chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    Eti hii ndio CHADEMA inayokufaa!!!

    Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana. Kingine namshauri aache uchcochezi.
  2. Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

    Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .
  3. J

    Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Lwakatare: Viongozi wa CHADEMA ni kama wana maplastiki vichwani

    Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba mjini Mh. Wilfred Lwakatare amewataka wasomi wa CHADEMA kufanya tathmini ili kujua wanaongozwa na watu wa sampuli gani. Lwakatare ambaye alikuwa akihutubia Wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara jimboni kwake amesema viongozi wa CHADEMA ni kama vile wana maplastiki...
  4. J

    CHADEMA kitabaki kuwa chama cha mitandaoni

    Kiukweli ukiingalia Chadema ya Twitter na hata JF ni tofauti kabisa na hii Chadema tunayoishi nayo huku mtaani. Jimboni Kawe kwa mfano haijulikani ofisi za Chadema ziko wapi na kama una jambo utalazimika kwenda mtaa wa Ufipa kupata ufafanuzi au la ulilete hapa JF ndio utajibiwa kwa haraka na...
  5. Tetesi: Mh Tundu Lissu amewasilisha barua rasmi ya kutia nia ya kuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA.

    Habari wakuu. Hivi hii habari imekaaje maana naona kama Tundu Lisu sasa hiv kutokuwepo kwake kunaweza kusababiswa kushindwa kufanya vzr katika uchaguzi mwaka huu hasa kwa uapnde wake yeye mtia nia ya uraisi na isitoshe tayari chadema kama wameshapotena kwenye kasi za ubingwa wa uchaguzi msimu huu .
  6. James Mbatia: CHADEMA wamenifanyia fujo kwenye chama changu na jimboni kwangu wakati wote tupo UKAWA, ulisikia nalalamika?

    Salaam Wakuu, Kuna kipande kidogo cha video kinasambaa Mtandaoni, James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akielezea kusikitishwa kwake na wanaomuona kwamba anavunja nguvu upinzania. Hapa chini nmenukuu kile alichokiongea na kukiandika hapa chini. Ameanza kwa kusema: "Mimi ni Mbunge wa...
  7. Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  8. J

    GE2020 Mbatia awakaribisha CHADEMA na wapinzani wengine kwenye ushirikiano wenye maslahi mapana kwa mama Tanzania

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kimefungua mlango wa ushirikiano kwa chama kikuu cha upinzani na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema na mama Tanzania. Mbatia amesema ni muda sasa kwa wapinzani kuweka itikadi zao pembeni na kuunda ushirikiano wenye maslahi mapana...
  9. Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

    Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya simu baina yake na baadhi ya viongozi wakongwe wa CCM yakimlenga moja kwa moja Rais Magufuli...
  10. GE2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania, --- Mbunge wa jimbo la Iringa Mjinikupitia chama cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA Peter Msigwa...
  11. J

    GE2020 Pambazuko: Lazaro Nyalandu kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais. Taarifa za chini ya kapeti zinasema Nyalandu ana baraka zote za uongozi wa juu wa chama chake na atakachosubiri ni kukubaliwa tu chama...
  12. GE2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu . Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye...
  13. GE2020 CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wenu mtapoteza muda wenu

    Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais. Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais. Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira...
  14. Mwenyekiti wa CHADEMA Tarime, Martin Maranja akamatwa na Polisi usiku wa manane. Sababu za kukamatwa hazijaelezwa

    🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi #FreeMartinMaranja
  15. J

    Ukiwa Chadema brand ya chama inakubeba lakini ukija CCM lazima " Ufurukute" ndipo utasikika, wahamiaji wajipange!

    Natoa tu angalizo kwamba Nyerere aliijenga CCM katika uwezo wa mtu na baadaye ndio kikundi. Ndani ya CCM usipofurukuta utasahaulika ndio sababu hata akina Waitara na Mollel wameonekana mapema kwa sababu walijiongeza hata kama ni kwa unafiki. Chadema wao kwanza waliamua kuijenga brand yao ndio...
  16. Mwenyekiti CCM(PhD) Chemist, Katibu mkuu CCM(PhD) Mwenyekiti Chadema na katibu wake hata diploma hawana

    CHADEMA ina viongozi wa kawaida sana hasa mwenyekiti IQ yake ndogo sana hayuko sensitive na serious insues ni mtu anayechukulia poa tu Ameruhusu CHADEMA kujengwa kiuanaharakati kama kutukana kufanya fujo Ameruhusu kukejeliwa mambo makubwa yanayofanyika nchini kama ujenzi wa Reli nk labda kwa...
  17. Ikifa CHADEMA sisi wengine tutakuwa na Maisha magumu sana

    Wengine hawafikirii hili suala. Leo tunaamka tu asubuhi Chadema haipo. Mnadhani tutaanza kuishi vipi? Buku 7 tutazipata kweli kwa kumshambulia mrema?ambaye tayari ana mashambulizi toka ndani yake mwenyewe? Tuacheni ujinga ndugu zanguni.kweli tunaweza pata hata buku 3 kwa kumshambulia...
  18. Sabrina Sungura: CHADEMA kuna udini, Waislamu wanabaguliwa linapokuja suala la uteuzi

    Nimehama CHADEMA kwenda CUF ambako hakuna udini, Wabunge wa viti maalum CHADEMA tulikuwa 36 kwa ujumla wetu lakini Waislamu ni watano tu, huko Wilayani Waislamu wengi wanafanya kazi kubwa ya kukinadi Chama lakini ukifika kwenye uteuzi wanabaguliwa" "Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda...
  19. Q

    CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

    Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020. Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa. Je, Ataijibu...
  20. J

    Tujiandae kisaikolojia: Kama itathibitika pasi na shaka kuwa CHADEMA ilitumia ruzuku kinyume na sheria, Msajili atakifuta

    Ni vema tukalielewa hili mapema wakati uchunguzi kuhusu matumizi ya ruzuku kwa vyama mbalimbali ukiendelea. Wabunge wa Chadema wameeleza wazi kuwa matumizi ya ruzuku ndani ya chama hicho kwa muda mrefu yamekuwa ya "kienyeji" mno. Tusisahau kuwa Mh. Komu aliwahi kuwa mtunza hazina wa Chadema na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…