chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua CHADEMA wamepata hati gani?

    Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini? Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pale Bungeni simuoni Mbunge wa kuichambua ripoti ya CAG baada ya kukosekana Zitto Kabwe na wabunge wa CHADEMA

    Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu. Kuwa mwanasiasa mzuri ni jambo moja lakini kuwa mwanasiasa " mahiri" ni jambo lingine kabisa. Hao niliowataja unapofika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio CCM kimetoka chuma kimeingia chuma siyo kama CHADEMA kaondoka Dkt. Slaa imepoteza mwelekeo

    Kwanza niwatakie heri ya siku ya Bwana ya Matawi. CCM ina hazina kubwa sana ya uongozi na katika hilo haina ushindani kabisa. Kaondoka hayati Magufuli ameingia mama Samia moto ni ule ule tena unaelekea kuzidi. Subirini huo ukaguzi wa hapo benki kuu wa fedha zilizotoka kuanzia January hadi...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Chadema: Mtu akishakufa hatupaswi kujadili mabaya yake bali tunajadili mazuri yake ili tuyaendeleze

    Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha CHADEMA katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake. Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi mazuri...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amtembelea Mama mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo kijijini kwake

    Helena Yegera ambaye ni mama Mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo , mtu aliyeuawa kinyama pengine kuliko binadamu yeyote nchini Tanzania , leo amepokea ujumbe mzito kutoka Chadema Makao Makuu ulioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika . Baadaye Msafara huo ukatembelea Kaburi la...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapaswa kumuenzi Hayati Magufuli kwa sababu yote waliyoyapigania kwa miaka 29 ameyatekeleza

    Nimepitia ilani za Chadema kwa mihula mitatu waliyobahatika kugombea nafasi ya urais ukiacha huu uliopita wa Tundu Lisu. Mwaka 2005 mgombea alikuwa Freeman Mbowe Mwaka 2010 mgombea alikuwa Dr Wilbroad Slaa Mwaka 2015 mgombea alikuwa Edward Ngoyai Lowassa Mambo yote yaliyomo katika ilani hizo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hawa Waganga Njaa wanaoishi kwa majungu aliowasema Kikwete siyo Chadema kweli?

    Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu. Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st? RIP...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

    JK amesema kuna watu waongo wanavumisha kwamba yeye hampendi Hayati Magufuli hiyi si kweli kwa sababu yeye ndio aliliweka jina lake kuwa namba 1 kati ya 5! Kikwete amesema alipokea majina 38 ya waombaji wa urais na yeye binafsi akayapitia na kupata orodha ya majina 5 ambayo aliyapeleka kamati...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Lazaro Nyalandu awakilisha chama mazishi ya Hayati Dkt. John Magufuli wilayani Chato

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli. Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa Ilemela Dkt. Mabula na mbunge wa Shinyanga mjini Patrobas Katambi wote wawili ni manaibu waziri...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA inamtakatisha Dkt. Hosea kugombea TLS?

    Kwa ufupi sana Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS. Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk. Nimeona baadhi ya viongozi (sio chama) wakimpa promo Dkt...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA mwaka 2025 nendeni na Freeman Mbowe nafasi ya Urais

    Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo hasa baada ya kifo cha Hayati Joseph Pombe Magufuli. Mbowe ameonyesha kukomaa kifikra hasa katika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wana umoja japo hawafahamiani

    Kwa namna maisha yalivyo magumu na kwa muda uliotumika kukusanya milioni tano zakumwepusha Yeriko Nyerere na kifungo, nakiri kuwa Hawa watu wanaumoja usiomithilika. Lisaa limoja kupata 5M kwa tangazo la tweeter, Instagram na Facebook itoshe kusema mizizi hii imejikita kwenye shina la miyoyo ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli kufa mafisadi wanaweza kurejea. Je, CHADEMA watairudia sera yao ya kupambana na mafisadi?

    Nauliza tu kwa nyie makamanda mliomo humu jamvini, baada ya komandoo wa kupambana na ufisadi hayati Magufuli kumaliza safari yake hapa duniani, CHADEMA itairudia ile sera yake ya kupambana na mafisadi? 2015 CHADEMA waliachana na sera ya mafisadi baada ya kuwapokea makada maarufu wa CCM...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara wanamshikilia Hamida Said kwa kuvaa dera la Chadema katika kipindi cha maombolezo

    Huu Umoja na mshikamano viongozi wanaouimba majukwaani ndiyo huu? Uhuru wa nguo ya kuvaa ni haki ya binadamu, CCM mnataka wapinzani waishi kama second class citizens!
  15. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA itashiriki uchaguzi mdogo kule Kigoma?

    Kigoma kuna jimbo moja la uchaguzi liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ndugu Nditiye kufariki dunia. Kwa kuwa Rais mpya mhe. Samia Suluhu amesema tushikamane na tuache kunyoosheana vidole, ndio najiuliza Chadema watashiriki uchaguzi huo mdogo? Maendeleo hayana vyama!
  16. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ime-savaivu, sasa nini?

    Hakuna shaka yeyote, na sidhani kwamba kuna mtu anayeweza kuhoji uwepo wa CHADEMA kama chama cha kisiasa kilicho na ushindani mkubwa hapa nchini licha ya misukosuko mingi iliyoelekezwa kwao ili kuwamaliza kabisa katika miaka mitano na zaidi sasa iliyopita. Ni sawa kabisa kusema kwamba CHADEMA...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

  18. JamiiForums Tanzania Hongera sana Wana-CHADEMA kwa Busara na Hekima kipindi hiki

    Poleni kwetu sote juu ya kuondokewa na Mzee wetu John Magufuli, kifo ni kifo na kamwe hakizoeleki. Napenda kuwashukuru sana Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa maneno ya busara hasa katika kipindi hiki cha msiba, naomba nieleweke kuwa wenzetu wa CCM wasingeweza kuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

    Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…