chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Matumaini ya Wananchi waliowengi ni CHADEMA; CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na haki

    CCM Ina watu wanamiliki kadi za chama Kwa usalama wao, Mali zao na jamaa zao lakini hakuna wanachama. Sirini hata wale waliopo karibu na Mwenyekiti wa chama Wana maamuzi Yao binafsi ambayo ni kinyume kabisa kile mwenyekiti anachodhani. Magufuli amegeukwa; hata walewachache waliojitumumua...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA huenda ikaichukua karne nzima kufikia ushawishi huu wa CCM

    Mtanzania,Unaweza kujionea mwenyewe vibe hili la wananchi jijini Dodoma wakiongozwa na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka,katika kuwakaribisha wajumbe zaidi ya 1,800 Kwenye mkutano mkuu maalumu, Hongera CCM , kila lenye heri kwenye mkutano mkuu huu maalumu,
  3. J

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Tuliipenda CHADEMA ya Dkt. Slaa kwa sababu walipeleka bungeni hoja walizozitafiti kwa kina

    Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni. Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha. Source: TBC
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

    Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote. Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aliwafanyia kitu gani CHADEMA?

    Tatizo katika nchi hii Kuna kundi linajiona Lina hatimiliki ya upinzani kwenye siasa za Tanzania, wanawaona wapinzani wote ni mamluki wa watawala isipokuwa wao tu ni wazi kabisa kwa sasa hivi kwamba CHADEMA wameshindwa kufanya siasa bila kumtaja mwamba Zitto. Tokea miaka ya 2009 Chadema...
  6. JamiiForums Tanzania BAWACHA yaandaa Kongamano la Join The Chain Temeke

    Labda kwa ufafanuzi kidogo , hasa kwa wageni na wale ambao wanachelewa kuelewa ni Kwamba huu mpango wa kisasa wa Join The Chain ni Mkakati maalum wa Chadema wa kuhakikisha kila Mtanzania mwenye Pumzi anachangia mapambano ya Haki na usawa kwa ajili ya vizazi vinavyokuja. Hii ndio Taarifa yao...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

    Jambo all Member's JamiiForums! Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake. Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni. Lakini, Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la...
  9. B

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kama CHADEMA na wengine pia wanataka Katiba Mpya

    Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya. Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha. Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa Chadema wanakifanya chama chao kuwa irrelevant kila siku

    Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho. Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha amekuta ungozi wa juu wa Chama umetekwa na wanaharakati wasiokuwa na ajenda. Ajenda za Chama...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kudai Katiba Mpya siyo lelemama. Je, CHADEMA ina Watu (Umma)?

    Kuna kila dalili kwamba kwa sasa na katika miaka 10 ijayo ni Chadema peke yake ndio wenye kiu na Katiba mpya. CCM wao hawafungamani kwao Katiba yoyote ni Heri tu. Vyama vingine vya upinzani vimeshasalimu amri (vimeufyata) Swali: Je, Chadema ina Watu?
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yoyote ya kuboresha Tume ya Uchaguzi yatainufaisha CHADEMA zaidi dhidi ya vyama vingine

    Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na kikubwa zaidi ni muundo mzima wa uchaguzi. Kwahiyo baada ya uchaguzi wa 2020, Chadema wakaanza kudai...
  13. JamiiForums Tanzania Harakati na kelele za mitandaoni haziwasaidii CHADEMA, zinawaingiza mkenge kila siku ila hawajifunzi

    Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua. Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama watoto wadogo. Uhalisia wa mnachodhania kuwa mnasapoti kubwa kutoka kwa wananchi kupitia mitandao ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kanda ya Serengeti yakosoa Ripoti ya Uchunguzi wa mazingira Mto Mara

    Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo. Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imewakomaza CHADEMA

    Serikali bila kujua imesaidia sana Chadema kukomaa kama chama 1. Magufuli kuzuia mikutano sasa wamekuja na kampeni za mitandao kama space na whatapp 2. Chadema digital imesajili watu 7M 3. Uchaguzi kuibiwa kura umeleta namna mpya ya kujitegemea bila ruzuku na madai ya katiba mpya 4. Kesi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 2008,Katibu Mkuu akiwa Daktari Wilbroad Slaa,Chadema ilifufuka baada ya kutokea kashfa ya "Richmond" na kuendesha "Operation Sangara"

    NIWAKUMBUSHE KUFUFUKA KWA CHADEMA MWAKA 2008. Leo 11:02am 19/03/2022 Mwaka 2008,Katibu Mkuu akiwa Daktari Wilbroad Slaa,Chadema ilifufuka baada ya kutokea kashfa ya "Richmond" na kuendesha "Operation Sangara" nchi nzima, mikutano yao ilivutia watu wengi kwa hoja zao motomoto za kashfa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nimehamia Chadema rasmi bila shuruti bila kuombwa

    Heshima yangu, huruma yangu na upendo wangu, na utii wangu kwa mwalimu Adamoo na wenzake nimewiwa kuwa official opposition member, Hekima, Busara, Ukamavu wa Mbowe umenigusa sana. Popote pale wakati wowote ule wanachadema tuaongea mengi. No fear No hate
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

    Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu! CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo, ilikuwaje CHADEMA wakasusa katikati ya bunge la katiba?

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA walisusia bunge la katiba likiwa katikati ya majadiliano na likiwa ktk hatua nzuri ya kupata katiba nzuri ya wananchi. Sababu kubwa ya kususa ilikuwa ni kutokubaliana na CCM juu ya muundo wa Mungano, wakati CHADEMA wakitaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…