chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kufanyika July 31 , 2021 Jijini Mbeya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , leo kimetangaza siku ya kufanyika kwa mkutano mkubwa kabisa wa chama hicho ambao ni Baraza Kuu la Chama , uliopangwa kufanyika Jijini Mbeya July 31 2021 . Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe , Jijini Mwanza . Kikao...
  2. CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali. Wito huo umetolewa leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021 na Mwenyekiti...
  3. CHADEMA badilikeni kila siku tunawachangia pesa kwa mtindo huu

    Wanaukumbi. Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini. Polis wanawakamata; mnarudi kwenye mitandao kuomba michango mtoe waliokamatwa daah hii ni biashara au deal la Mbowe na...
  4. Kwa mwenendo huu wa CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa sahihi kizuia siasa uchwara

    Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo. Mh Hayati Rais Magufuli alitoa angalizo hilo kwa nia njema ila likitafsiriwa kwa kupotoshwa na wafuasi wa CHADEMA. Leo...
  5. CHADEMA wanataka kuvuruga amani ya nchi, tuwe nao makini kama Taifa

    Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania. Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu. Hawa watu ni watu...
  6. Rais Samia asante sana, shikilia hapo hapo

    Kwa mara ya kwanza jana (tar.17/07/21) nilipata joto halisi la ongezeko la kodi katika miamala ya simu za mkononi. Niliumia sana kwani nilishindwa kutoa kiwango fulani cha pesa kwa ukosefu wa hela ya kutolea. Lakini katika tafakuri yangu, nilijikuta namsifu sana Mhe. Rais Samia kwa ujasiri wake...
  7. M

    Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe: CHADEMA Isikubali kuonewa

    Ndugu Freeman! Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye...
  8. Z

    Chadema acheni ukorofi na ukaidi, heshimuni sheria na taratibu zilizowekwa

    Kuna kila dalili Chadema sasa wameanza chokochoko, mifano ipo mingi. Mfano tukio lililo tokea mkoani Mwanza, viongozi kutoa matangazo kwa wanachi kuhudhuria mkutano wa ndani ambao haukufuata taratibu, hilo sio sahihi. Chadema acheni ukorofi na ukaidi, heshimuni sheria na taratibu zilizowekwa...
  9. K

    Hongera wasomi wa CHADEMA, wamezuia kongamano mneamua kutoa elimu kijiwe kwa kijiwe

    Mkakati mpya ambao ni mbadala wa makatazo ya CCM na Polisi kwenye kampeni takusisimua akili za Watanzania juu ya katiba mpya vijana wa vyuo vikuu Mwanza leo wameendesha kampeni ya kutoa elimu kijiweni au maskani lengo likiwa nikuwafikia wananchi bila kuzimwa na akili na fikra za watawala. Mbinu...
  10. CHADEMA msilielie, si mlisema mtamnyoa? Anawaonyesha kwamba yeye ndiye anamiliki mkasi!

    Hawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu. Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi, haya sasa, mama ana mamlaka yote kisheria, hata hiyo katiba akiamua hamtaiona
  11. Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
  12. Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

    Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA wamekuwa wakisahau methali hii ya wahenga na kuwa wahanga katika mengi kwa sababu Chama Cha Demokrasia na...
  13. J

    Kuna watu wameanza kuleta chokochoko hii kauli chadema kuweni nayo makini wanawake ni wakatili zaidi

    Chadema kuweni makini na huyu mama wanawake huwa wakatili zaidi ya wanaume,kauli yake inaongoa zaidi kwa kirefu ,"nasikia wameanza chokochoko tumejipanga"
  14. J

    " Anaupiga mwingi" maana yake nini? Mi ni mgeni hapa CHADEMA

    Nasikia makamanda wakilitumia sana hili neno kwamba Tundu Lisu " anaupiga mwingi" so kama member mgeni wa hapa Ufipa naomba ufafanuzi wa hii kauli ya Anaupiga Mwingi. Peoples.........!
  15. Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
  16. Kwanini Chadema hatuna hoja kama hizi? Tubadilike.

    "Zao la korosho pekee linatutosha sana watu wa kusini kuondosha umasikini lakini chama tawala hawataki watu wa Kusini tuondokane na umasikini. Sasa dawa yao ni kuwaondosha madarakani" Isihaka Mchinjita ( @Isihakamchinji1 ) Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mkoa wa Lindi. https://t.co/RLYYxU4KGP
  17. Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
  18. CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama nje ya Jiji , Kinondoni

    Utaratibu kwa wote watakaohudhuria ni ule ule wa kufuata mwongozo wa WHO ili kudhibiti maambukizi ya Virus vya Corona
  19. Baada ya kuleta chokochoko za vurugu CHADEMA yapuuzwa Tanzania nzima. Operesheni Haki waliyofanya yaonekana ni batili

    Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma. Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia. Tafiti za kisayansi...
  20. RC Sengati: Kiongozi wa CHADEMA aliyesema Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa corona achukuliwe hatua kali za kisheria

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dk, Philemon Sengati, kulia akizungumza na wagonjwa wa Corona alipowatembelea katika Hospitali ya Rufaa mkoani humo, ambapo alikuta hakuna idadi ya wagonjwa wengi kama ilivyoenezwa kwenye mitandao ya kijamii. Na Marco Maduhu, Shinyanga. SERIKALI mkoani Shinyanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…