Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Sasa hivi kila neno la CHADEMA ni Sheria kwa Wananchi.
Na huu ujumbe umfikie msajili wa Vyama vya siasa Nchi, Nyahoza na Mtungi.
Maamuzi ya Msajili wa vyama ni kumfurahisha Samia na Genge lake.
Kutokana na kilichotokea 29.10.2025, nipo tayari kulipiza kisasi..
Nasubiri Mtungi ajichanganye...
Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani?
Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa?
haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
Adui yetu ni Genge la Samia , Genge la MAFWELE, Genge la Msoga.
Adui yetu ni Mtanzania yoyote ambaye ama kwa Nafasi yake ametumika Kushabikia, Kutekeleza au kufunika Matukio ya Utekaji, Uuaji, Kumfunga Lissu Jelaz Kufungia CHADEMA, Wanaozuia KATIBA Mpya, Wanaosababisha Maisha magumu kwa...
Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani .
Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
Hebu tumalize propaganda na uongo wa Chadema, Hivi chama kilicho moyoni mwa Watanzania 70M ndio hiki chenye wanachama halali LAKI NNE na ELFU TATU NA THEMANINI NA TATU (403,083) kwamjibu wa Database rasmi ya Chadema inayotunza taarifa za wanachama?
Peter Msigwa ni mwanachama wa mwisho...
Hamjambo!
Mbowe hata awe na hasira kiasi gani. Bado hawezi kuukata mtoto WA mwanaye kisa ameunyea.
CHADEMA ni moja ya Mambo ambayo yamempa heshima Freeman Mbowe.
Mwenyekiti Mbowe ametumia ujana wake wote kuikuza na kuieneza CHADEMA hapa Tanzania.
Asilimia tisini ya watu hapa Tanzania na...
Ni suala la muda tu kuanzia sasa, kwa hilo kutokea kulingana na uelekeo wa siasa za Tanzania na ombwe la uongozi linaloonekana wazi hasa ndani ya Chadema taifa.
Joseph Selasini anaingia Chadema kama moja miongoni mwa viongozi nguli na waandamizi wa chama hicho cha siasa, wanaokwenda kujitoa...
👉Ndani ya siasa za kimkakati, kuna wachezaji ambao huonekana kupambana hadharani lakini nyuma ya pazia wakawa sehemu ya operesheni kubwa zaidi isiyoonekana kwa macho ya kawaida.
👉Safari ya Peter Msigwa ndani ya CHADEMA haikuwa ya kawaida, bali ilikuwa operesheni ya muda mrefu iliyojengwa...
Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri.
Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani.
Nguvu ya...
Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema.
Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii.
Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja sio usanii na maigizo ya kipuuzi.
Chadema Ina mamilion ya wanachama wenye uwezo...
Msigwa na Sugu ni kambi mbili tofauti ndani ya Chadema kwasababu Msigwa ni adui namba moja wa Bestfriend wa Sugu, William.
Nikauliza kijiwe vipi hali ikoje? Wakaniambia wao wanaamini Msigwa amerudishwa kwa kazi maalum na kwa wanavyomjua amejipa yeye mwenyewe hiyo kazi.
Na kunamsemo...
Ndugu zangu Watanzania,
Ambacho Hamkijui Ni Kuwa Mchungaji Peter Msigwa aliondoka CHADEMA kutokana na Kukosa Cheo cha Uwenyekiti Wa kanda ya Nyasa baada ya kudondoshwa na kugaragazwa vibaya na Sugu. Alipoona Amekosa Cheo Mkononi Mwake akaamua kutimua Mbio kali sana Kuja CCM kwa matarajio ,imani...
You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure.
Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM?
NAOMBA jibu
Mchungaji Peter Msigwa
Soma pia
Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29...
What real inspires Joseph Selasini to jet back to Chadema at this time? And who is behind his move? Is he a mole or trojan horse within Chadema circle?
Which opportunities did J.Selasini see within Chadema we didn't see them? Can we expect Chacha Wangwe scenarios within Chadema?
Can we expect...
Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako.
Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi .
Msigwa una uwezo, sitaki kukupimisha na watu ambao ni wanachadema na ofcoz hata nikikupimisha NAO , WEWE NI MSHINDI.
Karibu...
Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'.
Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu.
Kama mwanachama na mdau wa mabadiliko ya dhati, naomba niwaambie hawa wanaorejea maneno...