Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020. Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka...
  16. CHADEMA ilivyopoteza wabunge 17 Kuanzia 2015 hadi Mei 2020, wapo waliohamia CCM

    MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35), amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuondoka bungeni, kujiengua ama kupoteza sifa za kuwa mbunge. Lijualikali alitangaza kuondoka Chadema, jana...
  17. Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

    Natoa tamko la kumuomba radhi Abdulrahman Kinana, ikumbukwe nilikuwa na kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyofunguliwa na Kinana kutokana na matamshi niliyowahi kuyatoa kumuhusisha na ujangili. Ninakiri tuhuma hizo hazikuwa za kweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya...
  18. H

    CHADEMA ijibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali

    Tokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali. Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi...
  19. R

    Anguko kuu la CHADEMA

    Habari ya asubuhi wanabodi? Ni tumaini langu kwamba tuko salama na tunaendelea kupambana katika kulijenga taifa letu. Ndugu wanabodi katika kuendelea na mapambano ya kulijenga taifa letu nawaomba sana msijisahau kujilinda na ugonjwa wa COVID-19. Tuendelee kuchukua tahadhali na kuwa waangalifu...
  20. Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama. Kada huyo alilazimika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…