chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA wasimulia walivyokamatwa na Polisi

    Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21. Pamoja na simulizi hizo, viongozi hao wakiongozwa na mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche walisisitiza...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

    Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango. Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao. Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa? Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo? Mnaogopa nini...
  3. JamiiForums Tanzania UVCCM: Viongozi CHADEMA hawajui tofauti ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara, Nasibu Kanduru amesema kuwa matamshi ya Tundu Lissu akiwa nje ya Nchi yanaonyesha wazi Viongozi wa CHADEMA hawajui kutofautisha kati ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla. Kanduru amesema: "TunduALissa anaonyesha fika anajua Mashitaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bila Mbowe inawezekana?

    Taarifa tulizozipata kutoka kwa Mdaku kutoka Ufipa ni kuwa shughuli zote za uratibu wa chama zimesimama kutokana na kesi inayo, kabili Mwenyekiti huyu wa maisha na mwenye hisia za umiliki wa chama kushitakiwa na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kesi na makosa ya ugaidi hapa nchini. Kesi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM na CHADEMA katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi - nani zaidi kati yao?

    Nimetafakari sana kuwa ni nani zaidi kati ya CCM na Chadema katika kubadilisha msimamo kijamii, kisiasa na kiuchumi? Kwa mfano CCM walikuwa na msimamo kuhusu katiba mpya haki kuanzisha mchakati uliopelekea kukusanya maoni ya wananchi. Pia ilikuwa na msimamo kuwa Corona haipo Tanzania kwa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa ushawishi kwa Wananchi, CHADEMA sasa wanaishitaki Serikali kwa Wazungu

    Ndugu zangu, Laana ya usaliti ni mbaya, enzi zile za Dr. Slaa, Chadema ilikuwa inategemea umma kwa dhahma yoyote waliyopata ungesikia "tunaenda kushtaki kwa wananchi" na kweli Serikali ingebadili msimamo. Chadema hii ya sasa jambo lolote utasikia akina Lissu wakisema "tumesambaza barua kwa...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA haya ndiyo mataifa mnaomba yaiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi

    Wanakumbi. CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi. Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuifuta CHADEMA au CCM ni sawa na kutaka Yanga ishuke daraja ibaki Simba

    Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu. Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho. Just imagine hawako bungeni lakini bado ni threat kwa serikali ya CCM. Pendekezo amani ya nchi inabidi kupewa kipaumbele kwa kutoa Haki...
  9. JamiiForums Tanzania Kipi chama kikuu cha upinzani Tanzania kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA?

    Huo utata lazima umalizwe sasa. ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani? Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
  10. JamiiForums Tanzania Fikra mbadala hazipigwi nyundo

    Awamu ya sita na mwendelezo wa awamu ya tano ya mwendazake imefika “shingoni” mwa mwenyekiti FREEMAN AIKAELI MBOWE. Mashtaka ya kigaidi aliyopewa jana ni mwendelezo wa vitendo vya kikandamizaji dhidi ya viongozi na wanachama wa upinzani hususani CHADEMA leo Tanzania [emoji1241] mahabusu wengi...
  11. JamiiForums Tanzania Askari mmoja akifa wengine wanasonga mbele; tuendelee kudai Katiba Mpya

    Wakuu za asubuhi? Nawatafuta makamanda wezangu tuendeleze vita ya kudai Katiba. Askari mmoja akifa au akipigwa risasi haturudi nyuma. Tunakwama wapi Makamanda? Mbona mkwara tulikuwa nao mkubwa sana kwenye media? Wapi Mdude, tusonge mbele!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe hakutegemewa kuwa kiongozi wa kukumbukwa Tanzania

    Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA. Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie Mbowe kuwa kiongozi wa CHADEMA, sikuwahi kumpa nafasi kubwa kwenye viongozi ambao ningesema nawatambua...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

    Ndugu zangu, Siku zinaenda kasi sana === VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA. Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake...
  15. JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi. Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo leo July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  16. JamiiForums Tanzania Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

  17. JamiiForums Tanzania Chadema officially begins to disturb tanzania. Let us be watchful

    CHADEMA OFFICIALLY BEGINS TO DISTURB TANZANIA. LET US BE WATCHFUL. After hitting rock bottom with CHADEMA's plan to pass through the New Constitution conference scheduled for activities in Mwanza City on July 21, 2021, the party which approved the plan for its entire Tanzanian product plan...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza rasmi kuivuruga Tanzania, tuwe macho

    CHADEMA YAANZA RASMI KUIVURUGA TANZANIA, TUWE MACHO. Baada ya kugonga mwamba kwa mpango chama cha CHADEMA wa kuanzisha vurugu kupitia kongamano la Katiba Mpya lililopangwa kufanyika Jijini Mwanza Julai 21, 2021, chama hicho cha upinzani kimemwaga mpango wake mzima wa kuanzisha vurugu...
  19. JamiiForums Tanzania Askari wavamia kanisa Mbeya kuwafuata wafuasi wa CHADEMA

    Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya. Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema. Hivi kwani kanisani kuna mavazi maalumu ya kuvaa.?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa vyama vya siasa

    Wataalamu wanasema ukichukuwa idadi ya wanachama wenye usajili ukazidisha mara mbili ndiyo nguvu ya wafuasi wao. Tujue kuna watoto ambao ni wapambe wa wanachama walezi wao kwenye mahesabu haya kwa hivyo CCM ina wanachama 17M na wafuasi kwa ujuma 34M, Chadema wanachama 7M na wafuasi 14M wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…