chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA katika mkakati mzito wa kumgombanisha Rais Samia na Wamachinga katika majiji Makubwa

    CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunakosa imani na CHADEMA

    Wanaukumbi. Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani? Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of Dar es salaam’ miaka ya juzi juzi tu. Chama masikini viongozi wa juu matajiri. Tena hapo mtaa wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ukweli na Upatanishi ya Chadema itaundwa na nani kushughulikia Watu walioumizwa na nani?

    Chadema imependekeza kuundwa kwa Tume ya Ukweli na Upatanishi kushughulikia Watu walioumizwa. Je Time iundwe na serikali au nani? Watu walioumizwa na nani? Nawasilisha
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu: CCM inamuunga mkono Mwenyekiti wake Samia Suluhu kuendeleza majadiliano na CHADEMA

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia kupitia maridhiano ya kisiasa kwa maslahi ya taifa. =================== Chawa wamenuna.
  5. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CHADEMA ina wivu na Wabunge 19 waliofutwa uanachama

    Kama hizi nafasi zingeruhusu na wanaume basi huenda Mbowe, Msigwa, Heche, Sugu wangetimba bungeni Kwasasa wanachopambania ni Wote wakose Mtu Kama Msigwa, Sugu, Lema na Heche kama wangeambiwa wavae sketi wajipeleke bungeni kwa nafasi hizo 19, wasingekataa Hizi sarakasi zote ni kutaka WOTE...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Mbowe pamoja na viongozi wakuu wa CHADEMA

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikiwa na furaha kubwa sana kuhusu vikao vinavyoendelea kati ya Mama Samia na viongozi wa Chama Cha Mbowe. Kama mnavyokumbuka kabla ya Mama kukutana na viongozi wa CHADEMA tayari alishafanya vikao viwili na mwenye chama Mh Mbowe. Vile...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

    Tuwe na subira Mambo mazuri huja taratibu.
  9. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Ilianzia CUF, sasa NCCR. CHADEMA wajiandae

    MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea. CUF walifanya mambo kwa mazoea wakidhani isingewezekana kisiasa au Kisheria. Msajili wa vyama...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni mfarakano gani uliopo kati ya CHADEMA na Serikali mpaka Rais aitishe Maridhiano?

    Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo? Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
  11. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM. Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walikuwa wanafurahi CHADEMA kuumizwa, hawajapenda haya maridhiano

    Furaha yao ni kuona Mbowe anafungwa Lissu anaumizwa, wafuasi wanauawa, wanafilisiwa mali, viongozi wa Chadema kila siku wanakamatwa, wanashinda polisi. Wanapoona Chadema kinakwenda kuelewana na wenzao wa CCM kinyongo kimewajaa. Wameanza kuleta maneno chonganishi mara Mbowe kanunuliwa mara kuna...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

    Nasemaga na yana kuwa tuna Muda wa kuweka historia katika maandishi, visiki na vigogo ndani ya CHADEMA hawaelewani, Mnajua mbowe kashtuka? ...yaani Lissu anataka kumfanya mtu asiyejielewa Saana ...alikimbia nchi hapa akasema usalama wake uko hatarini....uchaguzi ukafika akarudi kuja kugombea...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Chadema chama kubwa. Mpk maafisa wa ikulu wana-"mix" wakimuona Mbowe.

  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  16. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  17. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

    1. Upatikanaji wa katiba mpya. 2. Tume huru ya uchaguzi, 3. Zuio la mikutano ya hadhara. 4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. 5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum. 6. Suala la ruzuku, 7. Usawa wa vyama vya siasa, 8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa. 9. Wakimbizi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema na Rais Samia: Mtu hakatai WITO hukataa anachoitiwa

    Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

    Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa? Lakini pia kuitwa kwao ikulu...
Back
Top Bottom