chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chadema wanamfananisha Ruto na Tundu Lissu wakati Wakenya wenyewe wanadai Ruto ni Magufuli mwingine!

    Chadema walijipendekeza kwa Dr Ruto wakati wa kampeni wakijinasibu kwamba anafanana sana na Tundu Lissu. Lakini Wakenya wenyewe wanadai wamemchagua Ruto kwa sababu ni Mkweli tena ana hofu ya Mungu kama hayati Magufuli. Ufipa st sasa wamepigwa butwaa
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  3. JamiiForums Tanzania Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni Watani zangu Kisiasa na Marafiki, ila mnatuangusha mno Watanzania hadi kuhisi Mmeshanunuliwa kwa Bei rahisi

    Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa Ulaya ) ili wakapumzishe Kwanza Akili kwani walichokitegemea sicho. CHADEMA nilidhani Kipindi hiki...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Moto wafukuta ndani ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Nyepesi: Huwezi amini lakini CHADEMA wamefikia hapa...Yetu macho

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na vikao vya ndani ambavyo vilianza kurindima tarehe 17/09/2022. Sasa tazama hizi picha kisha tafakari nini namaanisha.
  7. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

    This is not good at all 👇
  8. B

    JamiiForums Tanzania ITV rekebisheni Pareso si mbunge wa CHADEMA

    kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku huu ITV inamtaja Pareso kua mbunge wa chadema hii haikubaliki
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI BAVICHA yatofautiana na maagizo ya Baraza kuu la chama chao, yaunga mkono tozo zinazokusanywa na Serikali

    Barua inayosemekana ya CHADEMA ikieleza malalamiko ya Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) kutoridhishwa kwao na maagizo yanayotolewa nje ya vikao rasmi vya katiba ya chama chao. Barua inayodaiwa kutolewa na BAVICHA ikipingana na maelekezo ya baraza kuu la chama chao
  10. JamiiForums Tanzania Sabaya kiongozi Mkuu wa Upinzani baada ya 2025 anayetengenezwa kimkakati na CCM. Ubunge. ukuu wa wilaya na mkoa wala uwaziri si level zake

    Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo . Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka Mwigulu ajiuzulu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekoleza moto kuhusu kilio cha tozo za miamala ya kielektroniki huku kikitaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuachia ngazi au atumbuliwe. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kutokana na suala hilo kuzidi kulalamikiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Chadema yazidi kupaa kidijitali

  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya huku kususia chaguzi ya vyama vya siasa hususani CHADEMA?

    Habari JF Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa wanaweza kukupotezea tu. Hivyo nikawaza kwa kina sana nikapata tafsiri zifuatazo zinaweza kuwa sahihi...
  14. JamiiForums Tanzania Kama TOZO zitaondoshwa au kupunguzwa, basi CHADEMA watapata "credit" na siyo CCM

    Kama kutakua na mabadiliko yoyote ambayo ni "positive" kwa upande wa TOZO basi "credit" itaenda kwa CHADEMA kwakua wao ndiyo wamekua mstari wa mbele kupinga hili jini Tozo. Haijawahi kutokea mwana CCM akapinga Tozo hadharani zaidi ya kusapoti. Tunaweka tu records sawa, Mwenyekiti wa CCM Taifa...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia kuteua EALA ni strength au ni udhaifu wa ubinafsi?

    Wanabodi, Baada ya kunikuta kilichonikuta kwenye EALA, naendelea kuomba sana Mungu anifundishe kunyamaza, ila kwa vile maisha yangu yote ya miaka 30 kwenye media, kazi yangu ni kuuliza tu maswali, hivyo kila nikutana na jambo ambalo kwangu naliona haliendi sawa, napatwa a burning desire to ask...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Uongozi sio umungu mtu

    Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu Mtu) kwa miaka mingi tangia kipindi cha mkoloni hata baada ya uhuru. Dhana hii potofu ya uongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawia kuwakataa CHADEMA, ni matapeli wa kisiasa

    Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao? Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya. Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa. Hawafai hata...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtamkumbuka hayati Magufuli, mlijifanya bichwa ngumu

    Sasa mnalilia nini? 👇
  19. N

    JamiiForums Tanzania Chadema imekataa kuweka wagombea EALA lakini usishangae wakawepo na kushinda

    Kama "signature" inayosemekana ni ya mnyika ilifanikisha kumtoa mwanadada aliyekaa jela siku 120 kesho yake akaapishwa kwenye gereji na wenzake 18 kuwa wabunge hii itashindikanaje Covid 19 wanatamba wana kebehi majaji wanashikwa na kigugumizi wafate sheria au maagizo toka juu kwenye jikesi lao...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA yasusia Uchaguzi Wabunge wa EALA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa kuwapata wabunge watakaoiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika ya Mashiriki (Eala). Uchaguzi huo utafanyika katika mkutano wa Bunge la Tanzania utakaoanza Septemba 13, 2022 jijini Dodoma. Mnyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…